Search results

  1. Sinister

    Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

    https://m.youtube.com/watch?v=iCwWGeZLOKc
  2. Sinister

    Marufuku kusafirisha Mahindi kutoka Tanzania bila kibali cha BRELA

    Kenyans will definitely shift focus elsewhere. I foresee DRC being the next option in the coming future and maybe increased local maize farming.
  3. Sinister

    Kenya: Mchungaji awaamuru waumini wa kiume kulamba supu iliyotapakaa kwenye vidole vyake

    Hii ilifanyika West Africa, hakikisha kabla ya kuposti.
  4. Sinister

    Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

    Ikiwa mkwanja si hoja zamia huku; Kiza B Whiskey River Platinum 7D Club Golden Ice 40 Forty Lounge Club Moran
  5. Sinister

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Jamaa wanatutolea povu ungedhani sisi ndio tumeficha Rais wao. Wanasahau hizi habari zilianza na Lissu siku kadhaa zilizopita na hadi sasa there have been NO evidence tabled to prove him wrong! Eti Kassim ametuambia Rais yuko sawa anaendelea na majukumu yake ya kujenga nchi! Kwani hawa watu huwa...
  6. Sinister

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Bila taarifa sahihi, uvumi huwa habari!
  7. Sinister

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    As usual, making it a Tz vs Ke affair! Choose your battles wisely, Sir! Wanaoposti habari hizi ni Watz wenzako mle Twitter. Fika huko waambie wanapotosha.
  8. Sinister

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Mkuu, hivi karibuni tutajua mpumbavu ni nani. Yetu macho. Nitaregea apa. Nitakukumbusha haya 😃
  9. Sinister

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Don't kill the messenger. Mbona hili jambo ndogo tu? Rais ajitokeze tu na taharuki iwaishie. Rais ni taasisi. You have a right to know about his wellbeing, sio Waziri Mkuu kusimama na kusema eti yuko mahali anaendelea na majukumu yake! Wapi? Yupo na nani?
  10. Sinister

    African leader taken ill, admitted to city hospital

    Kuna tetesi Mzee katangulia mbele za haki. Ikiwa ni kweli, Mola ailaze roho yake mahali pema peponi.
  11. Sinister

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Kuna tetesi kuwa tayari keshatangulia mbele ya haki. Ikiwa ni kweli, Mola ailaze roho yake mahali pema.
  12. Sinister

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Wher Where on earth is John Konyagi Masolex?
  13. Sinister

    African leader taken ill, admitted to city hospital

    Where on earth is John Konyagi Masolex???!
  14. Sinister

    African leader taken ill, admitted to city hospital

    Basi yuko wapi Rais? Umesahau Lissu ni hasidi wa Pombe kisiasa. Unadhani hawezi kuwa na taarifa za kule Rais yupo? Lissu baada ya kulishwa marisasi, alikuja tibiwa the same Nairobi Hospital where he made friends with staff there. Hawa marafiki wake wakiwemo madaktari ikiwa bado wanawasiliana...
Back
Top Bottom