Search results

  1. coby

    Picha: Matumizi ya bilioni 10 kwa UDSM kama yanavyoonekana kwa sasa

    Hiyo nyumba yako ya gholofa moja hata hujaezeka imetumia 90m. Sasa fikiria inaingia mara ngapi kwenye yale magholofa ya floor nne nne. Then tafakari kama 10b is real cost.
  2. coby

    JK sasa fanya hivi!!

    "Hatuna marafiki wa kudumu wala maadui wa kudumu", G. W. Bush. We vipi bwana unadiliki kumuita rafiki mtu anayegeuka kama kinyonga?! Mtu ambaye mkianza kupigana atauza silaha pande zote mbili na kuchochea mpigane zaidi ili avune hadi vitu vyako vyote vya ndani! Unawategemea watu ambao mkianza...
  3. coby

    FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

    Lazima tukubali Security level yetu ipo chini sana, polisi yetu anaweza kupokea hata buku 5 tu akaruhusu gaidi akapita(Potelea mbali watakaolipuliwa maadamu yeye kapona njaa). Kwa jinsi Wamarekani wanavyowindwa na mitandao ya magaidi popote pale ulimwenguni kamwe hawawezi kuweka rehani yoyote...
  4. coby

    Mbowe na Lema: Kweli hamuogopi kufa/kifo??

    If you are a leader of a certain movement against certain higher powers then automaticaLly you are a number one target because once you are down and the movement is down or taken to several steps backward. Yes you risk several times but never let yourself die easily on the process. If Mbowe...
  5. coby

    Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    "Tanzania imegeuka, chini ya usimamizi wa wizara ya serikali hii ya ccm, kuwa TAIFA linalowateka nyara wanahabari, kuwatesa, kuwang'oa kucha na meno, kuwatoboa macho, kuwamwagia tindikali au hata kuwaua", Sugu. - Je si kweli Tanzania kama TAIFA limewafanyia hivyo wanahabari kadhaa, bila kujali...
  6. coby

    Wale wa fastjet safari hiyo inaanza byeee!!

    Promo hiyo, mwisho tar 22.12.2012. Baada ya hapo ni 380,000 mwz-JNIA-Mwz
  7. coby

    NSSF yaelekea kufilisika

    Mkuu, si estate manager wala finance manager wala kiongozi yoyote wa UDOM anayehusika kwa namna yoyote kwenye hela za ujenzi wa hicho chuo. Majengo yote yanajengwa kwa hela za mifuko ya jamii (NSSF, PPF, etc) na wasimamizi wote wanatoka kwenye mashirika hayo, wakandarasi na washauri ujenzi wote...
  8. coby

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    Mkuu unahitaji Mungu aje kukuambia una Gas, mafuta, maji na madini ardhini?? Unahitaji Mungu akuambie uyalinde na uyatumie vipi?? Incredible!!!! Hivi nikiwa na Dhahabu nikaamua nisiiuze leo kwa sababu naona mimi si mtaalamu wa masoko yake, naona ntaibiwa tu, naona ngoja nisomeshe kwanza watoto...
  9. coby

    Picha - Design ya apartment iliyotulia India, nakunwa kichwa

    Umenichekesha sana mkuu Sorrow to Joy, nikakumbuka na speech ya Mch. Msigwa Bungeni, "...We don't pray for this..."
  10. coby

    Picha - Design ya apartment iliyotulia India, nakunwa kichwa

    Mkuu RR maswali yako yote ni ya msingi sana. Imefikia wakati Watanzania hatutaki kabisa kufikiri, siasa imetuharibu fikra na sasa kila tatizo letu ili kulitatua tunaanzia kisiasa na tunajikuta hatufikii hata kwenye utaalamu na mbaya hata zaidi utatuzi wa kisiasa ni wa kuiga walichofanya au...
  11. coby

    Picha - Design ya apartment iliyotulia India, nakunwa kichwa

    Nimekusoma mkubwa Kwapa, ni jazba tu ya watu kudharau wataalamu wao wa ndani. Uchumi wetu ni mdogo sana kufikia point ya kujenga majengo kama haya.
  12. coby

    Picha - Design ya apartment iliyotulia India, nakunwa kichwa

    Mimi ni Mhandisi wa umeme (Electrical Engineer),Ngoja niwape shule kidogo sio mnaropoka ropoka tu kama majuha; 1. Jengo hubuniwa na Msanifu majengo (Architect) kulingana na mahitaji, matakwa na uwezo wa mteja wake ili mradi sheria za miji zinaruhusu; jengo unaloliona hapo ni matokeo ya kazi ya...
  13. coby

    Mwigulu Nchemba mbona yupo kimya bungeni siku hizi?

    Ameombewa na Mch. Msigwa mapepo yamemtoka japo Mchungaji ana kazi ya ziada kuendeleza maombi ili mapepo yasimrudie
  14. coby

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Ni Uchambuzi mzuri lakini naomba nipingane na wewe kwenye umalizio wako au niseme ungeongeza point ya Serikali yenyewe kuhusika moja kwa moja kuyafanya hayo. Huwezi kuitoa serikali kwa kigezo eti ni utoto kufanya hivyo. Tumeshuhudia serikali ikifanya mambo mengi sana ya kitoto kabisa au...
  15. coby

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Sasa uongo uko wapi hapo?? Ni vizuri ungeweka na ukweli wako
  16. coby

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Acha kuiona 20M kimasikini hivyo wewe!! Finance Manager wa NMB analipwa 20M kwa mwezi mmoja, marupurupu yake tu yanamtosha kumlisha, kumvalisha na kumsafirisha VIZURI yeye na familia yake. Kulipa 20M ada kwa mwaka kwake ni kama kulipia bili ya umeme au dstv tu. Sembuse Mbowe mwenye biashara zake...
  17. coby

    JK akifanya mazoezi lakini....

    Kuna upara umezungukwa na nywele nyeupe nyuma, sio Wasira yule ndani ya suruali na shati chini skuna
  18. coby

    Idd Simba, Salum Mwakinginda wafikishwa mahakamani

    Hivi kesi ya Mramba iliishia wapi?
  19. coby

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    Ashante kwa taarifa hiyo J. Mnyika (CDM). Angalau tumejua nini kilimsibu mbunge wetu. Lakini tungeomba vilevile taarifa ya kile mbunge wetu anafanya huko Marekani. Lengo sio kufuatilia maisha binafsi ya Leticia bali kufahamu MBUNGE wetu ambaye tunamtegemea kushirikiana nasi hapa nchini anafanya...
  20. coby

    Taarifa kwa Umma-Tamko la J.Nassari kuhusu Tamko la NMC

    Huyu dogo mi ni shabiki wake lakini siwezi fumbia macho kauli za kijinga kama ambavyo hata Mbowe hakuacha ujinga ule hivi hivi bila kuukanusha. Tena Mbowe hakuutolea ufafanuzi wa kupotosha kama huyu dogo alivyofanya, yeye aliikemea na kuiita ya kitoto. Dogo badala ya kuomba msamaha arekebishe...
Back
Top Bottom