Mwenye kujua format ya username kwa non-necta applicant wa mkopo bodi ya mikopo elimu ya juu anisaidie tafadhali, mfano format ya necta applicant ni S0143.0078.1990.
Je ya Non Necta ikoje?
Different between a MAN and BOY
A BOY keeps a password on his cellphone while a MAN is confident enough to say "baby can u answer that for me"!!
A BOY runs the streets & chill with his friends while a MAN is enjoying time with his woman planning ahead for their future!
A BOY complains about...
Mwanafunzi wa darasa la pili alimuuliza mwalimu wake: hivi ukichanganya OMO na FOMA zitatoa POVU?. Mwalimu
akajibu kwa hasira: swali gani hilo la KIPUUZI? Lazima zitatoa POVU kwa sababu zote ni SABUNI. Mwanafunzi akamjibu: sasa wewe ndiye una majibu ya KIPUUZI. Zitatoaje POVU wakati haujaweka...
Huyu jamaa alipotea toka may 15 mwaka jana na tuliachana naye pale Mabibo Hostel kifupi jamaa ali graduate Mzumbe akaja Dar kutafuta job ila akaishiwa pesa akishindwa kuendelea na apllication. Ishu ni pale alipoacha vyet vyake vyote tena original copy kuanzia Birth Certificate, O Level, A Level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.