Matola, wala usibishane nao mimi hiyo ya Gatwick to Heathrow niliipita miaka ya mwanzo 2000 - 2003 nilikuwa natoka US naenda bongo thru umangani. Haikusaidii kubishana na asiyekubali.
Sio binti mkubwa, huyu ni mdogo wa Veronica ambaye alikuwa kichwa sana pote aliposoma. Ila huyu ni tofauti Na dada yake anzia primary. She was more social than the sister. Ndiye mwenye kuandaa miss universe ya Tanzania. Aliyemtoa Flaviana Matata!
Mbona hiyo ndogo, mi nilikuwa namaliza mihuri ya uhamiaji kabla ya kuondoka nikaambiwa kuna afande anataka kuniona. Nikajua toba, labda kuna mtu aliweka madawa kwenye mizigo waliyonipa ya ndugu zao. Basi huyu afande na minyota kibao na kirungu akawa ananisubiri kwenye corridor, hee si kaanza...
Nyani umeangalia jalada la kesi vizuri? Kesi inayoongelewa hapo na Invisible ni ya Winnebago county na ilitokea Forest City, IA...Na inafahamika sana...Kuna mdada Mnamibia alikuwa akiitwa Pansi alishitaki.
Kaka asante sana kwa muktasari wa hizi bendi....mimi ni mdau mkubwa wa SIKINDE na TINGISHA ila Niko Zengekala alinikuna moyo sana na Jakii na Solemba.....
Dominick CHilambo:Jongo, nafikiriri unanipata?
Jongo: Ndio Chilambo.
Chilambo: Huku Mwanza vijana wa Tuit Puissant Lindanda wanafungua kitabu, mpira ulianzia kwa Nico Bambaga akafungua chumba kwa ball dancer Mao Mkami ambae bila ajizi alimsogea Hamza Mponda na kumpeleka shule kipa wa Ushirika...
Wakuu Nguruvi3 na Mkeshaji wala msijisumbue na huyo Selemani. Angalieni kila topic inayomuhusu Makamba, kuanzia baba hadi mtoto yeye atatetea..... Nafikiri jibu mmelipata na jibu lako mkuu Nguruvi3 nadhani kijana atalitafakari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.