Search results

  1. KILIVITE

    M/kiti wa halmashauri (w) Malinyi, Fadhili Liguguda ni jipu!!

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya MALINYI anayefahamika kama FADHIRI LIGUGUDA ni jipu. Tokea awe Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo amekuwa akijihusisha na matendo ya kujinufaisha yeye mwenyewe kwa njia zisizo rasmi ambazo tunaweza kuziita za KIFISADI. Mathalani Mwenyekiti huyo amekuwa...
  2. KILIVITE

    Mzio wa Kukosolewa (Allergic to Criticism)

    Ukiona Mtu/Kiongozi/chama/timu/Kampuni haipendi changamoto za demokrasia ya kupingwa na kukosolewa mtu/chama/timu/Kampuni hiyo ina mapungufu yafuatayo; 1. Uwezo hafifu wa kuhimili basi ujue kukosolewa; 2. Uwezo hafifu waubongo katika kutafakari na kutoa majibu; 3. Uwezo hafifu wa kujenga...
  3. KILIVITE

    Tanzania inahitaji Upinzani wenye nguvu na wa uhakika awamu ya tano

    Kama kuna wakati ambao Tanzania inahitaji "Upinzani wenye nguvu na wa uhakika" basi ni wakati huu wa awamu ya tano.Ukitafakari kwa makini utaona dalili za wazi za JPJM pamoja na Serikali yake kuanza kuelekea kuvuka mstari wa demokrasia na kuukaribia mstari wa Udikteta (Imla).Dalili hizi ni...
  4. KILIVITE

    Maajabu hayataisha Tanzania!!

    Hivi Tanzania haikuwa na Rais wa Nchi,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu,ama Waziri aliyekuwa na dhamana ya Fedha? Hivi endapo Mtumishi wa Umma aliweza kujilimbikizia mahekalu 73 na kuwa na Mamilioni ya fedha taslimu majumbani mwao Usalama wa Taifa wanafanya kazi gani? Kama Wafanyabiashara wakubwa...
  5. KILIVITE

    CCM ya Kikwete na Magufuli, Full 'Udikteta'!!

    Naomba nitumie haki yangu ya kutoa maoni. Ni dhahiri JPM endapo atapata fursa ya kuingia Ikulu atakuwa ni Kiongozi wa Ki Imla ambaye hajawahi kutokea duniani. Mimi binafsi bila kushawishiwa na mtu yeyote naziona dalili zifuatazo ambazo tayari anazo kabla hata ya kupigiwa kura na kuapisha kuwa...
  6. KILIVITE

    Hii ndio marehemu CCM, amini nakwambia

    SERIKALI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inaelekea imekanyaga mdudu mchafuzi. Mdudu huyo Zanzibar anaitwa sheshere, Wabena humwita hilufi, Wasangu wanamwita shilufya. MWENENDO wa uongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unasikitisha mno. Masikitiko yenyewe ni yale yanayotokana na utamaduni mbaya...
  7. KILIVITE

    Kiapo cha utii kwa mwanamabadiliko

    Mimi Kilivite Mkomigumunyo naapa kwamba nitampigia kura ndugu Edward Ngoyai Lowassa mgombea wa Urais wa CHADEMA na nitawapigia kura wagombea wa vyama vinavyounda UKAWA katika nafasi za udiwani na Ubunge katika jimbo langu.Nafahamu CCM wameandaa mipango mingi miovu kwa ajili ya...
  8. KILIVITE

    Umeme na maji imekuwa kero

    Tatizo la umeme na maji Tanzania limekuwa kero kubwa sana.Serikali ya CCM imekuwa ikitoa ahadi nyingi zisizotekelezeka kutatua ukosefu wa umeme na maji. Magufuli ana ahidi kujenga viwanda vingi kila Wilaya sasa najiuliza viwanda hivyo vitatumia nishati gani?.Viwanda vingi vinahitaji maji...
  9. KILIVITE

    Je, 'CCM ya Magufuli' ina ubavu wa kuyatatua haya?

    Hakika ninawaeleza,hali ya CCM hivi sasa ni tete,waasisi wa kudondoka kwa CCM ni Viongozi wa CCM wenyewe pamoja na wale wa Serikali ya chama hicho!!Natarajia kura nyingi za CCM kwa UKAWA.Waliotoka CCM ni wengi mno,waliojitambulisha hadharani ni wachache wengi wanaugulia moyoni ni maelfu kwa...
  10. KILIVITE

    Ahadi hewa za Kikwete 2010 vs ahadi hewa za Magufuli 2015

    Ndugu zangu wapendwa wa TANZANIA,kwa hekima na taadhima,naomba tuangalie ahadi alizoahidi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2010 - 2015,..Je alitekeleza? Na pia tuangalie ahadi anazotoa John Pombe Magufuli wa CCM ile ile katika kuusaka URAIS wa TANZANIA!! Ahadi za JK kwenye kampeni za kusaka Urais...
  11. KILIVITE

    Kitendawili?

    1.Ana upara/walaza wa kizushi 2.Lafudhi ya kanda ya ziwa 3.Jamii ya wasubi/haya 4.Anahubiri usafi akiwa katika bwawa la uchafu akiwa amechafuka vibaya 5.Amezungukwa na kundi la wachafu wanaohubiri usafi 6.Anatuhumiwa kuuza nyumba za serikali kwa ndugu na kimada wake 7.Alijenga barabara zisizo na...
  12. KILIVITE

    Kama upo katika jamii hii,unasubiri miujiza gani?

    “Ni jamii iliyochoka na kuchakaa; ni jamii iliyooza na kuchoma pua kwa harufu ya uvundo wa rushwa na kujaza nzi wakubwa wa rangi ya Kijani, Ni jamii yenye ufisadi na ukandamizaji; ni jamii isiyojua mbele wala nyuma, ni jamii iliyokosa dira”. Bunge lipo kwa jina tu kwa sababu limewekwa kwapani na...
  13. KILIVITE

    Mkakati makini kuelekea 25 oktoba, 2015

    Usiyumbishwe na kubabaishwa na waandamanaji feki wa UKAWA,matusi na kejeli,wanaochana picha na mabango ya Wana UKAWA.Watachana picha na mabango lakini kamwe hawatachana taswira za makamanda wetu walio tayari kukabiliana na ujinga,maradhi,umaskini na rushwa zilizopo katika mbongo zetu...Andaa...
  14. KILIVITE

    Tafakari ya yanayojiri katika kampeni za CCM

    Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zimegubikwa na taharuki katika mambo yafuatayo 1.Mgombea wa Urais amekuwa akiwaponda vibaya watangulizi wake kama JK,AHM,BWM na Kwa sana JMK,kwa kueleza mapungufu makubwa ya umaskini,huduma mbovu za afya,barabara,maji,elimu,Rushwa,Bei ndogo za mazao na kukopwa...
  15. KILIVITE

    Mateke ya mwisho ya ukataji roho wa ccm.

    CCM ipo katika hatua za kurusha mateke ya mwisho za ukataji wa roho kwani kwa kutumia sanduku la kura Watanzania wamedhamiria kuiondoa madarakani baada ya kuchoshwa na ubabaishaji wa miaka 54 tokea Uhuru.Hata hivyo CCM inajitahidi kufanya yafuatayo kuzuia mabadiliko ambayo ni ya lazima...
  16. KILIVITE

    Sababu kwanini CCM imepoteza mwelekeo...

    Ni dhahiri kabisa na wala haihitaji mwanasayansi ama mtabiri kufahamu kuwa CCM sasa kimepoteza dira na mwelekeo na kama hatua stahiki za haraka hazitachukuliwa basi nyaraka za chama zitakabidhiwa kwa Msajili wa Vyama.Sababu za wazi ni kama ifuatavyo...
  17. KILIVITE

    Ulanga magharibi,nani ni nani?

    Hali ya kisiasa Ulanga Magharibi inazidi kuwa na jotoridi la juu.Watu kadhaa wanatajwa kuwania ubunge kwa tiketi za CCM na UKAWA pia.Mbunge aliyepo madarakani Mponda inaonekana kuchokwa kwa kiasi kikubwa,wana CCM vijana Antipas Mgungusi,Simon Ngonyani,Tira V.G.S Kiyawike na Njayaga wanatajwa...
  18. KILIVITE

    Ananifaa kweli ama kimeo?

    Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana!
  19. KILIVITE

    Vitira boarding secondary school

    Shule ya bweni ya VITIRA sekondari ipo Malinyi/ULANGA MOROGORO inawatangazia nafasi za kujiunga kidato cha kwanza,pili,tatu na nne kwa mwaka 2014,shule ina walimu mujarabu,mazingira makini,chakula bora,na maadili mema kwa wanafunzi wote!0787718753 HM
  20. KILIVITE

    Mwanafunzi avunja ndoa malinyi

    Mwanafunzi wa Malinyi S.S amevunja ndoa ya Salum Njewike ambaye aliamua kuachana na mkewe baada ya ugomvi wa muda mrefu uliosababishwa na binti huyo ambaye ameacha shule bada ya kunogewa na penzi la bwana Salum.
Back
Top Bottom