Search results

  1. Kalimati

    Mwenye Degree yake anafanya haya, kweli vyuma vimekaza

    Naomba mwenye contact number ya huyo kijana ASAP aniDM, nimependa kazi yake
  2. Kalimati

    Udongo wa kupandia miche (planting medium)

    4500 kwa kilo
  3. Kalimati

    Tunauza mbolea za Yara

    Kwa kilo pia tunauza bila shaka, lengo letu sio kumuumiza mkulima Bali kumsaidia stoke kwa kupitia kilimo. maelezo mengine unakaribishwa kuwasiliana nasi kwenye namba tajwa
  4. Kalimati

    Tunauza mbolea za Yara

    Ubora wa mbolea za yara upo kwenye virutubisho vilivyomo. Mbolea hizi zipo katika mfumo wa punje punje ambapo kila punje ina virutubisho zaidi ya 6 ukilinganisha na mbolea zingine. Virutubisho hivi vinatofautiana kulingana na mahitaji ya zao. Mfano YaraMila CEREAL mbolea ya nafaka ina NPK...
  5. Kalimati

    Udongo wa kupandia miche (planting medium)

    Pata huduma hizi kutoka KILIMO JOINT 0683556677 - Ushauri ( consultation) - Mbegu (Seeds) - Mbolea (Fertilizer) - Kuchua udongo kwa ajili ya kupimiwa (soil sampling) - vifaranga vya samaki (fingerlings) - Chakula cha samaki (fish feeds) - Vitamini ya samaki (fish vitamins) - Mabwawa ya samaki...
  6. Kalimati

    Mbolea ya Mboga Mboga

    YaraMila WINNER, mbolea hususani kwa ajili ya mboga mboga na matunda. Mbolea hii inavirutubisho zaidi ya 6 kwa uiano unaohitajika kwenye mboga mboga na matunda. Ili kujifuza zaidi piga *149*50*31# BURE kisha jisajili au tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii @yaratanzania
  7. Kalimati

    Mkulima wa mpunga anufaika na mbolea

    Anneth Jacob au Mama Gilo, ni mkulima mdogo wa mpunga kutoka skimu ya lake tatu mkoani Arusha. Awali Mama Gilo alikua akivuna magunia 7 ya mpunga kwa kutumia mbolea za kawaida. Baada ya kupokea elimu ya lishe linganifu ya mimea kutoka #yaratanzania mazao yake yalianza kuongezeka kwenda gunia 22...
  8. Kalimati

    Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

    Sasa hivi tunaweka mawowo feki, kope feki, kucha feki, ngozi feki hakuna uhalisia wa urembo wetu. Tujikubali kwanza then tutaonekana warembo. Of course wanaoonekanaga na kuwekwa kwenye rating ni wale wanaojulikana zaidi kama masuper stars lakini wakienda umang'atini watatuweka watanzania namba 2
  9. Kalimati

    Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

    Watanzania tunatumia karolite sana ndio maana. Hatuna rangi ya kuzaliwa kukicha mikorogo
  10. Kalimati

    Nigeria yauza ndege 2 za rais

    Magufuli effect
  11. Kalimati

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Mimi jina lako tu ndio limenifurahisha na kauli yako uliyoitoa vinaendana [emoji1]
  12. Kalimati

    Dr. Kigwangalla hapa umechemka! Huku sio kufikiria hata kidogo

    angeanzisha campaigns za kuhamasisha wananchi ili watoe damu. Hali ya maisha duni mtu hata kula vizuri milo mitatu yenye tija kazi anaweza tu wapi akapate hela ya kununua mchicha. Wape watu matembele na vitu vyote vinavyosababisha damu kuongezeka mwilini, wale mlo wa kushiba na kuwapunguzia...
  13. Kalimati

    Mafunzo ya kilimo cha matikiti na Kilimo Joint Tanzania

    ukiwa tayari utatujulisha tutaona cha kufanya
  14. Kalimati

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Kilimo Cha Tikiti. Je unataka kujitunza kuhusu kilimo cha matikiti? wasiliana nasi kwenye Whatsapp namba 0683556677 Kwa ada ya shilingi elfu mbili tu uweze kuunganishwa kwenye group. Kumbuka ada hii ni kwa ajili ya somo hili tu. Kila wiki kutakua na masomo tofauti tofauti kuhusiana na Kilimo...
  15. Kalimati

    Mafunzo ya kilimo cha matikiti na Kilimo Joint Tanzania

    Kilimo Cha Tikiti. Je unataka kujitunza kuhusu kilimo cha matikiti? wasiliana nasi kwenye Whatsapp namba 0683556677 Kwa ada ya shilingi elfu mbili tu uweze kuunganishwa kwenye group. Kumbuka ada hii ni kwa ajili ya somo hili tu. Kila wiki kutakua na masomo tofauti tofauti kuhusiana na Kilimo...
  16. Kalimati

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Kilimo cha kitunguu - Andaa shamba lako tayari Kwa upandaji - Ikiwezekana Pima udongo wako kujua pH yake - Kitunguu hustawi vizuri kwenye hali yenye ubaridi na Kisha baadae huhitaji jua Kwa ajili ya kukauka. Hii ni kukupa muongozo ni kipindi gani uanze kupanda kutokana na mkoa na pindi za...
  17. Kalimati

    Ugonjwa wa mnyauko kwenye mimea kama nyanya n.k

    sisi hatupimi udogo tunatoa ushauri wa Kilimo na ufugaji samaki pamoja na usambazaji wa pembejeo hizo. vyao kama SUA ndio wanapima udogo Kwa utambuzi wa magonjwa
  18. Kalimati

    Ugonjwa wa mnyauko kwenye mimea kama nyanya n.k

    Je, unaijua ugonjwa hatarishi ujulikanao kama mnyauko unaosumbua zaidi mazao kama nyanya, hoho na kadhalika? Kabla hujaanza kulima tunakushauri kwanza kupima udogo ili kujua kama Kuna ugonjwa wowote Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi Kwa kutumia namba zetu za simu 0683556677 au barua pepe...
  19. Kalimati

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF

    Aisee mbona ni ukurupukaji? Inamaana hawakujua utaratibu wa sheria mwanzoni? Aliemteua nani hadi akamtengua? Kuna mawasiliano mazuri kati ya idara na idara ndani ya serikali? mbona Viongozi wetu wanaonesha weaknesses zao nje nje wananchi tuwafikirieje?
Back
Top Bottom