Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi ya mpishi.
Muombaji awe jinsia ya kike pia awe na ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kiTanzania kuanzia vitafunwa mpaka main dishes , awe mkazi wa Kilimanjaro .
Huduma ya chakula cha asubuhi, mchana na...
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Kibosho -mweka kilimanjaro inatangaza nafasi za kazi ya kuhudumia vinywaji na chakula ( service).
Waombaji wawe jinsia ya kike , wakazi wa Kilimanjaro wenye ujuzi wa kuuza bar counter na kutengeneza cocktail watapewa kipaumbele.
MUHIMU
1.wasiliana nasi kwa...
Mgahawa unaitwa upcountry Kitchen taste upo mweka - Kilimanjaro , unatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa kike.
Muombaji awe msafi, anayejituma, anayejitambua, wenye uzoefu watapewa kipaumbele.
Maombi yatumwe kupitia whatsapp namba 0752808396 , ujumbe uelezee wasifu wa muombaji pamoja na...
Mgahawa unaitwa upcountry Kitchen taste upo mweka - Kilimanjaro , unatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu na wapishi wa kike.
Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro , awe msafi, anayejituma, anayejitambua, wenye uzoefu watapewa kipaumbele.
Maombi yatumwe kupitia whatsapp namba 0752808396 , ujumbe...
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi 2 za wahudumu na mpishi 1.
Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro, Muombaji awe msafi, anayejituma na anayejitambua,wenye uzoefu watapewa kipaumbele.
Huduma ya chakula cha asubuhi, mchana na usiku kwa staff...
Position title
Engineering surveyor
Introduction
Tanzania Photomap Limited specializes in Aerial photography, Engineering surveys, Orthophoto /DTM , Line / Vector mapping and hydrographic surveys, the company is based in Moshi, Tanzania.
Tanzania Photomap Limited intends to recruit qualified...
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste uliyopo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi 2 za wahudumu.
Muombaji awe wa jinsia ya kike na mkazi wa Kilimanjaro, awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea pia awe na mafunzo ya kutoa huduma mgahawani angalau ngazi ya cheti, mwenye uzoefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.