Rais kuongea vile ni kwa sababu ya hasira, lakini ushauri Mzuri kwa washauri wa Rais, kwa sababu urais ni taasisi kubwa yenye wataalaam wengi, kuwa public shareholders ni muhimu Sana kwa TTCL.
Lakini nilisikia siku za nyuma kuwa yataletwa mabehewa used kwa ajili ya majaribio, sasa sielewi kama ni hay au? Management ya TRC watoe ufafanuzi ili tujue sisi wananchi.
Ndoa kwa kweli, siyo kuona mrembo na kumkimbilia, inahitaji kuangalia sana tena kwa kina. Mimi ndoa yangu ina miaka 11 ila utadhani tumeoana jana. Sio kwamba hatungombani la, tunagomba yanaisha. Napenda kumwita mke wangu mrembo vipi. Ila nimezoe tu. Naona mambo ni mazuri.
Mpeleke hospitali anaweza akawa anatatizo lingine ndani yake Kama huwa anapata hilo tatizo mara kwa mara, watoto huwa wanatibiwa kwa uamgalifu sana. Huwezi ambiwa dawa hapa mtandaoni.
Hawa tanesco kwa kweli ni shida sana, yaani wanauzi mnoo. Serikali iliangalie hili, jana vitu kibao vimeharibika kwenye friji, umeme umekatika bila taarifa tangu asubuhi hadi jioni, Mimi nipo job, nimerudi Kila kitu kwisheni. Sina hamu nao.
TANESCO Manyara kuna mgao wa umeme karibu wiki Tatu sasa, shida ni nini? Kwa sababu hawajatutangazia, tunaona ni washa Zima, washa Zima, shughuli za kujiali hadi zinakuwa ngumu.
Tafadhali TANESCO Tunaomba mtueleze kuna shida gani?, kama umeme hautoshi tujue. MENEJA MANYARA TOA TAARIFA TUJUE.
Jana wamekimbia hata kuhojiwa hawataki wamesahau kuwa ndiyo mpira ulivyo, Mimi nasubiri mechi ya Leo kwanza, siunajua polisi wanavyojua kubana. Lakini matumaini ya ushindi yapo.
Mzee Pascal Mayalla, ulichosema ni kweli, Sisi watanzania tunaofutilia siasa ni wachache mno, tofauti na wenzetu kama Zambia, Kenya, hata Malawi tu wanatushinda. Kwa hiyo kuitoa CCM madarakani siyo kitu Rahisi hivyo tunatofauti kubwa sana na mataifa mengine ya Africa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.