Search results

  1. PoliteMsemakweli

    Ripoti ya UN: Finland yashika namba 1 kwenye orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani; Tanzania ya nne kutoka mwisho

    Takwimu zingine zina walakini. Pamoja na kwamba tuna matatizo yetu hatuwezi kushika mkia...Usiamini kila kitu kilicho andikwa kuna mkono wa mtu ....Trump angesema "Fake Data"
  2. PoliteMsemakweli

    Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    Historia inaonyesha kuwa mataifa makubwa tangu mwanzo huwa yanatufuta malighafi kutoka Afrika ili kuendeleza uchumi wa nchi zao. Wao ni bishara ambayo huziacha nchi za Afrika maskini na hawajali kabisa maendeleo ya nchi hizi. Akitokea kiongozi ambaye anatetea usawa wa Biashara kwa pande zote na...
  3. PoliteMsemakweli

    Mtoto wa Kitanzania arudishwa nchini baada ya wazazi wake kukamatwa China na dawa za kulevya

    Biashara zingine hazina tija hata kidogo. Tanzania kuna fursa nyingi za kipato hasa kwenye sekta ya utalii na Kilimo. Tuachane na kukimbilia utajiri wa haraka haraka.
  4. PoliteMsemakweli

    Mahakama Kuu yasitisha bomoabomoa Nyumba za Bonde la Mto Msimbazi

    Hapa tunapoteza muda. Bomoa bomoa iendelee. Serikali iwapatie sehemu mbadala na iwe marufuku narudia marufuku watu kurudi kwenye maeneo yaliyo bomolewa.
  5. PoliteMsemakweli

    Tahadhari kwa wanaume: Adaiwa kufa kwa kunywa viagra

    Viagra nzuri ni hii: Usinywe pombe. kula chakula kizuri chenye mchanganyiko wa mboga za majani, matunda, nk. chukua muda kuongea na mpenzi wako mambo ya kufurahishana na hautakuwa na haja ya madawa kama viagra......
  6. PoliteMsemakweli

    Nini kinasababisha Matiti ya mwanamke kuanguka?

    Matiti kuanguka kunatokana na kunyonyesha sana; kuchezewachezewa bila mpango: kutoa mimba: Uwe wa kufahamu hayo!!!!
  7. PoliteMsemakweli

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Ukitaka ushauri wa harakaharaka unonana na DK Michael yuko pale Ubungo opposite na TANESCO simu namba 0713344576.
  8. PoliteMsemakweli

    William Mhando MD Mpya wa TANESCO

    Good luck Eng. Mhando. You should follow the steps of the late Eng. Salvatory Mosha. He was dedicated to serving TANESCO whole heartily. Be ware of political influence in your decisions and always advise the Board properly and let the Board of Directors take decisions on all key issues of...
  9. PoliteMsemakweli

    Liyumba afungwa miaka 2 jela

    Mengi yamesemwa sana kuhusu kesi ya Liyumba ! Yangu ni machache tu...Liyumba hakuwa CEO wa Benki kwa hiyo kiutaratibu wa kazi CEO ndiyo anawajibika katika maamuzi yeyote yanayofanyika katika chombo cha Umma...Sasa matumizi mabaya ya ofisi alifanya Liyumba kwa vipi? Malipo yeyote yanayofanyika...
  10. PoliteMsemakweli

    Kakobe aitunishia misuli TANESCO

    Jamani ya Kaizari mwachieni Kaizari na ya Mungu mpeni Mungu. Tanesco waendelee na kazi .
  11. PoliteMsemakweli

    Tanzania 2nd Poorest country in the world....?

    These statistics can be misleading and let us not be taken aback by them. I have travelled a lot and have compared Tanzania with some of the countries that are said to be better than us. Believe me Tanzania is not that worse off. And as one user has put it The data and source used by the...
  12. PoliteMsemakweli

    Mzindakaya, Kimiti na Keenja watangaza kutogombea tena

    Wengine Prof. Raphael Mwalyosi, Prof. Idris Mtulia na Maprofesa wengi tu waliojazana kwenye bunge wanafaa nao waachane na siasa wamekuwa wazee na waende wakafundishe vyuo vikuu huko ujuzu hauzeheki....
  13. PoliteMsemakweli

    In Memoriam: Siku Saba za Maombolezo ya Mzee R. M. Kawawa

    Maombolezo siyo maana watu wasifanye kazi... Maombolezo ni kutoa heshima kwa kiongozi mkuu kama huyu aliyetumikia taifa kukumbukwa...Nashauri tufanye kazi kwa bidii na maarifa wakati huu wa maombolezo na baadaye katika kumuenzi Simba wa vita...
  14. PoliteMsemakweli

    VodaCom ni WEZI

    Jamani nami yalinipata ya Cheka time...tuwe macho watumiaji wa simu...ushindani ni mwingi na kila mmoja anakuja na mbinu mpya ili aweze kumbabaisha mbwa kwa miluzi kibao... beware labda afadhali kidogo tigo na nasikia wameanza kuzoa wateja kibao.. isije nao baadaye wakawa kama mbwa mwitu mwenye...
  15. PoliteMsemakweli

    Hotuba Mbalimbali za Mzee Rashid Mfaume Kawawa

    Sifa kubwa alizokuwa nazo Mzee Kawawa ni Utii, uaminifu, uvumilivu na upendo kwa nchi yake. Kawawa Rashid Mfaume hana mfano katika haya labda Mwalimu Nyerere ndiyo anaweza kumzidi kwa haya. Viongozi wengine waige mfano.
  16. PoliteMsemakweli

    Mengi na Uanachama wake CCM

    Alichotakiwa kufanya Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam ni kumuomba msamaha Bw. Reginald Mengi. Huku ni kudhalilishana bila mpango. Wao walikuwa na agenda nyingine na Bw. Mengi amewaumbua
  17. PoliteMsemakweli

    Waziri mwingine wa Kikwete katika kashfa

    Nami siwezi kuamini!! Yaani usaili wa kumtafuta Mkurugenzi Mkuu wa shirika kama la National Housing which is not a techinical Shirika linahitaji ushauri wa Ernest & Young na mahela yote hayo? Hii ni kazi ya techinical Ministries kuteua wataalam ambao wangefanya usaili wa wale waliomba...
  18. PoliteMsemakweli

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Wana JF mimi sioni hoja ya msingi hapa ya kuingiza issue za udini katika chama. Mjumbe akichaguliwa kidemokrasia usiangalie udini wake kwani dini inahusu nini na mambo ya siasa? Mjumbe aliyechaguliwa ni mjumbe tu tuachane na kutafuta kabila lake wala dini yake mambo haya hayatatufikisha popote...
Back
Top Bottom