Search results

  1. mkaamweusi

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Hiyo ni biashara sio ujasirimali, kama hujapata fursa ya ujasiriamali endelea na biashara tu mkuu, usije ukaupoteza hadi mtaji.
  2. mkaamweusi

    Msaada jamani hiki ni nini?

    Duuh aisee pole sana,ngoja waje.
  3. mkaamweusi

    Business partner mwenye mtaji usio chini ya milioni 10

    Kwa lugha nyingine ni kwamba unatafta meneja wa biashara yako, Kigezo muhimu aweze kuchangia 10ml.
  4. mkaamweusi

    Dodoma Bei ya viwanja-Ilazo

    Ulipata kwa ngap?
  5. mkaamweusi

    Kwa Milioni 30, UTT amis na nyumba ya kupangisha kipi bora?

    Utt amis ni soko la hisa, Hisa sokoni zinaweza kupanda au kushuka unatakiwa ulijue hilo,na ulielewe Usije ukaleta fujo,siku unaambiwa mil 10 yako thamani yake imeshuka mpaka 4m.
  6. mkaamweusi

    Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Wadau bado kipo,kuna kingine cha sqm 1003 hati wizara pia nakiuza,karibuni
  7. mkaamweusi

    Nilivyonusurika kutapeliwa Mawakala kuweni makini

    hadithi za kufikirika 1.Hakuna tapeli mjinga wa kutoa elfu kumi ya soda kila anapokuja kufanya muamala. 2.Hulka ya binadamu lazima ustuke,faida ya muamala mmoja tu haifiki hata 5000. mathalani mtu akitoa 3,000,000 Faida/Mrejaa/Commission ya wakala ni SH 2500 tu. mtu akiweka 1,000,000 faida...
  8. mkaamweusi

    Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Jamaa anamaanisha ukiwa na chako,siku ukikwama utauza ili uweke mambo sawa,ni kama kufuga ng'ombe kule kijijini,mzee akaona mwanawe anaumwa atauza chake ili amudu gharama za kumtibu
  9. mkaamweusi

    Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Ndio huu mtaa umeenda mpaka kwenye hilo eneo la kiwanja chetu.Ukisimama hapo aliposimama huyo mtoto ukaangalia mbele,unaiona shule ya msingi magomeni. Yaani bara bara hiyo yenye nguzo inaelekea kwenye lile li uwanja la shule ya magomeni.
  10. mkaamweusi

    Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Hapo ni magomeni bomba la bure Shehe
  11. mkaamweusi

    Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Salama wakuu? Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni. -Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara. -kuna banda watu wanakaa -kipo jirani na chuo cha afya COTC -Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo. -Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo. Mawasiliano 0769476225
  12. mkaamweusi

    Hatua ya msingi

    Piga msingi wa mawe mkuu,watakuja kunishkuru wajukuu zako
  13. mkaamweusi

    Ramani hii itatosha kiwanja cha 280 SQM?

    Itatosha ila hapo sehemu ya parking au watoto kucheza,kuanika mahindi,pumba,unga,senene na sehemu ya kufulia au kupata kamti kakivuli,hiyo sehemu hutakuwa nayo
  14. mkaamweusi

    Ushauri: Ninunue nyumba au kiwanja?

    Jenga nyumba nje ya mji,ukijenga mjini kieneo kidogo utakuja kujilaumu mbeleni umri ukienda na familia imetanuka.Mji utakukuta tu na sio mbali within 5years mji unatanuka.
  15. mkaamweusi

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Nahisi hata sikuile ulibeba maiti bila kujijua.
Back
Top Bottom