Search results

  1. M

    Natafuta Mtaalam wa Kufuga kuku wa mayai

    Ninataka kuanza mradi wa kufuga kuku wa mayai ninatafuta mtaalamu anayejua naman ya kulisha na kujenga mabanda yao. Naomba awasiliane nami kwa no.0713 68 96 65
  2. M

    Natafuta mtaalam wa kufuga kuku wa mayai

    Natafuta mtaalamu wa kufuga kuku wa mayai na jinsi ya kujenga mabanda yao Naomba anionyeshe Cheti cha utaalamu huo. Mawasiliano 0713 689665
  3. M

    Naomba mtaalamu mtu kutumia washing machine yangu

    Nilituma mtu kuninunula washing machine, lakini kwavile ni binti hakuelewa namna ya kutumia. Ipo user manual ila nina shida ya kuona maandishi madogo. Naomba mtu tupatane nae nitampa nauli na kuja kwangu na kurudi na ka asante ili aje anielekeze namna ya kutumia. Hakununulia duka la mjini ni...
  4. M

    Natafuta fundi wa kuzibua-fimbo

    Naomba awasiliane nami hapa hapa anijibu na atoe no.yake
  5. M

    Nauza simu iko katika hali nzuri tuu

    Ninauza HUAWEI Y530,BEI 150,000/= . Picha nitaileta baadae. Wasiliana na 0713 689665.
  6. M

    Fremu inapangishwa

    Ipo jirani na njia panda ya kwenda tcc club, inatazama bara bara kuuu ya changombe ina floor tiles na mlango wa aluminium ina ukubwa wa kutosha duka la chakula, dawa na duka la nguo. Kodi ni nafuu na nzuri sana na mkataba unaweza kulipa wa miezi sita. Wasiliana na 0713 68 96 65
  7. M

    Nawezaje kuwazuia paka kuingia kwangu?

    Jamani ninaomba msaada wa mtaalamu wa wanyama ili anisaidie kitu gani kitawazuia paka wa jirani kuingia kwangu. Paka hawa huingia kwenye fence yangu na kukesha wakilia nyuma ya nyumba yangu, imekuwa ni kero kiukweli. Naomba msaada nitamlipa akinifanikisha. Asanteni kwa ushauri
  8. M

    Fremu ya biashara inapangishwa maeneo ya changome, jirani na bora

    Fremu ya biashara inapangishwa ipo barabara ya changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Jirani na maduka mawili. Inatazama barabara kubwa ya changombe, temeke. Ina floor tiles nzuri na mlango wa aluminium na ni kati ya fremu nne ambao zina watu tayari. Kodi ni 115,000/= kwa mwezi...
  9. M

    Fremu ya biashara inapangishwa maeneo ya Chang'ombe, jirani na Bora

    Fremu ya biashara inapangishwa ipo barabara ya changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Jirani na maduka mawili. Inatazama barabara kubwa ya changombe, temeke. Ina floor tiles nzuri na mlango wa aluminium na ni kati ya fremu nne ambao zina watu tayari. Kodi ni 115,000/= kwa mwezi...
  10. M

    Nitapata wapi laptop used nzuri na imara?

    Naomba mtu anayefahamu zinapouzwa laptop nzuri imara anielekeze nitapata wapi? Na bei isifike laki 7 asante
  11. M

    Fremu ya biashara inapangishwa

    FREMUYA BIASARA INAPANGIHWA Ipo barabara ya changombe: Ni nzuri ina foor tlises na mlango w allumium wa ku slide. Mkataba ni miezi 6, na kodi ni nzuri laki mja kw mwezi wasiliana na 0713 689665
  12. M

    Furniture zinauzwa

    Vitu mbali mbali vinauzwa System, Radio ya Sonny whats 4600 beiyake-300,000/= Meza ya chakula ya mninga na viti vyake sita-260,000/=, Kabati la TV na kuwekea vitu vingine kubwa- 300,000/=,Makochi/sofa kubwa- watu 3-300,000/=, madogo mawili kila mmoja(kochi)-100,000/= Wasiliana na 0713-689665
  13. M

    Furniture mbali mbali zinauzwa

    Vitu mbali mbali vinauzwa:- System, radio ya sony whats 4600 beiyake-300,000/= Meza ya chakula ya mninga na viti vyake sita-260,000/= Kabati la TV na kuwekea vitu vingine kubwa- 300,000/= Makochi/sofa kubwa- watu 3-300,000/= Madogo mawili kila mmoja (kochi)-100,000/= Vyote viko kwenye...
  14. M

    Fremu ya biashara inapangishwa

    Fremu yabiashara inapangishwa ipo barabara ya Changombe jirani na njia panda ya kwendatcc club. Jirani na maduka mawili inatazamabarabara kubwa ya Changombe, Temeke.Ina floortiles nzuri na mlango wa aluminium na ni kati ya fremu nne ambao zina watutayari. Kodi ni 130,000/= kwa mwezi Wasiliana...
  15. M

    Fremu ya biashara inapangishwa

    fremu yabiashara inapangishwa ipo barabara ya changombe jirani na njia panda ya kwendatcc club. Jirani na maduka mawili. inatazamabarabara kubwa ya changombe, temeke. ina floortiles nzuri na mlango wa aluminium na ni kati ya fremu nne ambao zina watutayari. Kodi ni 130,000/= kwa mwezi wasiliana...
  16. M

    Fremu ya biashara inapangishwa

    ipo jirani na njia panda ya kwendatccc. Inatazama barabara ya kubwa ya changombe ni nzuri ina floor tiles, na mlangowa aluminium mkataba ni wa miezi 6, na kodi ni130,000/= kwa mwezi wasiliana na 0713-689665
  17. M

    Natafuta rafiki asiye na mke kuanzia miaka 56 kuendelea

    Ninaomba kama una mke au mpenzi usiniandikie. Maombi yawe kwa kuni pm sipendi iwe hapa sitaweza kujadili. Karibuni kwa urafiki na Kikrsto tu.
  18. M

    Fremu inapangishwa, iko jirani na maduka mawili

    Ipo eneno lnaitwa Chgombe, TEMEKE, inatazama baraba ya Chang'ombe Ina ukubwa wa kutosha duka la vipodozi , au ofisi a duka la chakula aunk. Ina mlago wa aluminium na floor tiles ndani na nje kwnye baraza. Ipo kati yamaduka manne. Kodi kwa mwezi ni 130,000/= na mkataa ni wa miezi si ta sio...
  19. M

    Fremu ya biiashara inapangishwa -iko changombe jirani na maduka mawili

    Ina ukubwa wa kutosha duka la vipodozi , au duka la chakula au ofisi nk. Ina mlago wa aluminium na floor tiles ndani na nje kwnye baraza. Ipo kati ya maduka manne. Kodi kwa mwezi ni 130000/= na mkataa ni wa miezi si ta sio mwaka. Nina maaan kodi inalipwa kwa miezi sita sita siyo kwa mwaka...
  20. M

    Natafuta fundi tv na radio sony system

    Kama ni fundi hasa ambaye sio mbabaishaji na awasiliane nami kwa namba 0713 689665 nina vitu hivyo nahitaji kurekebishiwa ante
Back
Top Bottom