Search results

  1. Nkobe

    Waafrika tumekuwa brainwashed sana, watumwa wa akili, hata wahusika wanatushangaa

    Sisi Waafrica ni watu wa ajabu kabisa, kuna mambo tunafanya, ukitizama ni aibu tupu. Unakuta jitu limetokea huko Kigoma, Lindi, nk, halafu linavaa vazi ambalo kwa akili ya haraka ni utumwa wa akili. Hivi tangu lini wewe Muafrica wa Kigoma ukawa na utamaduni wa kuvaa vazi la liitwalo Thobe na...
  2. Nkobe

    Nchi za Kiarabu ziko sahihi kutoishambulia Izrael, ni hatari kwao

    Ukisoma maoni ya watu mitandaoni hapa Tanzania , na mitandao ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa, utaona watu kadhaa wanalaumu kwanini nchi za Kiarabu/Kiislam haziingilii vita ya Palestina na Izrael kijeshi ,kwanini viongozi wa Kiarabu hawaingilii mgogoro wa Izrael kijeshi. Mimi...
  3. Nkobe

    Ni jambo la ajabu kuona mtu mweusi anaumia kisa slave master wanauana huko Israel na Palestina

    Kama kuna jamii ya watu wa ajabu ni Waafrica, ukitizama mitandaoni utaona namna gani watu wako busy kuitetea Izrael na Palestina, watu wanakosa usingizi kutetea SLAVE MASTER wao. Kwa kifupi kama umepata nafasi ya kuisoma vizuri historia ya Africa juu ya biashara ya utumwa ambayo imefanywa na...
  4. Nkobe

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  5. Nkobe

    Mnaoichukia Superpower Marekani, kuweni wapole tu

    Vita ya Russia dhidi ya Ukraine inawafurahisha na kuwatia moyo watu wenye chuki na Marekani. Nataka niwaambie, hata ukiichukia Marekani itaendelea kuwa taifa lenye nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani. Muundo wa Marekani ndio unaoibeba, Marekani ni Muungano wa nchi 50, tena nchi 50 za watu...
  6. Nkobe

    Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  7. Nkobe

    Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  8. Nkobe

    Mfahamu kwa kifupi Kizzmekia Corbett mwana dada mwenye asili ya Afrika (Mmarekani mweusi) na Mgunduzi mkuu wa chanjo ya COVID-19

    Maisha yake ya utotoni Kizzmekia Corbett alizaliwa huko Hurdle Mills, North Carolina (Januari 26 1986). Alikulia katika familia kubwa ya ndugu wa kambo na ndugu wa kulea. Corbett alienda Shule ya Msingi ya Oak Lane huko Roxboro A.L. Stanback Middle School. Mwalimu wake wa darasa la nne, Myrtis...
  9. Nkobe

    Ukiusikiliza mjadala wa TBC juu ya Chanjo ya Corona, utaihurumia Afrika

    Ukifuatilia mjadala unaoendelea TBC juu ya chanjo ya COVID-19 na maswala ya uzalendo utangundua kuwa bado tuko na matatizo makubwa Africa. Ukiutizama mjadala umejikita juu ya kuuponda ukoloni ambapo ni jambo jema ingawa ni mada ya kizamani. Ukiwasikiliza wasomi wanaochangia hizo mada...
  10. Nkobe

    Radio Free wakatisha matangazo ya BBC baada ya Padre kufunguka ukweli kuhusu Corona

    Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
  11. Nkobe

    Kutafuta hifadhi ni jambo ambalo liko hata kwenye Biblia na Quran. Viongozi wa Upinzani msipuuzie

    Katika historia, suala la kukimbia vitisho vya kuuawa au kudhuriwa ni jambo lipo Kihistoria. Katika nyanja za Kiimani, wako wengi walikimbia, lakini tuone hawa wawili ambao ni maarufu katika imani. 1. Yesu baada ya kuzaliwa, alikimbizwa Misri kutafutiwa hifadhi baada ya Mfalme Herode kutoa...
  12. Nkobe

    Kwa kuchezea demokrasia, tutegemee mbinyo, safari hii hata leso zitafuliwa

    Wako Watanzania wasiojua uhalisia Tanzania kama nchi inaelekea kuwa na watu milioni 50. Kati ya hao, walipa kodi hawafiki hata milioni tatu, yaani kundi la watu milioni tatu ndilo linaendesha maisha ya watu milioni 50 kwa afya, miundombinu, maji nk. Maana Watanzania wengi ni walima mihogo na...
  13. Nkobe

    Uchaguzi 2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

    Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM. Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea...
  14. Nkobe

    Uchaguzi 2020 Hivi NEC walimuita Magufuli na Kumhoji juu ya kauli ya "Mkurugenzi nakulipa mshahara, nakupa gari halafu umtangaze mpinzani!!"

    NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale alipowataka wakurugenzi wasitangaze wapinzani hata kama wameshinda?
  15. Nkobe

    Uchaguzi 2020 Litakuwa ni kosa kubwa kwa Arusha kurudishwa mikononi mwa CCM, msisahau historia ya miaka ya 2010 na kurudi nyuma

    Ni dhahiri kuwa Arusha ni mkoa wa kitalii Tanzania, kwa vivutio vilivyopo Arusha bila shaka Africa nzima hakuna jiji lenye vivutio vingi kama Arusha. Arusha ina vivutio vifuatavyo kwa ukaribu; Tarangire, Lake Manyara, Arusha National Park, Ngorongoro na Serengeti, Oldonyo Lengai, Olvai Godge nk...
  16. Nkobe

    Uchaguzi 2020 Baada ya mbinu hii, Uchaguzi wa 2020 tulidhani Magufuli atapita bila kupingwa

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila chombo cha habari kilihakikisha kinatangaza sifa za mfalme, kuna TV zimediliki hata kuacha...
  17. Nkobe

    Ubora wa net: Shed net, insect net, greenhouse sheet za A to Z

    Habari wadau wenzangu katika kilimo. Napenda kuwapongeza A to Z kwa juhudi zao za kuinua kilimo nchini kwa uzalishaji wa bidhaa za kilimo hapa nchini. Binafsi nimefurahiswa na hawa jamaa kwa sababu zamani tulizoea kuona vifaa vya greenhouse vikitoka China, India, Israel nk Lakini kwa sasa...
  18. Nkobe

    Uongozi uhitaji busara sana, si kila mtu anaweza kuwa RAIS

    Kuna mijadala isiyo na mwisho. Kwamba kiongozi uzaliwa au utengenezwa. Mimi naamini katika vyote, uzaliwe ukiwa na hiyo trait ya uongozi, kisha utengenezwe. Lakini hilo siyo lengo la mada hii. Kila kiongozi ana maoungufu yake, mimi si muumini wa Kikwete kabisa. Lakini kila kiongozi hakosi...
  19. Nkobe

    Mkutano wa World Economic Forum huwa ni fursa, Rais wetu ameenda?

    Wadau, Nahitaji kujua kama Rais wangu Magufuli ameenda Davos Uswiss kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum. Umuhimu wa mkutano huu ni kwamba mnajadili kuhusu uchumi wa dunia. Pia kuna msemo usemao "kuua ndege wawili kwa jiwe moja" hii ina maana kuwa pale kuna viongozi wakubwa wa dunia...
Back
Top Bottom