Jamani Watanzania tumelogwa na aliye tuloga kaisha kufa.Ulimwengu wa sasa hivi unaenda zaidi kiuchumi na si kisiasa.
Ni ulimwengu amboa time is money and whereby you need to make decisions now and not tomorrow.
1: Regarding Railway
Tujilaumu wa Tz kwa ujinga wetu, tunayo Reli yetu, tumeiua...
We need a modern city, there is no any development in this world which occured bila baadhi ya watu kuumia.
Hivi wanaoindeleza Dubai ni wapumbavu????? Leo hii project Kigamboni ikitake off nani ataenda kununua plot Masaki ya dola laki 5 na zaid?
Je mwamanchi wa kawaida aliyepewa nyumba ya...
Nionavyo mimi Mwenyekiti wa CCM ana mambo mawili ya kufanya na kinyume cha hapo chama kimpasukie mikoni mwake maanake makundi hasimu yame kamiana mno;
Mambo hayo ni;
1
:Kusukuma hoja mwanamke kusimama kama mgombea wa Uraisi hivyo kuvunja makundi yote. Aslimia kubwa ya wanamtandao si safi kivile...
Haijalishi Kibonde ni nania au ana mahusinano gani na mada tajwa hapo juu? Ukweli ni waliotengeneza RV feki ni wauwaji tena ni wauwaji wa halaiki ya watu sawa na Adolph Hitler. Wanako staili kwa sasa hivi ni Jehanamu.
I believe nowadays there are a lots of people who are afraid of taking ARV...
Muungano ukivunjika.
Islamic Brother hood, Mujahideen, Bokho Haram etc etc watajazana sehemu moja ya muungano kule wanakowapiga risasi watu kwa kuuza pombe.
Ni nani anataka kuwa jirani na Somalia? Muungano huu unabeba matatizo mengi ambayo siku ukivunjika walihi Bilahi....................
Great thinkers hawajadili watu wanajadili issues, kama unamjadili mtu then you are not a great thinker.
Ukiwa jambazi aikuzui kumuita mwenzio jambazi, inawezekana wazee wetu walikosea zamani but probably wameishajua kuwa walikosea. Sidhani kukosea kwao kunawakataza kutushauri, jamani Tanzania...
Enzi hizo mtaa wa Pemba ndo kulikuwa kunapatikana raba mtoni,mashati ya yekeyeke,bati (jeans).Sabuni na Colget toka nje.
Mwee bila kusahau watu walikuwa wanafungiwa matambara badili ya nguo (kupigwa kagari)
Woote mnaoongea mnaongelea Magufuri kuwaambia wapige mbizi, wananchi kumzomea na kumtusi ni mnaona sawa!Kuwa kiongozi haikuondelei mtu ubinadamu na mara nyingi wengi wetu tungezomewa na kutukanwa lazima tungetukana zaidi ya hapo bora yeye kawa mstaarabu. Wengi wetu tungesema kxxxxx zenu.
Ukweli...
Baba wa Taifa alituhusia"mtu mwenye kuitamani Ikulu na hasa akipita huko na huko tena ana honga pesa hatufai! tumuogope kama ukoma! tumuulize izo pesa kapata wapi? atazilipaje? Ikulu kunabihashara gani? Ikulu ni mzigo hapafai kukimbiliwa"
Historia ni jambo zuri sana na inafaa tuwe tunaifuatilia...
Mwaka juzi/jana Rwanda mambo kama haya yalitokea, wauza mafuta waligoma kufungua pump zao wakadai mafuta yamewaishia, na hawawezi kuagiza tena maana bei elekezi itawatia hasara.
Kama kawa mwanaume wa shoka Kagame akawa kapewa rungu!!! Amri akatoa kwa jeshi likatoka makambini likakaa kwenye...
Kaka Dhino is the best footballer ever in this planet, namkumbuka siku ile Barca walipo kipiga na Real Madrid ya Ukweli Ukweli (Zizhou, Delima, Spice boy, Figo, Raul, n.k) ndani ya St.Barnebaeu, Barca waliipiga Real 3-0. Dhino alichukua mpira toka katikati ya uwanjaa na kufunga goli. I libidi...
ukweli ndo huo maisha sasa yamekuwa magumu tena kuliko ENZI ZA MWALIMU, mie Guninita na muona ka katumwa vile??? Muungwana nadhani hata ndani ya chama chake kuna makambale ambao wameshaanza kuota masharubu.Mrema enzi zake NCCR-Mageuzi alikuwa anapiga chini watu kama hawa. CCM ni chama tawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.