Search results

  1. M

    Botswana yapanga mapinduzi Zimbabwe?

    I hope, and, pray that this despot and his cohorts will be brought to justice! I have so much respect for H.E. sir Ian of Botswana for openly speaking out against this hooligan. I always wonder what has become of our leaders, what is it that they benefit from embracing a murderer? Some one who...
  2. M

    Mataka bazazi?

    Unajua haya ndio baadhi ya ambayo yanafanya waTanzania wote tuonekane kuwa na ufinyu wa kufikiri. Tunapenda sana mambo ya umbea, ushoga na uzushi usio na maana yeyote katika maendeleo ya nchi yetu. Hapa hoja, kama alivyowakilisha Mwita ni kuangalia utendaji wa mtu binafsi na tumuhukumu kwa hilo...
  3. M

    Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

    Ni ule wimbo mashuhuri wa mchakamchaka enzi hizo shule: Idi amini akifa, mimi siwezi kulia/ nitamtupa kagera/awe chakula cha mamba!!!! Mchakamchaka chinja!! teh teh tehh!!!
  4. M

    Wakati Siku Saba Za Masha Zinakwisha - Mengi Katunukiwa na Rais?

    Body language inatoa ujumbe mwingine. Inaonyesha taadhima aliyonayo bw.JK kwa mh. Mengi. Isitoshe Mengi amekuwa mchangiaji mkubwa katika kampeni mbalimbali za CCM, kwa hiyo naamini viongozi muhimu wa CCM ikiwamo NEC,CC na mabaraza mbalimbali hususan la wazee, wako upande wa Mengi. Kimsingi...
  5. M

    Mauzauza ya EPA

    Nimeshtushwa na thamani ya mali zisizohamishika ambazo Mh. Yona na Mwenzake Mramba, waliziwekana kama rehani dhidi ya uhuru wao katika kesi inayowakabili ya matumizi mabaya ya madaraka yao. Kilichinishtua sio uwezekano wa Mtanzania kuwa na mali nyingi kiasi hiki, la! Ila haijaniingia akilini...
  6. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Mengi jino kwa jino na Masha Habari Zinazoshabihiana • Polisi avunjwa jino kwa chupa ya bia 03.08.2007 [Soma] • Shekhe jino kwa jino na Mchungaji kuhusu Dito 22.03.2007 [Soma] • Kupanda kwa bei za mafuta:Masha asema Serikali inafanyia kazi mapendekezo 27.05.2006 [Soma]...
  7. M

    Tujikumbushe wana Azania

    Ndio huyo bat man mwenyewe maze!! alikuwa nunda sana. Sijui yuko wapi siku hizi!!
  8. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Mimi nadhani kuwa Mengi ni alama ya wajasiriamali makini katika nchi yetu wenye asili ya Tanzania. Kwa lugha ya Mh. Simba, mzawa. Kama unafuatilia kwa karibu maendeleo ya uwekezaji bongo utajua fika kuwa kuna wafanyibiashara wengi wenye asili ya kiasia ambao wametumia nguvu yao ya pesa...
  9. M

    Tujikumbushe wana Azania

    Azania imechanganyika na mademu? Hii kweli balaa! Yani hamna hata fleva tena ya chama letu!! Mimi nakumbuka kiunganishi mashuhuri cha mwalimu Mitimingi hasa, akiongea kiingereza. Badala ya kusema kiufasaha 'another thing' alikuwa akitumia sana neno 'anaza sing' , basi kwetu ikawa kila akija...
Back
Top Bottom