Search results

  1. K

    Rais Mstaafu Benjamin Mkapa atajwa katika kesi ya kina Mramba

    Tumeliwa! Mbona naona huyu shahidi wa kwanza wa mashitaka aliye muhimu anakubali hoja za mawakili wa utetezi zenye kulenga katika kuonesha kuwa Mramba hakukosea?
  2. K

    Landlover inauzwa bei poa

    Nzuri kwa kubebea majani ya ng'ombe aisee..
  3. K

    Vigogo zaidi wa BOT watinga kortini

    Kitakachotuboa ni pale kesi itakapoanza kupigwa danadana kwa kisingizio eti upelelezi haujakamilika. Ni bora wakamilishe upelelezi kwanza ili kesi ikianza ni mtiririko wa moja kwa moja, au wadau mnasemaje? Au ni vema waonje rumande kidogo?
  4. K

    Johnson Mashaka na mbio za Ubunge Ukonga

    Hiyo ni biashara, kesha anza tanguliza mtaji, zitarudije na faida?
  5. K

    Wema Sepetu mwakilishi BBA 2009?

    Nijuacho ni kwamba Kanumba alialikwa tu kuhudhuria uzinduzi na si mshiriki wa BBA. Ila la Siwema sina hakika nalo; kama ndivyo basi nina wasiwasi tutaaibika kwani nasikia hana hiyana kuugawa uroda..
  6. K

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Hivi mzee malecela na mama anna kilango wangekuwepo, ingekuwaje? Hivi wenyeviti hawa tunaosikia wanahofu sana mzee jm wangezungumza kama walivyofanya huku wakijua jm yupo kambi ya six? Natafakari..
  7. K

    Lowassa, Chenge were lined up for Speaker's job

    Wana-jf tufanyeje? Wanaamua wao, wanafisadi nchi, walio wengi wanabakia makapuku.. Kumbe ndo mana zile sehemu nyingine za dunia, mmoja hujitolea kuondoka nao ili waliobaki waendeshe maisha yao bila kadhia za kifisadi..
  8. K

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Wakati maonevu haya yote yakitokea kwa manufaa ya wachache, sisi wananchi tunafanya nini? Tunafurahia tu kuangalia kama watazamaji wa sinema? Tutajikomboaje? Nashindwa kuelewa kama Six angeng'olewa na kuwekwa EL au Chenge, mijadala bungeni ingekuwaje?
  9. K

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Kama ni kweli sina hakika kama ndiyo njia kuelekea kugombania uraisi kwa chama chake au la; hata hivyo naomba atoe kipaumbele cha kutokosa kuwa mjengoni dodoma katika kipindi kingine cha miaka mitano ijayo, kwa maoni yangu bado anahitajika sana pale.
  10. K

    Sitta awashukia maadui wake: Amwita mmoja "Mhalifu sugu"!

    Hakuna awezaye kumpeleka mahakamni kwa kuwa hakutaja jina la yeyote. Sitta naye ni mwanasheria kwa hiyo hili aliliona.
Back
Top Bottom