Search results

  1. displayname

    Pana jambo huwa sielewi hapa

    Wanajamvi na wazee wa itifaki na protoko nisaidieni kuelewa jambo hili; hapo siku za nyumba tumekuwa tukishuhudia nyaraka za serikali JMT huwa inasainiwa na mwakilishi mmoja mahususi haswa kwenye maswala ya JMT. Ila nimepita kwenye hii matokea ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi...
  2. displayname

    Serikali kutoitambua Shahada ya Maendeleo Vijijini (Bachelor of Rural Development) toka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinie (SUA)

    BURUA YA WAZI KWA MKUU WA CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) SERIKALI KUTO ITAMBUA SHAHADA YA MAENDELEO VIJIJINI (BACHELOR OF RURAL DEVELOPMENT) KATIKA AJIRA ZINAZOTOLEWA NA UTUMISHI WA UMMA KITENGO CHA SECRETARIET YA AJIRA TANGU SHAHADA HIYO ILIPO ANZISHWA MWAKA 2004. Kwako Mheshimiwa Mkuu wa...
  3. displayname

    Tafasiri mseto kwa kusanyiko la viongozi wakuu.

    Habari ya wikienda nyoote. Leo kumbe ni siku ya tafakari ya madawa ya kulevya Duniani na kitaifa imeadhimishwa Arusha katika uwanja wa Shekhe A.Karume, mgeni rasmi akiwa Mkuu wa nchi. Nilikuwa na miaadi yakukutana na mdau mmoja siku ya leo so namcheck akanijuza kamba yupo kwa uwanja na...
  4. displayname

    Natafuta hiki Kitabu; Idara ya Usalama wa Taifa by Chilewa

    Wandugu nakitafuta hiki kitabu! Mwenye softcopy au wapa naweza kipata nikanunua! Amazon nineona kinauzwa $ 9 ila gharama ya shipping inakuwa $ 49 na sijaona option ya softcopy. Mniongoze wapi naweza kipata!! Eid Mubarakaaa.....
  5. displayname

    Dhana ya uaminifu imebadilika sasa

    Sina cha zaidi cha kusema ila nimeona wadada wanaomba uaminifu wa matumizi ya tundu sahihi haha!
  6. displayname

    Hawa viumbe wa namna gani?!

    Wanabodi ni siku kadhaa sasa nimeona hawa wadudu nyumbani kwangu tena chumbani pa kulala! Kila nikiwaona nawafagia na kuwatupa nje. Mwanzo hawakuwepo wala sikuwahi wona ila walipoanza kujitokeza pamoja na kuwafagia nawakuta tena na tena ukutani na chini ya uvunguni mwa kitanda! Wajuzi wa mambo...
  7. displayname

    Wavaaji wa nguo: Hiki kidude huwa ni kinini?

    Ni mara kadhaa nakutana na nguo ikiwa na kidude chenye lebo au maandishi ya kumtaka mtumia nguo kukikata au kukiondoa kabla hajafua au kuivaa nguo hiyo. Nauliza je kama pana mtu ameshakutana na kitu hicho na maana yake au kazi yane nini?! Ikitokea mtu kuvaa nguo bila kukiondoa ni madhara yapi...
  8. displayname

    Ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) yatua kwa dharura uwanja wa ndege wa Arusha

    Pana tetesi kwamba ndege ya shirika la ndege ya kenya ikiwa inatokea Lusaka Zambia, imeshindwa kutua uwanja wa ndege Jomokenyatta na hatimae kutua kwa dharura Arusha airport. Wenye kufahamu zaidi hili sakata watujueze isijekuwa kuna namna. Kama ni dharura kwa nini asingetua Mombosa au KIA...
  9. displayname

    Ufahamu na kujiepusha na Jicho baya kwa watoto wadogo!!

    Karibuni nyote katika mada hii inayokusudia kupata ufafanuzi na ufahamu juu ya JICHO BAYA katika maada hii najaribu tu kuchokoza wajuzi wa mambo kama akina Mshana Jr waje kutufahamisha na wengine; Hoja ni JICHO ila ntaita jicho baya kwa ufupi tu ni jicho ambalo mtu humtazama hasa mtoto kwa...
  10. displayname

    Namba za Magari: Kwanini herufi “O” imerukwa!?

    Wajuzi wa mambo na vijambo, heri ya mwaka mpya ulioanza na mabadiliko kiduchu kwenye baraza la wandugu mawaziri!!!! Naona ni vyema kujulishana nimeshangaa sijaona herufi O katika mtiririko wa namba za magari. Nilitegemea kabla ya herufi “P” ilipaswa kuanza “O” lakini sijaona gari zenye plate...
  11. displayname

    Business pertners

    Myenye kufahami hii ya Biashara ya imekaaje?! Natafuta Mwekezaji (business partner) ambaye atapata faida ya laki 5(50%) baada ya kuwekeza Million 1 kwenye biashara yangu yenye leseni , TIN na Ofisi . Tutasaini mkataba kwa mwanasheria.. Ili upate Maelezo(na video) , tuma neno KUWEKEZA kwenda...
  12. displayname

    Kama wewe ni mmiliki wa kampuni pita hapa...Tangazo kwa Umma

    TANGAZO KWA UMMA KWA WAMILIKI WOTE WA MAKAMPUNI NCHINI Kila Kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania ina wajibu wa kuwasilisha kwa Msajili Wa Makampuni MAREJESHO YA MWAKA (Annual Returns), kila mwaka, yakiambatana na MAHESABU ya Kampuni yaliyokaguliwa na kupitishwa na Mkaguzi, chini ya vifungu...
  13. displayname

    Kutana na wauza magari matapeli wanajiita David and Alicia natgeod12@gmail.com

    Haya wasaka tonge!! Salaama wanajamvi, napenda kushare nanyini jambo moja ambalo laweza okoa mtu mmoja sehemu dhidi ya utapelo hii mpya mtandanoni. Pana jamaa wanajifanya kutangaza kuuza magari kupitia Kupatana, ishi ilikuwa hivi...nilikuwa napita pita mtandaoni kutazama ulimwengu unaendaje...
  14. displayname

    Online statement za LAPF giza tupu

    Salaam! Nipenda kufahamu mwenye kujua vyema kuhusu ONLINE MEMBERS STATEMENT za mfuko wa hifadhi ya jamii LAPF. Nimejisajili hapa ili niweze kuwa natazama statement zangu pasipo kufika katika tawi lao lolote lakini kitu cha ajabu nikwamba hakuna taaarifa zozote kwa member baada ya kulogin hapa...
  15. displayname

    Usiombe ufumaniwe ghorofani..utakauka!!

    Hatari sanaa shekhee
  16. displayname

    Pikipiki ya ajabu yaonekana Temeke

    TV1 Leo hii wameripoti kuwepo kwa pikipiki ya ajabu aina ya FAKON imeonekana katika kijiwe cha Bodaboda huko Temeke. Inadaiwa mkataba wa makubaliano umevunjika kwa dereva na boss wake kushindwa elewana, yasemekana Mwenye pikipiki ni mtu wa Tanga. Na hiyo pikipiki imetokea Tanga. Hiyo pikipiki...
  17. displayname

    Mchakato wa kubana Matumizi watua Halmashauri...

    Wanabody... Baada ya kupunguzwa kwa Wizara na kuungananishwa tukiaminishwa dhana ya kupunguza/kubana matumizi sasa....upanga huo umetinga rasmi kwenye Serikali za Mitaa kwa maana ya Halmashauri, Miji na Majiji... Matumizi yanapunguzwa kwa kuvunja baadha ya idara au vitengo visivyo na majukumu...
  18. displayname

    Plot4Sale Nauza kiwanja 10,000,000 kipo Arusha

    Wanajamvi, Kwa wale wanahitaji kiwanja Arusha ukubwa wake ni 26 kwa 22 hakina mgogoro wowote nahitaji pesa tu. Huduma kama maji, umeme na barabara vyote zinapatikana, Mandhari murua unapata mwonekano mzuri wa mlima Meru na Mlima Kilimanjaro kwa mbaali! kwa melezo zaidi ni PM au 0622004481
Back
Top Bottom