Search results

  1. M

    Kiza, Giza Totoro la Mkwere!

    Sidhani kama atafanikisha kupatia ufumbuzi hili suala la umeme kwani nadhani halimuathiri yeye kama raisi na sidhani kama kashawahi kulala kiza nyumbani kwake tokea apate madaraka Kanali "Dr" Kikwete. Kukubali kwamba ataweza kufanikisha hili sifikirii kwani halimgusi hili tatizo na kwa ungwe hii...
  2. M

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    shame on C.C.M and Kikwete government for killings of innocent Tanzanians in Arusha...free Chadema leaders.
  3. M

    Zitto aisumbua chadema; Chama chafikiri namna ya kumdhibiti?

    Nadhani wanachadema na baadhi ya wanaobandika mawazo yao hapa jf hamumtendei haki Mh. Zitto Kabwe kwa nini mnamdodosa sana kweli nimeamini..."bata ukimchunguza sana hautomla". Siamini kwamba Zitto anafanya mbinu za kukiasi Chadema ila ukinzani wake na hoja zinazoibuliwa na viongozi wenzake ndani...
  4. M

    Barcelona vs Real Madrid

    special 1 naona kazidiwa leo....
  5. M

    Man Sues His Neighbor For Failure To Impregnate His Wife

    ni kweli umenipa wazo ntaenda kufanya DNA test ili nijue kama kweli namuita baba mtu ambaye ni baba yangu mzazi isije ikawa kalagha bhao.
  6. M

    kubakwa hospitalini?

    @Afrodenzi Nadhani sheria zipo kwani kosa la kubaka lina hukumu yake sina hakika miaka mingapi ila jamii inabidi kuwalinda wakina mama. Inastaabisha kama waganguzi (Madaktari) kweli hushiriki kwenye uovu huu wa kubaka mama zao, dada zao na watu wa jinsia hii. Kweli kutoa huduma ni wito na nchi...
  7. M

    Picha iliyo waliza waandishi wa habari na wote waliyo iyona

    Naamini haki ya watoto hawa italipwa kwani hawana makosa yoyote. Mwenyezi waongezee nguvu, wazazi waliopoteza watoto wao kwenye mazingira magumu kama haya duniani kote Amin.
  8. M

    Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

    Godwin Aswile, Ramadhani Lenny, Husein Masha na Kally Ongara
  9. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Shamsi Vuai Nahodha sasa kaingia serikali ya muungano ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani
  10. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Mbona hamna Chadema aliyepewa uwaziri...
  11. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Ardhi-Tibaijuka
  12. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Ulinzi- Dokta Mwinyi
  13. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Maria Nagu, William Lukuvi
  14. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Mathiasi Chikavu, Steven Wasira,
  15. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    sasa muandike habari za kweli-mkwere
  16. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Mbona hyo orodha ya mkwere haitoi na saa sita ishapita...kaazi ipo.
  17. M

    Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    Kiranga nimeangalia hapo juu naona makosa yote ya lugha yamerekebishwa kweli JF Home of Great Thinkers. Naunga mkono hoja yako "Miafrika Ndivyo Tulivyo- Nyani Ngabu"
  18. M

    Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    @Kiranga ni sawa umetoa hoja ulizoziambatanisha kwenye mabandiko tofauti lakini umeshikilia kunasibisha kizungu alichoandika Mheshimiwa na elimu yake ya UDSM. Cha msingi tuendelee kujenga hoja na kusubiri Mheshimiwa aje kueleza dhumuni lake la kuwasilisha bandiko hili hapa. Wacha miye niendelee...
  19. M

    Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    Hahaha...Zakumi kweli uzalendo umekushinda:embarrassed:
  20. M

    Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    @Kiranga heshima mbele mkuu, nadhani tunatoka kwenye hoja aliyowasilisha Mheshimiwa Zitto Kabwe na kutokomea kwenye kujadili lugha ya kiuandishi. Si vizuri kubezana k.h.s vyuo na kushabikia lugha ya mkoloni (kizungu). Turudi kwenye kuijibu hoja iliyo mbele yetu, kwa nini Mwalimu aliunga mkono...
Back
Top Bottom