Search results

  1. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mikanjuni Transformer. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  2. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  3. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna ratiba inayotutaarifu wateja wenu juu ya kukatika katika maeneo mbali mbali. Ratiba hiyo inaonyesha umeme utakatwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Cha kushangaza leo mmekata kuanzia saa 12:14 asubuhi kinyume na ratiba mliyoisambaza. Mbona mnatusababishia usumbufu usiowalazima...
  4. J

    Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    Hiyo ilikuwa zamani enzi za mababu zetu....Siku hizi vinazaa haramu.
  5. J

    Pikipiki inauzwa

    Kweli kabisa!!!
  6. J

    KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Sio kigumu kiivyo. Katika kusaidiana na kuelimishana.....nenda kwenye GOOGLE TRANSLATE...weka English na Swahili, kopi maneno ya kiingereza ukaya-paste huko na itakutafsiria kwa kiswahili....
  7. J

    Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    Surely you meant standing on our feet...I suppose.
  8. J

    Mahitaji/malipo shule (sekondari) kwa mwaka wa masomo unaoanzia januari 2015

    Wadau, nauliza hivi bado kuna malipo kwa ajili ya watoto wetu wanaosoma shule za sekondari? Mtoto wangu ameniletea barua kutoka shule ikinitaka kulipia mahitaji kama nilivyoorodhesha hapa chini:- 1. Michango ta Walimu (PTT).............. Sh. 26,000/= 2. Ada ya...
  9. J

    JF-App KUSHINDWA KUFUNGUKA

    Habari jamvini? Natumia simu aina ya Samsung Galaxy Grand. Kuanzia juzi JF App haifunguki kabisa. Nimejaribu mara kadhaa kui-uninstall na kui-install tena lakini imeshindikana. Naomba maelekezo ili app hii ya JF ifanye kazi kama awali. Natanguliza shukrani.
  10. J

    Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

    Watanzania wengi tunapenda kuongea kiingereza mbele za watu ili tu kuonesha eti u-msomi.... Nimemsikia...nadhani ni Madame akitangaza mshindi wa mwaka huu kwa kutaja "TWENTY-TWELVE" badala ya "Twenty-Thirteen"....hii inadhihirisha kuwa lugha hii si yetu ila tunalazimisha. Nashauri tutumie...
  11. J

    Wito wa Maandamano: Unyama wa Kapuya na Sheria

    Nadhani umri wa binti ulikuwa mdogo sana (14 years old) kujitambua na pia umasikini na uyatima wa binti ulichangia kuhadaika.
  12. J

    Raha ya maisha ukiwa bachela na kero baada ya kuoa

    Mie nimerudia kwenye raha hizo za ukapera na nafurahia kwa kweli nikilinganisha na matatizo niliyoyapata nikiwa ndoani. Ndoa yataka uvumilivu mkubwa hasa pale kama uliyemchagua kuwa mwenza hafai.
  13. J

    Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    Hata mimi nimeshangaa kwa TV stations zetu Tanzania kjtofanya any coverage ya tukio hili ambalo limetokea kwa jirani zetu. Mungu wasaidie Kenya katika shida hii.
  14. J

    Ukatili: Mtoto wa miaka 7 achomwa mikono na mama yake mzazi kisa mayai ya kuku...!!

    Hivi kwa nini nae asiunguzwe mikono kama alivhomfanyia huho mtoyo? Aunguzwe jli na yeye aonje machungu anahoyapata huho mtoto. Hivi kwa nini wananchi wanakuwa wepesi sana kuwacboma moto vibaka lakini wanashindwa kuwaadhibu watu katili kama huyu mama?..Na sitashangaa huyu akiachwa huru.
  15. J

    tecno android

    Tafuta Tecno L7 Phantom...ni bab kubwa!
  16. J

    Game of the day

    10...hili kubwa lenye triagles ndogo 9 zikiwa ndani yale.
  17. J

    Jihadharini na huyu jamani hapo Dar Tech

    His name please.....
  18. J

    Rate za internet access za airtel via android phone

    Siku zote napata huduma ya intaneti nikitumia Tecno T1 kwa daily rate ya 450/- ya Airtel kwa kutuma neno SIKU kwenda 15444. Leo nikaona nijaribu kifurushi cha wiki. Nikacheki salio kwanza kabla ku-transact kifurushi cha WIKI. Mpaka ss sijapata sms ya kunitaarifu kupewa hicho kifurushi, lskini...
Back
Top Bottom