Search results

  1. Shaffin Simbamwene

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Naomba link boss maana Kariakoo nyoko sana Muhindi ana bei si mchezo
  2. Shaffin Simbamwene

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Hujaelewa ni chai lita 3-4 inatumika unit 0.4 ndani ya dakika 8. Hizo watts 400 sijui So umeziokoteza wapi boss? Kanuni yetu ni:- kWh = (watts × hrs) ÷ 1,000 Data given:- Watts= 3500 Hrs= 8Min (8÷60=0.13333) Hence:- 3500*0.13333÷1000=0.466655. 0.4KWh ndio zimetumika kwa dakika 8 labda...
  3. Shaffin Simbamwene

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Bei zinatofautiana kulingana na ukubwa na material iliyotumika. Kwa kuagiza ya kawaida moja moja inaweza kuwa 15K au 20K. Yale ya stainless steel Hadi 70K. Tz waweza kupata ila utembee na sumaku boss
  4. Shaffin Simbamwene

    Msaada: Taratibu za kupokea mzigo kutoka UK kupitia Kenya ni zipi?

    Ebooh huu ujinga mtaachaga lini? Bila ya shaka huyo aliyetuma mzigo mmejuana naye FB !! We subiri hao wakenya wakutumie text kwamba uwatumie 50K Hadi 200K kupitia safaricom mpesa ili wauship mzigo kuja Tz afu wewe ukapokelee pale JNIA. Ukishatuma tu ndio wanakublock mazima kule Whatsapp na...
  5. Shaffin Simbamwene

    Vijana 260 Wapelekwa Israel Kujifunza Teknolojia ya Kilimo Cha Kisasa

    Basi watakuwa undercover agent wanaenda kunolewa
  6. Shaffin Simbamwene

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    ugali unaupikaje kwenye hiyo 800W maana moto upo chini sana unapanda na kushuka? Kama kukaanga mayai au kupika mboga mboga sawa ila ugali ni Uongo maana utadoda labda uanzie 1500W na kushuka hadi 1000
  7. Shaffin Simbamwene

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Kamanda Mimi pia nina King of Stir Fry ya Watt 3500 kama ya Mwamba SPYMATE . Cooktop ina mode 8 zilizosetiwa Mahsusi kama zinavyoonekana hapo chini:- 1.Slimmer 2000W 2.Steaming 3500W 3.Boiling water 3500W 4.Slow Fire 800W 5.Martial/strong fire 3500W 6.Hotpot 3500W 7.Boil porridge 2500W 8.Stir...
  8. Shaffin Simbamwene

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Mimi natumia brand ya PESKOE niliagiza uchina pamoja na set ya sufuria, frying pan na vikorokoro vingine. Kariakoo yanaweza yakawepo ila ya kampuni zingine bei nayo yaweza ikawa imechangamka SI ajabu ukauziwa kwa 150-200K Jiko bila masufuria
  9. Shaffin Simbamwene

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Boss Mimi Nina familia ya watu 6 chai nachemsha kwa unit 0.4 mihogo ya kutosha familia nzima unit 0.8 jumla inatumika unit 1.2 na hapo tv imewashwa na chumba jirani anatupigia kelele na Sea piano lake hapo ni Jero tu imetumika ingekuwa mkaa huku Manzese ungetumia wa tsh 1200 Unit sahihi...
  10. Shaffin Simbamwene

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Mbona hivyo Bado vipo tele, watu tunatumia mtungi badala ya fridge, vyungu pia vimejazana Dar
  11. Shaffin Simbamwene

    Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Moshi tech walikuwa wanarusha hadi matangazo ya Radio
  12. Shaffin Simbamwene

    Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Mv maendeleo na Canadian sprit zilibamba sana enzi hizo afu bus German Voyage siku mbili ndio unafika. Namkumbuka sana Mrs Kilimba yule muuguzi alikuwa poa sana. Mnelamwana yule mhuni zilikuwa hazipandi hadi nahamia Moshi Tech kwa Mpande. Ekoni wa Ekoni pamoja na Ngari walikuwa poa sana bila...
  13. Shaffin Simbamwene

    Tanzania haiwezi kuanza kufuga kangaroo ili kuvutia watalii?

    Si tunachinja na kubanika maana nasikia ni watamu kuliko sungura
  14. Shaffin Simbamwene

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Migombani street house no 165, Regent estate -hiyo ni kwa Dar. Jamaa hajasema yupo Mkoa gani
  15. Shaffin Simbamwene

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Nikusahihishe kidogo. Standard shipping haikupi uhalali wa kutumiwa Moja kwa Moja Speedaf maana AliExpress ndio wanaamua wakutumie posta au speedaf so kama unataka utumiwe kwa Speedaf omba AliExpress wakutumie kwa njia hiyo sababu ukiwaomba seller Huwa wanajibu kwamba hawatumi nje ya system...
  16. Shaffin Simbamwene

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    Usichojua ni kwama wakati tunaanza kuzijua hizo simu za Xiaomi zilikuwa zikiitwa kwa kichina" Hongmi" amabayo ukitafsri kwa kingereza inamaana ya red rice. Baadae ndio wakabadili jina la hongmi kuwa Redmi
  17. Shaffin Simbamwene

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    Simu tajwa hapo juu ni Redmi 6 pro kumbuka kuna Redmi 6 pro na Redmi note 6 pro ambazo zinatumia Chipset tofauti
  18. Shaffin Simbamwene

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    Miaka ya nyuma 2017 huko tulikuwa tukiagiza sana power bank za mi, na battery mbali mbali bila ya shida ila kuna muda flani walisitisha utumaji wa power bank na battery 🔋 kisa miripuko.
Back
Top Bottom