Search results

  1. M

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    SITOI HUKUMU ILA KUNA MAJINA HUMU YANAJINASIBISHA NA UISLAM, KIUKWELI KWELI KABISA NI KUWA NINA MASHAKA NA UISLAM WAO AU WANATUMIA TU MAJINA NA SIO WAISLAM. mf: kuna mtu kafananisha swala na kukaa darasani kusoma, hivi utasema mwislam huyu, anajua umuhimu wa swala? kuna kipofu alimuuliza mtume...
  2. M

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    wakati nchi hii inapewa uhuru msomi wa juu wa sheria alikuwa anaitwa MUSA KWIKIMA na ndiye aliedhaniwa kuwa angekuwa jaji mkuu, badala yake alipelekwa kusoma jaji francis nyalali na alipohitimu ndio akapewa nafasi hiyo
  3. M

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    hata tanzania wapo wenye majina ya kiislam lakini ni mashoga ila bado uislam haujaruhusu ushoga na atakayefanya hivo na hakutubu mpaka anaingia kaburini basi adhabu kali ya moto ataipata, nyie ushost umeruhusiwa kanisani sio kosa la mtu mmoja mmoja so kwa kifupi nyinyi ni MASHOST
  4. M

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

  5. M

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    tatizo lenu hamuujui uislam bali mnabwabwaja tu na haya yote allah keshatuambia katika quran (hawatokuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka muwe kama wao) so tatizo letu hatuko kama nyie ndicho kinachowauma na haitotokea kamwe,mfano nyie dini yenu mnaruhusiwa usenge (ushoga) sisi hatuko ivo. aya...
  6. M

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    katika uislam kufungwa ni sunna ya nabii yusuph a.s, kuuwawa katika kuipiginia dini ya haki ni kuwa unajitengenezea free pass yako ya JANNAH (pepo) so wamkamate wamfunge wamuue wanachofanya ni kumtengenezea pepo yake tu,umma mkubwa upo nyuma yake na harakati zinaendelea kwani hata ponda...
  7. M

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    hii ishu sio ndogo kama inavofikiriwa, quran ndo kila kitu katika uislam, so kwa wasiokuwa waislam kwa kuwa hawaijui thamani ya quran wanaweza kusema kuwa kitu kdg, jambo jengine ni kuwa wale vijana walianza kubishana kuhusu quran na hatimae ikakojolewa na kutemewa mate udhalilishaji wa hali...
  8. M

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    hili swala liko wazi kabisa ni mvutano kati waislam na serikali japokuwa nimeona hapa kuna mvutano kati ya waislam na wasiokuwa waislam, sababu za waislam kupinga sensa hadi dodoso la dini liwekwe kwenye sensa wamezitaja, katika kuthibitisha hilo TBC waliomba radhi kwa waislam. sasa ifike mahala...
  9. M

    Elections 2010 Lowassa kurudi kwenye baraza la mawaziri

    chenge kwa kuwa kakosa usipika namshauri ampe uwaziri wa sheria na katiba, mh Lowassa Nishati na madini, Mh sana Rost Viwanda na biashara, awarudishe kina msabaha na yule mwingine wa bukoba mwenye tics kwa kuwa watakuwa wamejifunza bila kumsahau mramba kwa kuwa ni jembe jipya mpini wa zamani.
  10. M

    Elections 2010 Hujuma ya ccm kwa maalim seif sharif hamad, alishinda znz ccm walipora ushindi wake

    hayo yote kwa zanzibar yalifanyika, kumbuka uchaguzi wa '95, walipokataa nini kilitokea, 2000 ndo vile tena mauaji ya historia na ccm ikaendelea kubaki madarakani, 2005 unajua kilichotokea unafikiri hata wangekataa 2010 kingetokea nini?
  11. M

    Elections 2010 Uchaguzi Tanzania haukuwa na "dosari"

    (WAISLAM WATAKUWA NA BUSARA WATAKAPOANZA KULA KITIMOTO ) Mheshimiwa HAPA UMEUGUSA UISLAM SWALA KITIMOTO NI KATAZO KUTOKA KWENYE VITABU VYETI KWA WEWE KUONGEA MANENO HAYO MEANS UNAKIKOSOA, UMEKIKOSEA UMETUKOSEA TAFADHALI KAMA UNA BUSARA TUTAKE RADHI WAISLAM NA UISLAM. NITASHUKURU KAMA UTAKUWA...
  12. M

    Elections 2010 Vipi KALAPINA AMEPATA UDIWANI?

    ccm noma, ila ndo siasa kaza buti
  13. M

    Elections 2010 Vipi KALAPINA AMEPATA UDIWANI?

    Wana jf sijapata matokeo ya kalapina naomba mwenye habari zake atupashe
  14. M

    Elections 2010 Sumaye kafuata nini ubungo?

    Sipati picha wananchi wanavozingira vituo vya kuhesabia kura kama ingekuwa enzi za IGP OMARI MAHITA
  15. M

    Elections 2010 Waungwana sharif kanunuliwa zanzibar au katishwa?

    mtazamo wangu naona kaweka maslahi ya taifa mbele. halafu tujiulize hivi angesema mimi ndie nimeshinda ccm na zec yao wangekubali? bila shaka wasingekubali na matokeo yake wananchi wangeuana na shein bado angekuwa rais cuf wasingemtambua na na kila kitu wangepoteza kama ambavyo iliwahi kutokea...
  16. M

    Elections 2010 Tanga mjini, ccm aibu!!!!

    mbona nimesikia wamemtangaza wa ccm saa 9 usiku
  17. M

    Elections 2010 CONFIRMED: Lindi Mjini - Abdulazizi ameenda na maji, CUF wachukua jimbo

    Chama cha wananchi Cuf kimeongeza namba ya wabunge bungeni katika jimbo la kilwa kusini, jimbo lile lililokuwa limeshikwa na Mh Asnein wa ccm, yule muhindi
Back
Top Bottom