Search results

  1. chabuso

    Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

    Duh! Watu wenye akili kama zako Kumbe wako bado duniani Mind set ya mwafika itachukua miaka mingi kuwa huru Imancipate yourself from metal slavery non but yourself can free your minf
  2. chabuso

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hizo hadithi za zamani, hivi sasa ni tabu sana kuonana msenge Zanzibar, sisemi kama hawapo, lakini sio kama Kinondoni Daresalam Nasikia Arusha nako mashoga nje nje
  3. chabuso

    Mapinduzi ya Zanzibar - Januari 12, 1964

    It was genocide, Mauaji ya kimbari yaliyodhaminiwa na Uingereza, yaliyoongozwa na Nyerere pamoja na Waisrel ili kuuondoa Uislam katika upande huu wa Afrika Cha kushangaa Uislam umezidi kupamba moto Zanzibari, Mapinduzi ya Zanzibar sio kitu cha kujivunia, Wazanzibari wengi sana, wasio kuwa na...
  4. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Sijakufahamu umeandika nini,. Unatakiwa ujue kuwa Injili sio Biblia hivi ni vitabu viwili tafauti. Alichohubiri Yesu yaani Injili hakikuhifadhiwa,. Sasa wewe hiyo Injili umeisoma wapi?? Mnachohubiriwa makanisani ni Agano jipya aka Biblia.. Neno Biblia ni neno la Kigiriki lenye maana...
  5. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Kweli Waislamu wanamini kuwa Isa aka Yesu aka Yasu hakusulubiwa msarabni... Kama Yesu alikua Mungu kwanini asitumie uungu wake kujiokoa na yale mateso ya msarabani ? au kama Yesu alikuwa mtoto wa Mungu kwanini Mungu amuache mtoto wake ateseke kiasi kile? Mashuhuda wa waliomuua Yesu...
  6. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Kwanza unatakiwa ujue kuwa Biblia na Injili ni vitabu viwili tafauti.. Injili ni mafundisho ya Yesu aka Yasu aka Isa, hata Waislam wanayakubali mafundisho hayo Biblia imeandikwa na watu zaidi ya arubaini, Paulo akiwa ameandika asilimia 40% ya Biblia... Cheo cha Yesu kuwa ni Mungu kiliamulia...
  7. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Ni Kweli Muhammad kwa Waislam sio mtu wa kawaida kwani yeye ni binadamu alipewa uwezo wa Mungu tafauti na Binaadamu wengine.. Huyu mnaemwita Yesu ni Myahudi aliezaliwa kwa jina la Joshua, Warabu wanamwita Isa, Wayahudi wanamwita Iso, Warumi walimwita Jesus, Wagiriki walimwita Jasu...
  8. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Sijapinga kama mwanamke bikra kupata mimba, mwanamke anaweza kupata mimba bila ya kuingiliwa na mwanamme.. Mungu anaweza kufanya chochote anachotaka, lakini unaposema Yesu ni mtoto wa Mungu,, hilo nitalipinga sana
  9. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Sisi sote ni wana wa Mungu, kila Mtume ni mwana wa Mungu Unataka kuniambia Mungu alifanya mapenzi na bikra Maria akapatiana Yesu Kama Biblia umeandika Yesu kamwita Mungu baba haina maana kuwa Mungu ni baba ake, ni heshima tu.. Nyerere wanamwita baba wa Taifa, haina maana Nyerere alitembea na...
  10. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Kwa wanafata dini kiislam Muhamad no binadamu kwa binadamu mwengine, isipokuwa yeye kapewa uwezo na Allah. Wanaofata dini ya Yesu wao wanaona Yesu ni Mungu ijapokuwa Yesu mwenyewe kazipinga hizi shutuma.... Kwa waislam Yesu/Isa/Iso/Joshua/Jesus/Yasu ni Mtume wa Allah kama Mitume mwingine...
  11. chabuso

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Wakristo wa-atupu , sio Wakristo tupu.. Kajifunze kuandika kiswahili kwanza halafu ndio uje na upuuzi kama huu Kiti ki-tupu=Kiti hakijakaliwa na mtu JF imejaa Wajinga wa-tupu Maliza Sentensi hapo chini tumia neno tupu Meli imekuja ikiwa. _____ Neno tupu lina maana zaidi ya moja Tupu ni...
  12. chabuso

    Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

    Walikuwa Bin Adam,kwani watu ni nini
  13. chabuso

    Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

    Kwa mujibu wa science,ndio walikuwa binadamu kwa mujibu wa Quran Mungu ka muumba binadamu wa mwanzo kwa udongo mweusi wa ufinyazi.. Kwa mujibu wa uhalisia wa hili jambo,Afrika ndio continent lenye asili ya watu weusi.. Tafakari
  14. chabuso

    Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

    Katiba ya Zanzibar inaruhusu kura za maoni kuhusu jambo lolote lile
  15. chabuso

    'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

    Huyu hajafahamu hiyo heading,hiyo njaa itakayozungumzwa hapo ni njaa inayoikumba third World countries kutokana na vita na mabadiliko ya tabia nchi
  16. chabuso

    Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

    Ukosefu wa zero sio issue,kweli mnafikiri kwa kutumia ma..ta.. binaadamu anae tumia akili hawezi kusema kuwa nchi sio nchi kutokana na ukubwa wa Ardhi na wingi wa watu Kisiwa cha Kiribati kina watu laki moja (100,000) lakini ni nchi yenye kiti UN
  17. chabuso

    Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

    East Africa federation ilipokufa pesa zote mmechuka Watanganyika,katika hizo pesa ulikuwemo mgao wa Zanzibar,rejesheni Huku Zanzibar TRA inakusanya kodi ya Tanzania,waondoke basi kodi ibaki Zanzibar
  18. chabuso

    Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

    Turejesheeni pesa zetu,mlizofungulia Benk of Tanzania. Tupeni mgao wetu kutoka katika serikali ya Mungano
  19. chabuso

    Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

    Tafuta video ya Lukuvi kwenye youtube,utapata jibu,kama mnatun'gan'gania ua venginevyo
Back
Top Bottom