Search results

  1. N

    Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

    Uwezi mlinganisha na hawa malimbukeni na washamba wanaoharibu Tanzania
  2. N

    Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

    Tony Blair anatoka familia ya Matajiri , kwao wapo vizuri
  3. N

    Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

    Haijajengwa kwa Rushwa za ujenzi wa barabara
  4. N

    Jamhuri yakata rufaa Mahakama Kuu Mkoani Iringa kuhusu Kesi ya Abdul Nondo

    Jamii lazima iwe na watu wa aina zote na lazima wafanye kile wanachoamini ni Sahihi kwao! Hii ndo Sahihi.....sio kunyamazishwa nyamazishwa tu
  5. N

    Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Hivi Magufuli ulikuwa unamlilia Dr Reginald Mengi Kweli??? Wakati unatutesa, unatuua , unatuteka! Sisi watu wa Kilimanjaro tumezoea kuishi kwa kutofautiana.......hayo mambo ya Burundi yaridishe Butunfi uliko yatoa
  6. N

    Mdude ameuawa?

    Hivi kusema ukweli ni kutukana?
  7. N

    KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

    Kama Hatakuwa ameusika kumtanguliza Mzee
  8. N

    Maraisi waliotangazwa vs waliochaguliwa

    Ukiona anajiamini, anapenda watu wake, Hana chili......hasemi semi “ mimi Ndio Rais “ hatumii hila kutafuta sifa zisizo na tija , huyo atakuwa Rais wa Wananchi
  9. N

    Maraisi waliotangazwa vs waliochaguliwa

    Kwanini zile computer za center for human right zilichukuliwa na Police??? Katika uchaguzi wa 2015????? Kwanini matokeo yalikuwa yanatumwa mwingine Ndio yawned tume ya uchaguzi......Kile kituo Cha Mlimani City kilikuwa Cha nini?
  10. N

    Viongozi wa DINI hawasikii vile CAG anavyotaka kuzuiwa kufanya kazi yake

    Viongozi wetu wa Kiimani wa kikristo na kiislamu hawa Semi chochote kuhusu taarifa ya CAG
  11. N

    Maraisi waliotangazwa vs waliochaguliwa

    Tanzania katika Umri huu wa Taifa letu , tu Najua Au tu nahisi kuna Baadhi ya viongozi wetu wakuu wa taifa(Maraisi)!walilazimishiwa na tume ya uchaguzi na sio waliochaguliwa na wananchi na kuna waliotangazwa na Tume na pia wananchi waliwaridhia
  12. N

    MBEYA: Rais Magufuli ahutubia wananchi Uwanja wa Ruanda Nzovwe. Agusia usajili wa laini na machinga

    Kwani Nani alishinda? Aliyetangazwa Ndio rahisi sio alieshinda
Back
Top Bottom