Search results

  1. Khalidoun

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nyakati ngumu hazidumu, we'll come back stronger to reclaim our lost throne.
  2. Khalidoun

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kibiashara

    Maziwa ya ng'ombe kuwa na mafuta mengi husababishwa na Nini? Je ni tatizo endapo maziwa yanayokamuliwa kuwa na mafuta mengi?
  3. Khalidoun

    Pata maziwa ya ng'ombe halisi kabisa

    Hivi mafuta mengi katika maziwa ya ng'ombe husababishwa na Nini? Ni tatizo?
  4. Khalidoun

    Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

    Hajakwambia kuwa yupo mwezini na red card ♦️?
  5. Khalidoun

    Mzumbe Sekondari

    Shabani Robert 05
  6. Khalidoun

    Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

    Ukweli Imani Huruma Upendo Uhalisia Siha Heshima Furaha Kuridhika
  7. Khalidoun

    Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

    President: Mama Samia Suluhu Hassan Vice President: Paul Kagame Prime Minister: William Ruto
  8. Khalidoun

    Bodaboda mnawahi wapi?

    Inna Lillah wainna ilaih rajioun, ila ile sehemu ya kuingia na kutoka Kange tahadhari muhimu sana
  9. Khalidoun

    Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wakufugwa..

    Yaani hapo kasheshe 😂:D😂😂
  10. Khalidoun

    Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wakufugwa..

    Wawili wengine hapa wanakaribia kuzaa, Kwa kweli nawafuatilia kiukaribu. Maumivu ya kupoteza Mifugo ni makubwa sana. I've learnt
  11. Khalidoun

    Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wakufugwa..

    Sikujua hii ya ng'ombe kusaidiwa, au kunyonywa pua, maana mtaalamu mmoja aliniambia sio wote wanahitaji kusaidiwa, juzi usiku a.k.a Sabrina ikiwa ni mimba ya kwanza kwake akajifungua usiku, hatukusikia kelele zozote, only in the morning tukakuta ndama hatunaye. She was devastated to say the least.
  12. Khalidoun

    Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

    And this below is worthy of your time. https://x.com/MadridPanther/status/1722547066453254535 t=jD2bF5zDsB21mRcxcRuh_A&s=09 Kwa wale wakristo wanaotetea Israel Kwa hoja kuwa ni taifa teule, they don't give a damn about you guys, kwao nyie ni garbage and it says a lot what they tried to did to...
  13. Khalidoun

    Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Hawa wanataka kutuhabiribia soko letu la mbaazi hawa. 😂😂😂😂
  14. Khalidoun

    Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    Lakini alikufa Kwa Ngoma 🎷🎸🪕🎙️🎙️🪡
  15. Khalidoun

    Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

    Furaha yangu kubwa imepatikana baada ya kuoa. I was just 25 yrs. Finished Uni and Jobless. The rest is history. Alhamdulillah for the blessing of marriage. #Tawakal
Back
Top Bottom