Search results

  1. mbogo31

    Dr Mwigulu PhD ameiomba kampuni ya Huawei kuwekeza Tanzania kwenye Mifumo ya teknolojia itakayoboresha Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali!

    Mambo ya Tanesco yanataka kuja na huku, nasikia Tanesco kuna software (ERP software imekodishwa kwa $30million) hivi eGA hawawezi kudevelop hizi applications kweli?.
  2. mbogo31

    Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Hapa ndipo umuhimu wa kuwa na spika asiyekuwa na chama unapokuja, ila simtetei Ndugai maana nae hajanyooka, ukiamua kunyooka nyooka siku zote.
  3. mbogo31

    Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

    Kumfananisha Pole pole na mwalimu Nyerere ni kumpa sifa ambazo hana, polepole ni kijana mzuri na anaweza kuja kuwa kiongozi mzuri huko mbele ya safari ila bado ana mambo mengi ya kujifunza, pia kiongozi wa ngazi ya Rais anatakiwa awe na sifa nyingi lakini miongoni mwazo lazima awe na; Busara...
  4. mbogo31

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    majibu ya namna hii hutolewa na watu wenye ufinyu wa mawazo na uwezo mdogo wa kufikiri, mtu makini huwezi kuendelea kujadili jambo na mbumbumbu, na kwa kuwa nimegundua hili sitajadili tena jambo hili na mtu asiyetumia kichwa kufikiri.
  5. mbogo31

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    haya mambo tusiyaombe yakukute, tumpongeze hata huyo Lissu kuweza kuyakabili, Mungu mwenyewe atupe moyo wa huruma na upendo, katika hii dunia sisi tu wapita njia.
  6. mbogo31

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Asante sana, kama wenye mamlaka wameshindwa kuwajua waliompiga risasi mchana kweupe, tena kwenye eneo lenye ulinzi imara na uzio, linalokaliwa na wakubwa wa nchi, kwa nini sasa unataka arudi? ili wasiojulikana waendelee na kazi walioianza?
  7. mbogo31

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Nafikiri hatuelewani, niishie hapa, ila nikuulize "wasiojulikana ni kina nani?". hao ndio wanafanya Lissu asirudi nchini.
  8. mbogo31

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    bodo tu hujaelewa, kumtuhumu mtawala haimanishi kwamba hawezi kukuhakishia usalama wako, ukituhumiwa kanusha tuhuma kwa kutoa vielelezo na kumhakikishia anaekutuhumu ushirikiano wa kujua ukweli, ikumbukwe hapa mtuhumuiwa sio kwamba ni serikali tu, yaweza kuwa hata wenyewe Chadema, ama genge...
  9. mbogo31

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Hapa tuwekane sawa, usikimbilie kuita wenzio pumba, ngoja nikwambie, kamiminiwa risasi zaidi ya 38 mchana kweupee, watu walimmiminia mpaka sasa hawajulikani, no updates on what is going on, kawa hospital kwa zaidi ya miaka miwili na nusu, anaanza vipi kurudi bila kuhakikishiwa usalama wake na...
  10. mbogo31

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Yaani hujui mtu alipo ila unaendelea kupeleka malipo yake kwenye account tu, kuna tatizo hapa.
  11. mbogo31

    Mzee Sumaye: Kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanapaswa kuwa wavumilivu amani ikitoweka wote tutavurugikiwa

    Huyu alikuwa waziri mkuu wetu kwa miaka 10, hiiiiiiii, nafikiri ni muda mzuri kwake kupumzika sasa.
  12. mbogo31

    Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

    Ni haki yake kugombea ila vigezo na masharti vizingatiwe tu.
  13. mbogo31

    Same Mashariki: Jimbo lililo nyuma kwa maendeleo kuliko majimbo yote ya mkoa wa Kilimanjaro

    Mikoa ya Dodoma na Tabora ni mikoa ambayo imechagua CCM kwa wingi sana miaka nenda miaka rudi, aise kunamaendeleo sana, Maji safi wilaya zote, Barabara safi wilaya zote, Elimu bora kabisa, Hospitali kila kijiji safi kabisa. Pongezi kwa wananchi wa mikoa hii, Nipende kusema Mbunge haleti...
  14. mbogo31

    CAG Mfano wa Kuigwa kwa Wasomi

    Majaji Vipi Mkuu?
  15. mbogo31

    Kuchagua upinzani 2020 ni msiba wa kujitakia

    Ndugu yangu kwanza nikushukuru kwa bandiko lililobeba utashi wako. Napenda uelewe kura ama uwamuzi wa kuchagua ni haki ya mtu binafsi ingawa wengine wanaweza tu kumshawishi achague waonavyo wao ila maamuzi ya mwisho kabisa ya kuchagua ni ya mtu mwenyewe. hii imelindwa na Katiba ya Nchi yetu...
  16. mbogo31

    ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

    Tatizo la watanzania wengi ni kuongea sana bila ushahidi wala kujua chochote.
  17. mbogo31

    Bunge laazimia kutofanya kazi na CAG kufuatia kauli yake juu ya 'udhaifu wa Bunge'

    Kwa Maana hii na kwa maslahi mapana ya nchi CAG anatakiwa ajitafakari mwenyewe, ili tusonge mbele.
  18. mbogo31

    Nini 787 dreamliner na tugemee nini?

    HAPA UONGO MWINGI SANA
  19. mbogo31

    Nini 787 dreamliner na tugemee nini?

    "mfano mgeni huyu anatumia lita 6,811 kwa saa" hili jambo unauhakika nalo, kutoka USA mpaka TZ itatumia lita ngapi? kwa muda wa masaa 13 hadi 16? mnapoongea muwe na uhakika. unajua hiyo ni Sh ngapi mafuta tu. hapa kunauongo kabisaaa.
Back
Top Bottom