Search results

  1. K

    Natafuta girlfriend na mie

    Natafuta msichana na mie kwa urafiki kwanza, na tuki click, tutaanza mapenzi. Naishi nje ya Tanzania ila ningefurahi kama wewe unaishi Tanzania, tunaweza kutembeleana nilipo au ulipo wewe. Sichagui.
  2. K

    Kuna mambo inabidi tuige

    TEHRAN, Iran May 24, 2014 (AP) A billionaire businessman at the heart of a $2.6 billion state bank scam in Iran, the largest fraud case since the country's 1979 Islamic Revolution, was executed Saturday, state television reported. Authorities put Mahafarid Amir Khosravi, also known as...
  3. K

    Msaada wa kusikiliza vikao vya bunge

    Wadau...ninawezaje kusikiliza vikao vya bunge mtandaoni? Natanguliza shukurani.
  4. K

    Sakata la gesi: Sikiliza Pride FM

    -Waziri wa Viwanda na Biashara huku akizomewa anasema gesi haitasafirishwa kwa bomba kwenda Dar , bali umeme ndio utakaosafirishwa - Serikali imeingia mkataba na Symbion kusafirisha umeme, SIO GESI kwenda Dar. - Mtwara itakua kitovu cha maendeleo Tanzania [ ha hahaaa] - Vijana wanaimba...
  5. K

    Elephants poaching in tanzania on pbs right now

    For those with WEB access or in US watch PBs right now they are showing a documentary on killing elephants on TZ right now. http://www.pbs.org/programs/battle-elephants/ http://video.pbs.org/video/2328694112/
  6. K

    Eti wazuri tu ndio waombe kazi !

    Katika mihangaiko ya maisha jana nimepita Iringa. Nikawa nasikiliza moja ya radio za hapa, sikumbuki ni ipi, lakini kulikua na tangazo la nafasi za kazi za sales people katika moja ya maduka ya hapa Iringa. Sifa za kazi ni mbili tu. Ujue kusoma na kuandika Kiingereza na Kiswahili, na pili uwe...
  7. K

    Rais wa argentina aogopa kwenda na ndege yake u.s.a

    Kweli Unyamwezini kiboko !! Serikali ya Argentina inadaiwa mabilioni ya dola na mabenki ya marekani ambayo nayo yaliuza madeni hayo kwa hedge funds za Wall St. Hii ni baada ya ule mtikisiko wa uchumi wa 1990's. Sasa Rais anaogopa ndege yake kukamatwa na kupigwa mnada. Hivyo anaona ni bora...
  8. K

    Fursa tuziachazo: GE wahamia Kenya!

    GE, a major US conglomerate with interests in aviation, energy, agriculture and finance imefungua ofisi hapo jirani. Safari zote za JK zina manufaa gani kwetu? Mbona Kibaki hasafiri sana na kazi zake nzuri zinaonekana ? Jibu lipo hapa, Bosi wa GE Kenya anajibu : What is your biggest worry as a...
  9. K

    Mdahalo wa kufunga mwaka: Mbio za urais CCM

    Kutokana na harakati za Urais 2015, ndani ya CCM kumetokea makundi mbalimbali yanayochagiza wagombea wao wapate nafasi hiyo. Hivyo basi wakati umefika kwa wananchi tujitokeze na kuwapigia debe watu tunaodhani wanastahili nafasi hiyo,kuwahoji na pia kujua misimamo yao kuhusu changamoto...
  10. K

    Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

    EL amekua akipiga kelele mpaka sauti kumkauka kwamba vijana wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Ameongea kwenye majukwaa, mashuleni hata vikao vya ndani ya CCM. Vurugu zote zinazoendelea leo ni kutokana na umasikini na kukosekana kwa fursa [ opportunities] kwa vijana wengi nchini...
  11. K

    Hatimaye china yapata meli kivita ya kubeba ndege

    China inaogopwa bure kumbe ndiyo kwanza inapata manowari kama hii. Marekani wanazo 11. huku 3 zingine zikiwa zinaundwa.Hizi za US ni nyingi kuliko za nchi zote zikichanganywa pamoja. http://www.bbc.co.uk/news/world-asia-china-19710040
  12. K

    Tanzania in top ten must visit places 2012.

    Tanzania named top ten place to visit in 2012. Sasa wageni wengi waliokua wanaenda Kenya wameanza kuja TZ. Yale machafuko ya kikabila ya uchaguzi uliopita imepunguza kidogo idadi ya watalii wanaoenda Kenya. Imetajwa pia kuimarika kwa miundombinu imechangia kuongezeka kwa watalii TZ. Kenya...
  13. K

    Waandishi kuwa na vibali zanzibar !!!

    Waandishi wa habari Zanzibar wanatakiwa kuwa na vibali vya serikali ili kufanya kazi. Hii ni kwa mujibu wa Suleiman Seif, mwenyekiti wa Baraza la Habari Zanzibar akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani. Tunaelekea wapi nchi hii? Lengo ni kuwabana waandishi kama vile madaktari...
  14. K

    Wanamichezo wa cameroon waingia mitini london rf

    Wanamichezo saba wa Cameroon walioenda London kwenye Olympic wameingia mitini kwa sababu za kiuchumi [ wamezamia]. BBC News - London Olympics: Cameroon athletes 'abscond'
  15. K

    Cnn outfront : Reporting live from kigali

    Kiwete sijui atajifunza lini kutozurura zurura. Fanya kazi nyumbani heshima itakufuata. Pamoja na kuzunguka kote watu wanampuuza. Rwanda inasifika kila kona. Kesho Kagame anahojiwa Live. Tonight 7p ET: Erin Burnett 'OutFront' in Africa – Erin Burnett OutFront - - CNN.com Blogs
  16. K

    House hunter international: Tanzanian episode

    Kwa mlio USA angalieni sasa hivi HGTV wanaonesha familly inataka kupanga nyumba Dar-es-Salaam Worldly Couple Braves it in Tanzania : House Hunters International : Home & Garden Television
  17. K

    Inahitajika nini ili radio isikike online?

    Ninajuliza hivyo tukiwa tunaekea bunge la bajeti wiki ijayo. Ni kwa nini RTD haisikiki online? Je ni gharama sana, hamna wataamu, uzembe au hamna maslahi ya kibiashara?
  18. K

    Is kikwete a genius?

    Huwa ninajiuliza kila siku , kama Kikwete amepewa ripoti ya CAG iliyo chafu namna ile, madudu yanayoendelea kila kona ya nchi hii, kashfa za bandari , ATC, mawaziri wezi, rushwa, halmashauri zilizojaa mafisadi na yeye anayajua yote haya na hafanyi chochote, ni kwa nini? Lengo lake kuu ni...
  19. K

    Wanasheria wapo wapi?

    Tumeshuhudia hivi karibuni mgomo wa madaktari na tishio la mgomo mkubwa wa waalimu. Licha ya kutetea maslahi yao, wadau wa migomo hii wamekua kwa kiasi kikubwa wakidai uboreshaji wa huduma wanazotoa kwa wananchi. Hivyo basi wafaidika wakubwa wa migomo hii ni sisi wananchi. Lakini kwa nini...
  20. K

    Thabeet sent to blazers

    Hasheem amekua traded kwenda Blazers, atapata muda kidogo wa kucheza kwa sababu center wa Blazers Marcus Camby ameenda Rockets. http://sports.yahoo.com/nba/news;_ylt=AjgHgGpCJLlx2HNUIcNC2em8vLYF?slug=ys- marcus_camby_rockets_blazers_trade_031512
Back
Top Bottom