Search results

  1. Adacha

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Mkuu kama uliweza kufanyia matusi Panda basi we jasiri sana..ilikua kipindi cha askofu au mabroda wale?!!
  2. Adacha

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kama una leseni na muda nunua TVS bajaj used ya 4m zipo nyingi tu ukomae nayo mwenyewe kufunga ef30 kawaida sana wanapiga mpaka 50,60 kwa siku.Utatumia kama laki 2,3 kufanya service ndogo inayobaki 800k acha kwenye acc kwa ajili ya dharula. NOTE:Brand ni Tvs tu si nyingine
  3. Adacha

    Sony Bravia 55" Smart Tv for sale

    Ni used imetumika karbia mwaka sasa..
  4. Adacha

    Sony Bravia 55" Smart Tv for sale

    Brand-Sony Model 55XD8599 Smart 4K YOM 2017 Used in clean condition Bei 1.4m 0715877076
  5. Adacha

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Natafuta iphone X ya 256gb ofa ipo 1.2m..iwe clean na kila feature iwe sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Adacha

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji kioo used cha Iphone Xs Max..mwenye nacho karibu kwa mazungumzo!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Adacha

    Car4Sale Mark 11 grande for sale

    Haitoshi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Adacha

    Car4Sale Mark 11 grande for sale

    Mwaka 1998 Cc 1988 Full Ac Engine type 1G-kavuu haijaguswa Bei 2.3m Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Adacha

    Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

    Chukua tractor mkuu haswa brand za New Holland au Case za 4WD ukajichimbie moro turiani uko hukosi 17-19m kwa msimu ambao ni kama miezi mi5 ila iwe mpya sio used na wewe utalima mashamba yako pia kuongezea kwenye hela ya trekta...
  10. Adacha

    Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Ipo mkuu kama utahitaji nikuuzie yangu sina matumizi nayo tena bado mpya sana
  11. Adacha

    Msaada: Biashara ya mbaao ngumu (mninga na mkongo)

    Mzigo wote utakua umefika Dar kufikia j5..
  12. Adacha

    Msaada: Biashara ya mbaao ngumu (mninga na mkongo)

    Kwa yeyote anaehitaji izi mbao za mninga na mkongo anakaribishwa kwa mazungumzo zipo za kutosha kabisa zikiwa na vibali vyote
  13. Adacha

    Hardwood for sale

    Mbao aina ya Mninga na Mkongo Size ni 2x8 foot 10 Price ni 120,000 tsh per pc Ziko zaidi ya pc elf 5000 Kwa maelezo ya ziada karibu Pm
  14. Adacha

    Biashara ipi ya kuwekeza kipindi hiki kwa mtaji wa milioni 30 -50?

    Matrekta yapo mkuu ila bado hayatoshelezi mahitaji demand ni kubwa mno kipindi cha msimu ndio maana nasema mpaka msimu unaisha uhakika wa kulaza kati ya 18-22m kwa trekta mpya
  15. Adacha

    Biashara ipi ya kuwekeza kipindi hiki kwa mtaji wa milioni 30 -50?

    Msimu wa kulima kwa Turiani huwa unaanzia October apo mpaka late March ndo huwa kipindi cha kazi haswa kwa wenye trekta..
Back
Top Bottom