Search results

  1. M

    Mwigulu Nchemba afanikisha harambee Milion.19, Aivaa CHADEMA

    mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna.ukiwa mnafiki utavuna unafiki muda ukifika.
  2. M

    Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Kalewa madaraka huyo cheo bandia kina tabu,
  3. M

    Kura za CCM ziko huku: Huku ndiko zilikopotelea...

    magamba someni alama za nyakati mtakuwa vipofu mpaka lini
  4. M

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    hawa waalimu nao wasubiri kwa hamu sana 2015
  5. M

    ITV/Radio One Kurusha Kongamano la Amani UDSM Tarehe 28.7.2013

    kama mwigulu yupo sikanyagi!
  6. M

    Mbowe, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika na wabunge wengine kutikisa Tabora

    Jipeni moyo mkuu chadema mungu anawatumia kama alivyomtumia musa kule misri kuwakomboa wana wa israel!tuko nyuma yenu.
  7. M

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    hilo jambo limenitesa zaidi ya miaka mitatu;mpaka nije nigundue, nimepoteza hela nyingi sana,sasa hivi naipenda tanesco yangu. Nanunua umeme wa sh,2000/=,napewa unit 27.30 nilichofanya niliandika barua kwa meneja wilaya wa tanesco kuomba nitoke tarif one kwenda tarif o.basi ukiwa tarif o,hizo...
  8. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    simion mblinyi
  9. M

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Changa la macho hiloooooooooo! Hiyo ni kama move nyingine
  10. M

    Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

    Ngoja afikike kwao tuone kitakachotokea.
  11. M

    Mbunge wa Arusha amhenyesha diwani wa CCM kata ya Nadosoito

    Hiyo mbolea ya ruzuku inapelekwaje kwa diwani?Hakunaga mawakala wa pembejeo huko?Tatizo la Lema angeuliza mfumo uliotumika kwanza kabla ya kukurupuka na huyo diwani.Labda angewakusanya wengi mpaka waliopindisha mfumo wa usambazaji wa pembejeo.Wengi tunajua wanaotakiwa kusambaza pembejeo ni...
  12. M

    Tamko la Jukwaa la Walimu na Wanafunzi-Tanzania.

    posho ya mbuge kwa siku moja ni 200000.sawa na mshahara wa mwl wa chet kwa mwenzi.Hivi mbona wanadamu wengine hawana huruma?
  13. M

    Serikali na kuondoa kodi kwa wenye mitaji chini ya mil4 na bodaboda

    Lipa kodi upate huduma,elimu,matibabu,barabara,safi.acha kutafuta visingizio!
  14. M

    Kurudia mtihani wa kidato cha Nne kwa udhamini wa serikali je ni suluhisho la kufeli ?

    Kama watarudia mjue kuwa ni uchakachuaji wa fedha zitakazotengwa,pia tume iliyoundwa hakuna lolote ni jinsi tu ya kutenga fungu watu wapate pesa za kufanya mambo yao.
  15. M

    Nape arudia tena kauli yake: 'CCM itatawala Milele'

    HATA KAMA nape ANASEMA WAMESHIKA KWENYE MAKALI AKUMBE "NGUVU YA UMMA"ITAMSAMBARATISHA ILE MBAYA.KAMA AMESHIKA KWENYE MAKALI TUNAVUTA KWENYE MAKALI ALIKOSHIKILIA TUANGALIE NANI ATAUMIA.
  16. M

    Naweza kusoma nini na chuo kipi kwa division four point 33

    Nionavyo mimi watoto kufeli; Serikali ya magamba imelemewa na wanafunzi wanafaulu kila mwaka.Vyuo vikuu mikopo,hakuna,asilimia kubwa ya wanavyuo wanaelimika na kuwa wapinzani wa serikali iliyopo madarakani.Halafu hata wakihitimu bado ni shida kwao ajira hakuna.wameona bora wabaki mitaani wawe...
Back
Top Bottom