Search results

  1. Winnysammy

    Haya tena kwa wale wanaotaka mabasi toka german mercedes benz luxury bus

    Ni Mabasi peke yake anatuma Au magari madogo pia am also in German but i want to send from Here kuja huko
  2. Winnysammy

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Dear i will Write it Down and send to u nimebanwa Kodogo na shughuli bt i promise i will send
  3. Winnysammy

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Its Not Hard The more u eat Protein The more Ur Body Need water Meaning unapojaribu kureduce kula starch Mwili unatafuta maji so Mara Nyingi utakua unasikia kiu try its really Good
  4. Winnysammy

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Wow am so happy for u dear keep on moving if u need a food timetable let me know I know u will make it to the kilo u need nimefurahi kusikia taarifa hizi nzuri
  5. Winnysammy

    A serious Woman to join in marriage!!!

    Tatizo ushajilimit sana
  6. Winnysammy

    Jamani nisaidieni na huyu boyfriend wangu!

    Ushauri hutolewa lakini at The end of everything u will be The One to make your Decision,just know that marriage is not only kuvaa gauni nyeupe kualika maelfu na kuvishwa Pete there is a lot more than that sit him down and talk with him,don't make decision out of age fear cause by doing that u...
  7. Winnysammy

    Ulaya sasa hailipi!

    Hapo umenena ndugu yangu wana madeni wao wenyewe yamewazidi talking of taking care of other people from different country
  8. Winnysammy

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Jitahidi I know it will work nilikua na tatizo Hilo kwa hiyo naamini ni Njia itakayokusaidia sana usisahau Kunywa maji ya kutosha
  9. Winnysammy

    Msaada wa mawazo kuhusu kujiajiri

    Una Bachelor ya Nini?meaning umesomea Nini
  10. Winnysammy

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Unapokosea Ndugu Yangu ni kula wali usiku jaribu kutokula starch usiku wali Au ugali Au mkate ni Source Kubwa ya starch that One u have to avoid badala Ya kula chakula usiku jaribu kula matunda na maji moto usiku peke Yake yaani Hiyo Jioni Kabla hujalala.
  11. Winnysammy

    Pride in relationship

    Naomba unifafanulie jibu lako kiundani
  12. Winnysammy

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Sumu ni kuruka Mlo kama unataka kupungua na Uwe Mwenye Afya Nzuri jaribu kufuata Masaa sahihi ya Mlo kama ni kifungua kinywa basi Kiwe kwa mda wake wa asubuhi Lunch Pia kwa mda wake wa mchana lakini ifikapo Jioni jaribu kula chakula chako cha jioni Masaa manne Kabla hujaenda Kulala na jaribu...
  13. Winnysammy

    Ulaya sasa hailipi!

    Siamini kama Hao Wote wamerudi kwa kupenda labda wamerudishwa tutajuaje maisha yanalipa popote kama una malengo kuanzia mwanzo wa Safari Yako Bila malengo Ndio MTU huishia kulaumu lol
  14. Winnysammy

    Pride in relationship

    Watu8 nips tu jibu Kama unanipa jibu Jamani Mimi kuhusika au kutohusika si cha muhimu
  15. Winnysammy

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Jaribu kula more Protein than starch itakusaidia sana na Kunywa Maja mengi like 3liters per Day
  16. Winnysammy

    Pride in relationship

    Question to Men around Here,unapata Chili ana dem tajiri lakini Hataki kumuomba Msaada anapokua na tatizo hivyo huyo mwanaume anakupenda kweli Au Ndio kusema anaogopa kujishushia hadhi Hebu nisaidieni
  17. Winnysammy

    Hello

    Katavi mi natokea Moshi lakini kwa sasa naishi Ujerumani
  18. Winnysammy

    Hello

    Asanteni sana
  19. Winnysammy

    Hello

    Mi naitwa Winnie ni mgeni Humu ndani and am happy to be Part of this Forum all i Need is your Co-operation Thanks .
Back
Top Bottom