Search results

  1. Next Level

    Rais Bingu Mutharika awatimua wawekezaji wanaowanyonya wakulima; JK unangoja nini?

    Blantyre, Malawi - Malawi president Bingu wa Mutharika, has threatened to arrest any "tobacco colonialist" who defies his deportation order. In a special address to the nation, broadcast on national radio and television, Mutharika said: "I ordered the deportation from our country of four...
  2. Next Level

    Gervas Mkili is NO MORE

    Nasikitika kuwajulisha kuwa Ndugu Gervas Mkili hatunaye tena. Mkili alifariki jana Jumapili pale Hospital ya Muhimbili wakati akipatiwa matibabu ya Moyo, tatizo lililogundulika siku moja kabla ya kifo chake. Kwa wale waliopitia UDSM, bila shaka hawazi kumsahau kijana huyu machachari pale...
  3. Next Level

    Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

    Ninajua kunawadau wengi sana ambao katika maisha yao watakuwa wamepitia pale Pugu Secondary School kama wanafunzi, wafanyakazi, wakazi etc. Wadau hawa sasahivi wametawanyika sehemu mbalimbali ya nchi yetu na duniani kote. Mimi binafsi ni mojawapo ya watu waliopitia pale kama dent wa high...
  4. Next Level

    Accountant needed

    Hi all, A Factory accountant is needed to work in a manufacturing company. Qualifications; Must be holding a degree in accountancy from a well recognised university Must be holding CPA (T) (at least) under Graduate category or doing final CPA papers Must have excellent communication...
  5. Next Level

    Wanawake Dodoma waingiliwa kimuijiza: Kama hujafikwa kaa chonjo!

    Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC1 ya juzi tar.14 April 09, kijana mmoja mwenye umri wa miaka 19 pamoja na mama yake mzazi walikuwa wanashikiliwa na polisi mjini Dodoma kwa kosa la kijana huyo kufanya mapenzi na wake za watu pamoja na mabinti wengine kwa kutumia njia za kishirikina...
  6. Next Level

    Siku ya wajinga (The Fools Day): Tupate undani wake

    Japokuwa siku hii i.e tarehe moja April, ndo inaishia ishia nilifikiria itakuwa si vibaya tukijadiliana hapa ili kupanua uelewa wa siku hii ambayo inakuwa maarufu siku hadi siku, mwaka hadi mwaka sasa. Mimi binafsi sielewi background ya siku ya wajinga (fools day) ni nini, sijawahi kusoma au...
  7. Next Level

    Joke: Ingekuwaje bible ingeandikwa ktk mazingira ya leo?

    I got this as forwarded sms from ma friend! Kutokana na ukweli kwamba vijana wengi hawapendi kusoma bible, umefika wakati bible ingetakiwa iandikwe upya kwa kiswahili cha kisasa zaidi (watumiacho vijana) ili iliwavutie vijana wengi zaidi waisome na wapate wokovu. Mfano bible ingekuwa na verse...
  8. Next Level

    Scholarships in China via MOE

    Nimepitia kwenye web ya Ministry of Education (MOE) nikaliona tangazo la Scholarships za China nikaona vema nilisogezee hapa, kwa yeyote atakayependa! Cheers
  9. Next Level

    Maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa mama mjamzito: Fahamu visababishi, ushauri na tiba

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Jamani naomba wataalam mnisaidie: Mke wangu anamimba ya mwezi mmoja hivi lakini occassionaly huwa analalamika kwamba anasikia maumivu kwenye eneo la chini ya kitovu chake lakini pia huwa anatapika sana baada ya kupata maumivu hayo! Je hii hali...
Back
Top Bottom