Search results

  1. Nkobe

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Hii dini msingi wake ni mpinga Christo, ni dini ambayo asili yake damu. Uislamu sio dini ya kutoka rohoni, ni dini ya kulazimishana, yaani wao wanaamini katika mwili, kwamba ukitaka kukojoa upige magoti ndio utaenda peponi, kwamba ukitaka kula ule kwa mkono ndio utaenda peponi. Kwa ujumla uislam...
  2. Nkobe

    Historia ya Qur'an

    Lakini Muslim mnafurahisha Lakini Muslim mnafurahisha, hivi kwa matendo ya Yesu, mafundisho yake, miujiza yake, ujaji wake, uondokaji wake. Hivi Mohammad anaweza ongeza kitu juu ya neno la Yesu?
  3. Nkobe

    Historia ya Qur'an

    Yohana 14:8-12 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
  4. Nkobe

    Historia ya Qur'an

    Nimesema, uenda Mohammed alikuwa anajua kusoma au alikariri Bible. Ukisoma Quran utaona Mfano hapa hii Aya ya Surah Al Mahidah 116, ukitafakari vizuri hii ni akili ya Mwanadamu ikitunga majungu Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi...
  5. Nkobe

    Historia ya Qur'an

    Propaganda hizo mkuu. Waislam hujipa moyo
  6. Nkobe

    Waafrika tumekuwa brainwashed sana, watumwa wa akili, hata wahusika wanatushangaa

    Sisi Waafrica ni watu wa ajabu kabisa, kuna mambo tunafanya, ukitizama ni aibu tupu. Unakuta jitu limetokea huko Kigoma, Lindi, nk, halafu linavaa vazi ambalo kwa akili ya haraka ni utumwa wa akili. Hivi tangu lini wewe Muafrica wa Kigoma ukawa na utamaduni wa kuvaa vazi la liitwalo Thobe na...
  7. Nkobe

    Historia ya Qur'an

    Ndugu zangu, najua watu wengi wasio wa imani ya Kiislam hawasomi Quran na wala hawataki kuisoma. Mimi nimefanikiwa kusoma vitabu vyote viwili, Biblia na Quran. Kwa ujumla Quran imekuja baada ya Biblia, yaani Mohammad kaja baada ya Ukristu kuwepo na Biblia kuwepo. Yesu alipokuja, shughuli yote...
  8. Nkobe

    Vijana wa Rombo - Kilimanjaro wanateketea kwa unywaji pombe hovyo

    Pombe za bei nafuu za kwenye vikopo ni janga kwa taifa. Serikali inatakiwa iingilie kati, iruhusu ujazo mkubwa kwenye chupa za grass ili isiwe rahisi kununua
  9. Nkobe

    Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Hata Tanzania hakuna Rais aliewahi kuwa na PHD, wote ni za kupewa kwa heshima halafu machawa wanambadilisha na kumuiya Dr. Hata JPM alipata ya kubumba pale UD, kila kitu alifanyiwa. Wanasiasa wengi TZ wanatafuta PHD za kubumba ili apate cheo, mfano Mwigulu awezi kufanya presentation ya uchumu...
  10. Nkobe

    Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

    Huna hoja hapo, mimi nimelinganisha Mohamed na Yesu, wewe umekuja na ukoo
  11. Nkobe

    Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

    Mohammed na Yesu ni mbingu na ardhi, mmoja anahubiri jihadi na visas, mwingine anasema usilipize kiasi na mtu akikupiga shavu moja mgeuzie lingine, Yesu anasema mke mmoja, Mwingine alioa hadi mtoto wa miaka 14.
  12. Nkobe

    Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

    Hizo njia unazotumia ni kwa mwanaume ambae ni mpole sana, ku withdraw ni kitu kigumu. Pahali pa lengo la sex ndio u withdraw. Vigumu
  13. Nkobe

    Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

    Wewe unazuiaje ujauzito?
  14. Nkobe

    Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

    Allah aliwanusuru wana wa Izrael wakiongozwa na nabii Mussa?
  15. Nkobe

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limekimbia Bahari Nyekundu Licha ya Mashambulizi ya Houthi

    Moja ya changamoto kubwa ni kwamba watu hawajui Marekani. Ule ni Muunganiko wa nchi 51 zenye uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote Africa. Marekani hatishwi na nchi yoyote duniani
  16. Nkobe

    Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Mkuu, kila nyakati zina mambo yake ambayo kwa wakati huo inaonekana ni sahihi. Wakati ule ujamaa ulionekana una maana, hasa katika kulinda rasilimali za nchi. Lakini wakati Nyerere akifanya hayo, yeye alijirundikia Mali au aliishi kijamaa? Kila jambo na wakati wake, ndio maana utaona hata...
  17. Nkobe

    Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Mkuu, kila nyakati zina mambo yake ambayo kwa wakati huo inaonekana ni sahihi. Wakati ule jamaa ulionekana una maana, hasa katika kulinda rasilimali za nchi. Lakini wakati Nyerere akifanya hayo, yeye alijirundikia Mali au aliishi kijamaa? Kila jambo na wakati wake, ndio maana utaona hata...
  18. Nkobe

    Pope Francis: Ndoa za jinsia moja ni dhambi lakini wahusika wakaribishwe kanisani wasitengwe na ikibidi kupewa baraka

    Kwani lengo la Mungu ni kwa ajili ya watu wasafi au kuokoa wenye dhambi?
  19. Nkobe

    Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

    Hakukubaliana na uteuzi wa mtuhumiwa Makonda
  20. Nkobe

    Nchi za Kiarabu ziko sahihi kutoishambulia Izrael, ni hatari kwao

    Ukisoma maoni ya watu mitandaoni hapa Tanzania , na mitandao ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa, utaona watu kadhaa wanalaumu kwanini nchi za Kiarabu/Kiislam haziingilii vita ya Palestina na Izrael kijeshi ,kwanini viongozi wa Kiarabu hawaingilii mgogoro wa Izrael kijeshi. Mimi...
Back
Top Bottom