Kwa status yake kama mkemia mkuu nadhani hata maji ya kunywa alikuwa anapima kabla ya kuyatumia, these magonjwaz ya ATTACK hayana maujanja hata MSHTUKO WA KUPANDWA NA MENDE USUNGIZINI WAWEZA KUKUSABABISHIA MAUTI.
If that is the CASE basi kahoji kwanini NYUMBA ZA IBADA zinafungwa kwa milango na makofuri kibao, kwanini sadaka zinawekwa kwenye masanduku KABAMBE ya kuhifadhia PESA, kwanini hundi za akaunti za DINI zina MASGNATORY kibao, kwanini kwanini kwanini.......
H
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Mkemia Ernest Mashimba, PhD amefariki ghafla huko Tanga alikokuwa amealikwa kama mgeni rasmi kwenye mahafari ya darasa la saba.
Mauti yamemkuta hotelini alikokuwa amefikia baada ya kuanguka ghafla, habari ni kuwa kifo chake kimegundulika baada ya dereva...
watasema weee lakini wapi issue ni kuwa RAIS WA TANZANIA AMEANGUKA, tena hii ni mara ya tatu, tunajua sababu zipo lakini ukweli unabaki pale pale RAIS KIKWETE KAANGUKA MARA YA TATU HADHARANI kuanguka kwingine akiwa peke yake ni SIRI YAKE lakini KIKWETE AMEANGUKA
Nasikia Bilal ni chaguo la mfanyabiashara mmpoja maarufu wa tz bara mwenyeji wa kaskazini mwa tanzania, mfanyabiashara huyo ameahidi kutumia influence yake kuhakikisha jamaa anakikalia kiti.
Upuuzi mtupu, kama ni shushu kweli walishindwa kumtafutia LESENI???? Acheni uzushi nyie ndio mnaipausha JF mpaka kinaonekana ni KIJIWE cha waliokosa kazi, JK kawasamehe wafungwa kwa tatratibu zilizopo na sio kwa majina, ebooooo
Kama ameweza kupiga nje na akatangaza unategemea atakuwa na heshima?
Teheee wakati mwingine ujuzi wa mwenzako unategemea mapigo yako mwenyewe, kama kusugua huwezi usitegemee kukatiwa kiuno
Kweli Man U ni jinamiza la wengi, badala ya kujutia pumba zenu jana unatuwaza sisi? pole sana lakini usijali hayo yote uliyoyaona na kuyataja hapa sio makosa ya vijana wenu, NDIVYO WALIVYOAMBIWA WAFANYE NA HUYO Mr. Bean, tehee umanicheksha hapa ndio kwaaaanza nimevuta hizo sura na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.