Search results

  1. W

    Kumbe kupiga picha ukiwa stend ya mwendokasi hairuhusiwi?

    Kama mwezi mmoja umepita nilikuwa kituo cha Gerezani Kariakoo kuna watu nilikuwa nawasubiri nikaona wanaitwa na mlinzi wa China Security ( ndio walinzi Wa vituo vya mwendokasi ), wakaambiwa watoe sh 50,000 kwa kupigana picha, mimi nikawaambia haiwezekani kupigana picha iwe kosa sasa wakati...
  2. W

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    RIP Mzee Samwel John Sitta...Tutakukumbuka mzee wa Speed na Viwango
  3. W

    TANZIA: Mbunge John Mnyika, afiwa na Baba yake Mzazi, Mazishi kufanyika Alhamis

    Pole sana kaka John,Mungu awatangulie katika wakati huu mgumu...Mzee apumzike kwa amani
  4. W

    TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

    R.I.P mama Dumba ... nakumbuka kipindi cha mama na mwana tulikuwa tunaitolea macho radio utadhani ni tv.
  5. W

    Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

    kipaumbele cha kwanza ELIMU,cha pili ELIMU,cha tatu ELIMU ... MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA mlitaka azikwe vipi? Unaposema hili suala wanaligeuza KISIASA mahjui huyu ni mwanachama na mwenyekiti wa mkoa? Tunaona wanafariki viongozi wa dini wanazikwa na wafuasi wao, wanafariki wanamichezo...
  6. W

    Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

    Hahaha huwa naona bora mtu ukae kimya kuliko kujifanya mjuaji saaaaaana...mwisho wa siku ni aibu
  7. W

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Duh inasikitisha sana RIP Deo, mtu aliyependwa na watu wote bila kuangalia tofauti ya vyama na ni kwa sababu alikuwa anasimamia ukweli.
  8. W

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani Mch. Mtikila
  9. W

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Kifo cha Mohamed Mtoi kimenihudhunisha sana , tunapoteza vijana wanamageuzi wenye kutaka kuleta mabadiliko ya kweli. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.
  10. W

    Lowassa akichaguliwa, atarudi CCM Oktoba!

    kabla hamjaandika haya yoooote jaribu kupitia KATIBA uone inasemaje? Tusiwe wavivu wa kusoma na tunaandika tu maneno ya mtaani na KATIBA ya Malawi ni tofauti na yetu
  11. W

    Makongoro aanza MAFUNZO ya kukabidhiwa nchi; Mbio za Lowassa ndani ya CCM zazimwa rasmi

    "Leo Makongoro kuwa sehemu ya wageni maalumu katika uzinduzi wa Meli za Kivita" Meli moja inaitwa Msoga alipozilia Raisi wa sasa na Meli nyingine inaiitwa Mwitongo kwa heshima ya mahali alipozaliwa Baba wa Taifa, sasa mtoto wake ataachaje kuwa mahali hapo?
  12. W

    Pigo kwa UKAWA Huko Zanzibar!

    Kura za Maoni ni 2016
  13. W

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Inasikitisha sana tunapoteza ndugu zetu wengi na nguvu kazi ya Taifa kwa uzembe tu ... RIP
  14. W

    Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Ni habari nzuri natuma sasa JF itawafikia watu wengi zaidi
  15. W

    Hali yazidi kuwa tete escrow, hapatoshi Dodoma

    Hii habari ukiisoma hasa nusu ya kwanza, halafu irudie tena kama unaajua taratibu za kibunge haimake sense kabisa yani ni kama mwandishi kaandikiwa au kapewa cha kuandika lakini yeye hajui anachoandika.
  16. W

    Ripoti Maalum: Muhimbili hali mbaya

    Miezi kadhaa iliyopita nilienda wodi ya Sewa-Haji kumuona mgonjwa sasa tumefika mlango mkubwa wa kuingilia tukakuta wagonjwa wamelazwa chini upande wa kushoto na kulia imebaki sehemu ndogo ya kupita, hamna faragha wagonjwa wamevaa mashuka tu. Nilenda na sista basi tukatazamana hatukusema kitu...
Back
Top Bottom