Search results

  1. babalao

    Ipo wapi kampuni ya uwekezaji ya NICO

    Tumeliwa hata mimi nimo
  2. babalao

    Changamoto..

    Biashara za Bar, Guest, Pub zinahusiana na zina matatizo yanayofanana. Kwanza zinahitaji usimamizi wa karibu kwani wafanyakazi kukuibia ni rahisi sana kama hfiki mara kwa mara kwenye biashara yako. Kama zilivyo biashara zingine unahitaji utafiti kuzianzisha, mambo ya kuzingatia ni location...
  3. babalao

    MKURABITA: Wasomi Kutoka Kimaisha Si Lazima Uwe Mchuuzi... Njia za Kisomi Ni Kama Hizi!

    I support you Lara Ushauri wako ni mzuri. Think big and take action you will get at the top
  4. babalao

    Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Nipigie nina uzoefu nimeshaandaa michanganuo aina mbali mbali nikawawezesha wajasiriamali kupata mikopo ya sh. milioni 400 simu yangu ni 0755394701 blog yangu ni hii;Mshauri wa biashara
  5. babalao

    Biashara ya real estate tanzania

    Kama mtaji wako ni mdogo anza kununua nyumba za watu waliofulia zinazouzwa na mabenki kwenye mnada (foreclosure) kisha ufanye flipping kuziuza baadaye kwa bei ya soko. Yupo jamaa alinunua property kwa 70 million baada ya miezi 2 kaiuza kwa mill 400. mkakati huu utakusaidia kuongeza mtaji.
  6. babalao

    USHAURI: Nina million 20 nifanye biashara gani?

    Nakushauri uanzishe biashara mchanganyiko ya M PESA, Kuuza luku, vocha za mitandao yote, TRA, DAWASA. Nunua mashine ya Max Malipo kwa deposit ya shs. 500,000 tu itakuwezesha kufanya biashara zote hizo. Cha muhimu tafuta sehemmu ambayo watu wengi wanapita ndipo ufungue biashara yako hiyo.
  7. babalao

    Mafunzo ya ujasiriamali

    Karim usije kwangu nakushauri uende SIDO
  8. babalao

    Watch Out; Tigo Pesa, M-Pesa ni Janga Kuu, wengi Wameumia!!

    Usitoe namba yako ya siri kwa mhudumu wa mpesa tigo pesa umeumia
  9. babalao

    Jinsi gani naweza kuuza business ideas/marketing ideas?

    Hakikisha kama una idea unaiandikisha brela ili kama kuna mtu amekuchakachua uwezekumshitaki klwasababu utakuwa na haki ya umiliki wa hiyo idea
  10. babalao

    Ushauri wa kuanzisha biashara ya kilimo

    LAT Mtafute Malila ni mtaalamu wa mambo ya kilimo
  11. babalao

    TZ economy to surpass Kenya, forecast shows. Hongera Kikwete!

    Mwalimu wangu wa uchumi aliniambia niwe makini na statistics hesabu hizi huwa wakati mwingine zinatoa majibu yasiyo sahihi hebu chukua mfano alionipa ukichukua nusu ya kiwiliwili cha binadamu ukaweka kwenye friji na nusu ukaweka kwenye oven kagawanya kwa 2 utapata normal body temperature lakini...
  12. babalao

    Naomba ushauri wa biashara!!!

    Hiyo milioni 50 umepataje? nakushauri utumie mbinu hizo hizo ulizozitumia kupata milioni 50 kupata zingine. Ukiwa na maswali nipigie simu 0755394701 naweza kukupa ushauri wa biashara gani ufanye, kwani lazima tukague vipaji vyako kujua unaweza kufanya biashara gani. Mimi ninatoa ushauri wa...
  13. babalao

    Great idea for banks to increase customer

    Usikate tamaa endelea na wazo lako
  14. babalao

    Msaada WanaJF: Biashara ya BAR Dar es salaam

    Nimesimamia biashara ya baa kwa muda mrefu najua mengi nipigie tuongeee 0755394701
  15. babalao

    Network marketing

    Mkoba mbona unaongea kwa mafumbo unazungumzia Network marketing ya kitu gani?
  16. babalao

    Natafuta mfadhili..

    Nitafute nikupe mawazo 0755394701
  17. babalao

    Tanzia

    Tunampa pole Caroline kwa msiba
  18. babalao

    Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

    Nimeshituka unauliza swali kijanja upate wazo alichukue liwe la kwako? Ukifanya hivyo hutafanikiwa tafuta ushauri wamo humu washauri wa biashara kama uko serious nipigie simu 0755394701 nikupe ushauri.
  19. babalao

    Natafuta bestman

    Endelea na mpango huo utaumia uslinilaumu kuwa nilikuonya huko unakoishi huna rafiki?
  20. babalao

    Nisaidieni mawazo pls

    Ukiona katika familia kuna malalamiko kama hayo kwanza itakuwa imepungukiwa upendo lazima kuna kasoro. Kuna familia ambayo kulikuwa na malalamiko kama hayo lakini nilipowasuluhisha niligundua tatizo lilikuwa siyo pesa ila ni kukosekana upendo, kuheshimiana na mawasiliano kwani kutokana na...
Back
Top Bottom