Search results

  1. M

    Mpenzi wangu kanizidi umri

    Wadada wametetea hoja sana sijui kwanini?
  2. M

    Iringa sehemu nyingi zinaanza na "I" Nini maana yake?

    Kuna kipindi nilipata tenda flani kwa watu wa KKKT kule Moshi. Karibia kote walikonipeleka kufanya tathmini ya awali majina yake yanaanza na Ko..... Kolila Kondeni Kotela Komakundi Komalyangoe Korini Hii nayo maana'ke nini?
  3. M

    Mbona wameachana

    Navuta subra annito
  4. M

    Gazeti la JAMHURI limenunuliwa nakala zote ili lisionekane mtaani leo

    Hueleweki. Kwani we shida yako ni kuuza gazeti au kuhakikisha limesomwa? Gazeti limenunuliwa lote, wewe furahi. Kilichosababisha linunuliwe lote kiandike tena kesho, linunuliwe tena. Fanya biashara.
  5. M

    Kesho Baraza la Maaskofu PCT kumjadili Kikwete !!

    Idadi ya waislamu imefidiwa na wajumbe wa Zanzibar ambao ni theluthi moja ya wajumbe wote. Kama tungekuwa tunatunga katiba ya Tanganyika ingefaa hili likatazamwa kwa mtazamo tofauti.
  6. M

    Kesho Baraza la Maaskofu PCT kumjadili Kikwete !!

    Mimi mkristo, lakini naweza kusema kuwa kwenye hili suala la utapeli wa sadaka sijaliona kwa waislamu. Sijaona sheikh aliyetajirika kwa kutapeli watu kuwa eti "wakapande mbegu" kwake. Haya mambo nimeyaona kwetu wakristo, utapeli uliokithiri kabisa. Kwahiyo ningehimiza TRA kama wanataka vuno la...
  7. M

    Kesho Baraza la Maaskofu PCT kumjadili Kikwete !!

    Hao PCT nao waache ulalamishi wa kitoto. Kwani walipendekeza majina mangapi? Na kwani kila taasisi iliyopendekeza majina walipata mwakilishi? Mngesoma ile taarifa ya uteuzi wa wabunge hao mngeona changamoto ilivyokuwa, isingewezekana kupata wabunge kutoka kila kundi. Lakini hebu pia...
  8. M

    Mbona wameachana

    Ukitokea kupendana kikweli na mtu halafu for some reason mkashindwa kuendelea, wale wote watakaofuata utajikuta unaishi nao kwa tahadhari tu, penzi halitaweza tena kuwa la ukweli kama lile la mwanzo. Ndio maana hadi leo bado niponipo, demu akiniambia ananipenda yaani feeling ninayopata...
  9. M

    Mbona wameachana

    Niko tayari kubadilika for her, na si kwakuwa wewe umesema
  10. M

    Mbona wameachana

    Wapi niliposema alikataa kuolewa nami?
  11. M

    Mbona wameachana

    Ungekuwa wewe ungefanyaje? Ungekasirika?
  12. M

    Mbona wameachana

    Sijafuatilia maisha yao wala sijachangia chochote katika kuachana kwao. Hivi juzi nimekutana naye kwa bahati tu, wakiwa wameshaachana na kugawana mali.
  13. M

    Mbona wameachana

    Mimi sijaoa wala sina mtoto.
  14. M

    Ex-GF wangu kaolewa jana

    Mkuu naona umedandia gari kwa mbele
  15. M

    Ex-GF wangu kaolewa jana

    Kama alikuwa anamfaa mbona wameachana?
  16. M

    Ex-GF wangu kaolewa jana

    Mimi siyo porter kwenye hoteli. Nafanya kazi yangu mwenyewe nimejiajiri, majuzi tulipokutana nilikuwa na kazi hapo hotelini. Kwa hayo mengine uliyosema nimekusoma.
  17. M

    Mbona wameachana

    Kitu gani kinakusababisha kudhani kuwa hatuelewani na huyu?
  18. M

    Mbona wameachana

    Asante sana kwa kunielewa. Umeandika sahihi kabisa kuhusu sababu yangu ya kuleta huu uzi. Ila napenda kusahihisha kuwa hajawahi kunikataa, mimi ndiye nilikuwa sieleweki kwake alipokuwa anauliza habari ya ndoa. Sikuwa tayari. Halafu tangu alipoanza kusisitiza kuhusu ndoa sikumtendea vizuri...
  19. M

    Mbona wameachana

    asante kwa mchango wako wa wazo zuri. Bado tunajitafakari.
  20. M

    Mbona wameachana

    asante dada
Back
Top Bottom