Search results

  1. SOSDANNY

    Bodi ya mikopo elimu ya juu inabambikia watu madeni.

    Habari za jioni wanajamii Nimeona niiweke hapa jamvini kuhusu bodi ya elimu ya juu kuwabambikia watu madeni, utakuta mtu hata hajasoma chuo kikuu chochote na pia ni darasa la saba lakini from no where anaanza kukatwa mikopo elimu ya juu, tunaomba wajirekebishe tutawashitaki watulipe fidia kwa...
  2. SOSDANNY

    Je ni kweli ada ya mtihani wa kidato cha nne ni tshs 50,000/=

    Za mchana wakuu. Nilipigiwa simu na ndugu yangu alioko mbali na ninapoishi. Akaniambia kuwa anahitaji nimsaidie ada ya mtihani wa form four,nikamuliza ni shilingi ngapi? akaniambia Tshs 50,000/= Nikashangaa!! Nikajua anataka kunipiga changa la macho. Wananchi hebu mnifahamishe ni kweli? Kama...
  3. SOSDANNY

    Setellite receiver

    Habari za asubuhi wanajavini. Mimi nahitaji STRONG SETELLITE RECEIVER ambayo ni MPG4, HD na yenye HDMi. Kwa ambaye anafahamu duka linalo uza aina hii ya receiver kwa hapa dar anielekeze. Asanteni sana.
Back
Top Bottom