Kuna bidhaa nyingi tu zinazotoka kenya kama bamia, chai. Uganda wanaleta ndizi, viazi vitamu unga wa ulezi unga wa sembe. Kuna maembe. Ila kwa ipande wa Tz bado.
Sisi watanzania wengi tunapenda kufanikiwa overnight. Hatupendi kufanya research kupata information hasa kwenye mitandao kuna taarifa za kutosha kukufumbua macho na kukuonyesha njia. Kuna vijana niliona wako nafikiri Moshi au Arusha. Wanawawezesha wakulima wadogo wanalima kunde mbichi wana...
London kama huna kadi hupandi basi...kama ni mgeni kuna maduka unaweza kupata kadi ya kutumia siku moja tu kwa safari zako. Wakazi wote wana kadi maalum zinajulikana kwa jina la Oyster card...unaweza ku top up kwenye maduka au train station. Madereva hawapokei kabisa pesa hii system iliisha...
Sote tunakubaliana na mfumo mbaya wa elimu..including Tndu Lissu. Sasa yeye kama kiongozi mmojawapo wa chama cha Upinzani anasemaje juu ya kurekebisha mfumo huu mbaya. Watanzania wengi hawana uwezo wa kuwapeleka watoto shule za private hasa vijijini. Lazima kuna sababu za msingi za yeye...
Hawa wanasiasa wana uzoefu mzuri tu wa kukabiliana na mambo kama haya..hivyo sidhani kama inaweza kuwa na impact kubwa kwenye position yake. Jamaa atapangua tu ni mwanasiasa ingawa bado mchanga lakini pia ni msanii.
Huyu Faiza anajua anachokifanya. Kuandika kitabu sidhani kama ni makosa hata Sugu aliandika kitabu cha historia ya maisha yake na wabaya wake aliwa highlight..pamoja na mademu aliotoka nao including alivyoachwa na mtoto wa waziri mstaafu. Aliandika pia kuwa majani alikuwa akipata.
Hivyo...
Tusilaumu tu hao watu wa nje kutokutoa kodi, maana mfumo mzima wa kutoa/kufuatilia kodi ni mbovi nchini. Wengi wa wafanya biashara na wanamuziki wa nchini wanataoa kodi inavyotakiwa? ...hao wabunge nao hatuna uhakika kama wanalipa kodi ipaswavyo, wana miradi mingi, magari ya kifahari...je...
Najua kuwa Mungu hafanyi kazi kwa amri za binadamu. Ila nimekuwa nafikiria hivi kama kitu kama hicho kikitokea ni mfano tu...don't take me wrong, just being curious about this...
Sina pepo lolote lile, ila nimekuwa nikisoma thread nyingi humu ni malalamiko mara kanikimbia mara hanitaki, na wengine wanawakubali watu ili mradi tu. Mimi ni mcha Mungu, ila hivi ikitokea kama Mungu akaweka hiyo option basi kutakuwa na mifarakano mingi tu.
Itokee siku moja Mwenyezi Mungu atutamkie viumbe wake kuwa kila mmoja wetu amfuate yule ampendaye kwa dhati toka moyoni. Hata kama uko kwenye ndoa/mahusiano kama mpenzi/mke/mme wako ndiye basi baki hapo hapo, lakini kama siyo basi mfuate yule ambaye moyo wako unampenda kwa dhati. Nafikiria hivi...
Wabunge wapo kwa idadi ya namba, lakini wawakilishi wa wananchi hakuna. Wengi hupiga kelele kwa manufaa yao zaidi, hakuna uwakilishi wa kutatua matatizo ya wananchi. Wanangojea majanga yatokee ndipo waanze kupiga kelele zisizo na mpango.
Hii imenikumbusha mbali sana, miezi sita hadi kufika rank ya uservice ilikuwa kama miaka. Kuna maafande wengi walikuwa wanapenda kusimamisha milingoti na makuruta usiku jambo la kujihadhari sana. Hii intake ya kwanza na hao jamaa wana kiu mbovu.
Hata mtoto mdogo anapojifunza kuongea lugha yeyote huanza na sentensi mbovu mbovu na hatimaye hunyooka. Watoto kutokana na kutokuona aibu hujua mapema mno lugha kulinganisha na watu wazima. Hivyo lugha ni mazoezi ya kuongea hatimaye utaifahamu vizuri.
style ya unywaji pombe ndiyo utamaduni unaoelezewa kibuyu na mrija. Kama mavazi zote ni nguo kihifadhi mwili ila tofauti ni mishono na materials za nguo, wengine ngozi, vitambaa nk.
Na yeye Zitto pamoja na elimu yake pengine hakuwa makini kuipitia hiyo budget kabla ya kuiwakilisha bungeni kwa kuwa naye pengine aimeishaona udhaifu wa bunge ambalo limekosa watu makini, kama angelifahamu hili basi kabla ya kuiwakilisha angeipitia kwanza kwa umakini. Bunge letu limejaa watu...
Hali ya uchumi inapokuwa mbaya hakuna budi kujinyima na ikiwezekana kuishi kama zamani. Kama ulizoea kula na mboga tatu pesa ikipungua sioni ajabu kurudi kwenye mboga moja na kula nyama mara moja kwa wiki badala ya mara tatu. Enzi ya Nyerere tulikula unga wa yanga kutokana na hali mbaya...
Naunga mkono uchambuzi wako. Pia kuna kipindi waziri mmoja aliwahi kusema kuwa wabunge wangi wanashindwa kuielewa budget kutokana na lugha na hata lugha yetu ya kiswahili pia kinawawia vigumu kuelewa. Pia nina mashaka hao wabunge kama huwa wanasoma kwa makini hiyo budget, nahisi hata wanapopiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.