Search results

  1. KILIVITE

    M/kiti wa halmashauri (w) Malinyi, Fadhili Liguguda ni jipu!!

    "Upumbavu Wako Ndio Umetufanya Watanzania Tudharaulike"
  2. KILIVITE

    M/kiti wa halmashauri (w) Malinyi, Fadhili Liguguda ni jipu!!

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya MALINYI anayefahamika kama FADHIRI LIGUGUDA ni jipu. Tokea awe Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo amekuwa akijihusisha na matendo ya kujinufaisha yeye mwenyewe kwa njia zisizo rasmi ambazo tunaweza kuziita za KIFISADI. Mathalani Mwenyekiti huyo amekuwa...
  3. KILIVITE

    Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

    Tanzania hii ni yetu sote,kusifia na kukosoa ni maamuzi na haki yetu sote. Wenye aleji ya kukosolewa na raha ya kusifiwa wana matatizo makubwa ya akili!!Wao ndio wanafaa kuhojiwa na kupimwa mkojo!! . . Natafakari uraia wa mababu na mabibi zangu!!
  4. KILIVITE

    Ukopaji fedha na jinsi unavyoua Urafiki

    Kamwe usiazime ama kukopa fedha kwa mtu ambaye huhitaji kukosana naye ama kupoteza urafiki na ukaribu naye kabisa.Kama una uhakika hutoweza kupoteza urafiki na ukaribu naye basi unaweza kufanya hivyo.Kumbuka nyakati kama hizi deni linaweza kuzaa uadui wa kizazi na kizazi!!
  5. KILIVITE

    SIHA and Kinondoni are Symptoms Narcissism in CCM

    Kwa wanasiasa wetu huu ni USHITU (Ukosefu wa Shibe Tumboni)
  6. KILIVITE

    Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

    Mimi binafsi sioni kosa la huyo nabii. Ni nabii kama manabii wengine maarufu tunaowajua. Kila muumini kwa sababu zake binafsi anakuwa ameridhika kumwamini ama kutomwamini na kuendelea na imani yake.Tatizo sio lake ila linaweza kuwa ni la waumini watakaokuwa wameamua kumwamini. Polisi...
  7. KILIVITE

    Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

    Nakupongeza sana. Tulia atarudi tu.Kama kuna tusi baya la kunifanya nipigane ni kufananishwa na Profeseli. Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  8. KILIVITE

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Kilichoumbwa na Mungu....chakumemena!
  9. KILIVITE

    Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Katika jamii iliyostaarabika "vitabu" ni ukombozi. Unaposoma kitabu ukachanganya na akili zako unakuja na mawazo bora zaidi.
  10. KILIVITE

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Nampongeza kwa jitihada zake za kutaka kuonana na Mkulu,huenda ana jambo muhimu anataka kumtonya moja kwa moja.Huuu pia ni uzalendo.Kumbuka Tanzania ni ya Watanzania wote hata mimi na wewe,hata Mzee Mkomigumunyo kule kijijini kwetu.
  11. KILIVITE

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Mimi nina wazo tofauti.Nchi yetu imebarikiwa kuwa na wataalamu lukuki wenye weledi wa hali ya juu katika sheria.Jambo baya sana ni kuwa kwa miaka mingi wataalamu hawa waliosomeshwa kwa kodi za wavuja jasho wamekuwa si msaada kwa Nchi na watu waliowasomesha.Mikataba isiyo na tija kwa taifa na...
  12. KILIVITE

    Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

    Kwangu mimi huyo ni malaika aliyetumwa kwako ili ujifunze kabla mambo hayajaharibika.Ninashukuru UTAKUWA umejifunza mambo yafuatayo; 1.Ukaribu na familia yako NI MUHIMU kuliko shughuli zako za kwenye mabonanza; 2.Kitambi sio dili 3.Kitoa out familia ni jambo muhimu sana 4.Ndugu zako wanahitaji...
  13. KILIVITE

    Ni gharama kubwa kuwa na Mwanasheria mzuri asiye na uzalendo

    Mimi nina wazo tofauti.Nchi yetu imebarikiwa kuwa na wataalamu lukuki wenye weledi wa hali ya juu katika sheria.Jambo baya sana ni kuwa kwa miaka mingi wataalamu hawa waliosomeshwa kwa kodi za wavuja jasho wamekuwa si msaada kwa Nchi na watu waliowasomesha. Mikataba isiyo na tija kwa taifa na...
  14. KILIVITE

    Sumaye awakaanga Magufuli na mkuu wa mkoa wa Dar

    Kama kuna maneno ambayo ninayakumbuka vyema kipindi cha Kampeni basi ni kauli ya Mhe.Fredrick Sumaye kuwa Ndani ya CCM hakuna wa kumshika shati Magufuli!!!
  15. KILIVITE

    Asante Magufuli kwa kuelewa hoja, sasa fanya kweli

    BIBLIA NI JIBU; Mithali 15:31 Sikio lisikilizalo lawama yenye uhai Litakaa kati yao wenye hekima. Mithali 15:32 Akataaye maonyo huidharau nafsi yake mwenyewe; Bali yeye asikilizaye lawama hujipatia ufahamu. Mithali 18:06 Midomo ya mpumbavu huingia katika fitina, Na kinywa chake huita mapigo...
  16. KILIVITE

    Watangazaji Clouds wavunja rasmi "urafiki" na Makonda, sasa kutangaza habari bila maelekezo toka juu

    Mjinga hatimaye ameerevuka.......nilifurahia vijembe vikisindikizwa na nyimbo zenye ujumbe mwanana...Wimbo changes wa 2 PAC ulinikosha sana
  17. KILIVITE

    Kwa Mara ya kwanza nimesikia jina la Daud na cheti vikitajwa Clouds FM

    Clouds ya tarehe 20.03.2017 mpaka raha....na nimeamini rafiki yako akiwa adui anakuwa adui kwelikweli!!!
  18. KILIVITE

    Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

    Nipo Halmashauri ya Bukoba - Kagera,huku gongo unauzwa wazi wazi kwa vijana,umri wa makamo na wazee,pia kuna viroba vingi kutoka Uganda na Burundi,Hakika naipongeza Serikali,ila ni dhahiri gongo itakuwa ndio pombe halali na viroba vya Uganda vitajipatia soko la kudumu hususani kwa Vijana wetu wa...
Back
Top Bottom