Search results

  1. R

    Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

    Siyo kwamba Tundu Lisu hajui madhara ya matamko yake juu ya Mwl, Nyerere, amelewa sifa ya kuitwa mwanasheria maarufu, hasa hasa alivyoambiwa hivyo na Rais Kikwete. Mtanzania halisi
  2. R

    Mbona necta wamechelewa kutoa matokeo ya kidato cha sita

    tunaomba wizara husika iwe na tabia ya kutoa matangazo ili kuzuia manung'uniko yanayotokea. rukaragata
  3. R

    Matokeo ya rufaa kidato cha nne 2012 yametoka tupeni tathmini kwa walioyaona jamani

    nimepitia kurasa zote 93 za awamu ya kwanza, nimeona katika maoni kuwa hakuna mabadiriko katika matokeo ya awali. Je waliofeli zaidi Nipashe iliyatoa wapi. rukaaragata
  4. R

    matokeo mabaya ya kidato cha nne 2013

    Kuna uwezekano wa kutuchanganya kuhusu matokeo haya. Inafaa serikali iseme wazi kilichotokea tangu uasahihishaji hadi kutoa matokeo. Serikali ikifanya hivyo basi jumuiya itakuwa na mahali pakuanzia kutoa maoni. Kinachofanyika sasa ni kila mtu kutoa hisia zake bila kuwa na vigezo vya kusema hivyo.
  5. R

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    matokeo haya ni aibu tupu. Wizara ichunguze sababu zake hasa nini. Rukaragata
Back
Top Bottom