Search results

  1. Threesixteen Himself

    Msaada: Naomba kujua jinsi ya kutuma meseji toka kwenye email kwenda Kwenye namba ya simu ya kawaida

    Habari, Kama Kichwa cha habari kinavyosea, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo; 1. Namna ya kutuma meseji kutoka kwenye email ikaingia/ikaenda kwenye namba ya simu ya kawaida. Mfano kutoka gmail halafu ikaenda kwa mtumiaji wa simu ya kawaida mfano wa tigo, vodacom halotel etc. 2. Nina...
  2. Threesixteen Himself

    Heat Printing Machine (Mashine Ya Kuprint Tshirt) Inahitajika

    Habari Za Muda Huu! Nahitaji Mashine Tajwa Hapo Juu. Kama Unayo Au Unamjua Mtu Anayo Tafadhali Tuwasiliane Inbox. Nipo Dar Ubungo. Ahsante
  3. Threesixteen Himself

    Vije Vitambulisho Vya Wahitimu Waliokosa Ajira

    Ni Mwendo Wa Vitambulisho Tu. Baada Ya Mafanikio Makubwa Kwenye Vitambulisho Vya Wamachinga Vije Na Vya Wahitimu Wasio Na Ajira. Kisingizio Kiwe Kuwatambua Kiurahisi Na Kuwapa Kipaumbele. Kwa 20,000 Kila Kitambulisho Aaah Tutakusanya Za Kutosha. Ni Vitambulisho Tu Mpaka Tutembee Na Mabegi.
  4. Threesixteen Himself

    UDSM Na ARIS2 ; Mwenye Suluhisho Tafadhali Anisaidie

    Salaam! Kwa Siku Ya Tano Sasa Najitahidi Kufanya Malipo Ili Kuweza Kujisajili, Lakini Napata Sana Shida Kupata Kile Kinachoitwa Control Number. Nimefika hadi Chuoni Na Kukuta Watu Wengi Tu Wamekwama Katika Tatizo Hilo. Kwa Mwenye Suluhisho La Tatizo Hili Tafadhali Sana Naomba Msaada. Nawasilisha.
  5. Threesixteen Himself

    Msaada: Muongozo wa kufanya kazi siku za sikukuu ukoje?

    Habari za muda huu, Napenda kufahamishwa sheria zetu zinasemaje kuhusu mfanyakazi kutakiwa kufanya kazi siku za sikukuu. Taratibu zikoje. Asante
  6. Threesixteen Himself

    Wasichana wangu wa zamani, ilikuwa sawa sana tukaachana. Kwa udananda huu mngefeli pakubwa

    Nichukue fursa hii kuwapongeza sana kwa hatua ambayo mmepiga.Nafahamu jinsi mlivyoumia wakati nasitisha mahusiano nanyi kwa sababu ambazo hazina msingi wowote.Mlilialia mno pengine hamkulala vizuri kwa siku kadhaa lakini mwishowe mlianza upya. Dunia siku hizi ni kama kijiji, habari zenu huwa...
  7. Threesixteen Himself

    Uzi maalum kwa "nyuzi" maalum

    Naona kuna inatrend sana hapa kilankukicha ni uzi maalumu, uzi maalumu. Mara wa kupeana likes, mara sijui waliosoma na viongozi, Mara walionini nini sijui. Sasa Huu ni uzi maalumu kwa nyuzi maalumu zooooote. Kwa hiyo mods hebu zikusanyeni hizo uzi maalumu zije hapa. Huu ni uzi kwa ajili ya...
  8. Threesixteen Himself

    Hemed Mohamed Mulokozi; Popote ulipo Baba, Nakutafuta mwanao

    Naandika hapa nikiamini huku kuna watu wa maeneo mbalimbali mbali ambao wana taarifa nyingi mno. Nilipotezana na Baba yangu mzazi ambaye anaitwa Hemed Mohamed Mulokozi miaka ishirini iliyopita nikiwa na umri wa miaka mitatu. Kwa mujibu wa simulizi mara ya mwisho tulikuwa wote wilayani Ngara...
  9. Threesixteen Himself

    Vichwa vya habari vya magazeti ya leo

    Nitoe shukrani za dhati kwa gazeti la Mwananchi na wengine wooote mliofanikisha misheni hii kwa namna yoyote ile.
  10. Threesixteen Himself

    Nampa Papa....Giggy Money. Basata shkamooni

    ! ! Nadhani wimbo unajieleza, na as long as unatwangwa kwenye radio stations na sijasikia lolote basi nalazimika kuamini una baraka zote za BASATA. Nampa, nampa, nampa nampa Papa.
  11. Threesixteen Himself

    Msaada Jinsi ya Kulimute Kundi la Whatsaapp nisilione Kabisa lakini pia nisijitoe

    Habari! Kuna group ambalo nahitaji kuwa totaly pasive, ikibidi nisilione kabisa lakini nisijitoe. Ikiwezekana meseji zake nisiwe nazisikia na wala lisiwe linakuja huku juu meseji mpya zikiingia libakigi hukohuko liliko labda mpaka nitakapodhamiria kuzisoma, kama itatokea. Ahsante
  12. Threesixteen Himself

    Msaada Tafadhali tecno w5 lite Imezingua

    ! ! Ni lisaa la pili hili imeandika tu tecno halafu hakuna kinachoendelea. Nimefungua nyuma nitoe betri na kwenyewe kumefungwa betri kulitoa haiwezekani. Naambatanisha na picha nikitumaini nitasaidiwa
  13. Threesixteen Himself

    Hivi Huu Mchezo wa Kricket ukojeukoje, wanachezajechezaje? Nieleweshwe tafadhali

    ! ! Samahani sana humu jukwaa la michezo hasa kama kuna post inayofanana na hii, ni vile natumia mchina na siwezi kusearch ila imebidi niulize tu. Hivii huu mchezo wa cricket unachezwajechezwaje? maaana mie siuelewi hata kidogo, superspot wanauonesha tena live na washabiki kibaoooo sasa...
  14. Threesixteen Himself

    Mnyonge atanyongwa na haki yake hapewi vilevile

    Habari... Makato katika mshahara wangu wa sasa ni zaidi ya asilimia 25% ya mshahara wote, hapa ni kabla ya makato ya bodi ambayo yanatarajiwa kuanza hivi karibuni. Kwa hiyo kama na hayo yakiingizwa makato ya jumla yanaweza kufika au hata kuzidi asilimia 35%. Mbali na PAYE ambayo wananikata...
  15. Threesixteen Himself

    Tudai uhuru wa kuonesha hisia

    Siku za karibuni watu kadhaa wametiwa nguvuni kwa kuonesha hisia zao kwenye matukio mbalimbali ikiwemo mauaji ya polisi. Nilihangaika sana kujua kama mtu kafurahia mauaji ya polisi au ya mtuhumiwa wa ujambazi kwa mfano, atashtakiwa kwa kosa lipi mahakamani? Huyu mtu amevunja sheria gani? Baada...
  16. Threesixteen Himself

    Wasanii wa bongo mnatia kinyaa fiesta na playback zenu

    ! ! Upumbavu mtupu... Mi play back ya kijinga mno. Nipo nawaangalia hapa clouds tv ni ujinga mtupu yani. Ngojea nikanunue kiroba kingine. ! ! Tukiachana na Bill Nass... Huyu Da Prince ndio kichefuchefu kabisa. ! ! Hata kiba nae ni wale wale tu. Nae anatuletea maplaybacj yake. ******* sana...
  17. Threesixteen Himself

    Tuwadai Clouds Fm risiti za EFD...Wamezidi kujipendekeza

    Ili hawa jamaa ambao ni mabingwa wa kujikomba, Clouds FM na wao waisome namba vyema, kwenye tamasha lao la fiesta tudai risiti za EFD
  18. Threesixteen Himself

    Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

    Huwa namsikiliza mno kwenye kipindi chake cha Ala za Roho. Hapa ukimsikiliza anaonekana ni mjuvi mzuri wa haya mambo ya mapenzi, sasaaaa kwa nini mastori mingi kwenye media na mahusiano mara huyu mara yule aseee... Au ndio ile ile Gari isiyokuwa na mzigo hukimbia zaidi. Mapenzi ni noma mno...
  19. Threesixteen Himself

    Selikali iruhusu Analogia, Digitali miyeyusho Sana

    Sio mtaalamu sana wa kuanzisha nyuzi ila daah nafikiri selikali iruhusu mifumo yote miwili katika kurusha matangazo ya televisheni yaani Analog ifanye kazi sambamba na digital. Hoja yangu iko kwenye gharama kwa sisi watazamaji na ile ahadi ya chaneli za ndani kuwa ni bure. Sasaa naamka hapa...
  20. Threesixteen Himself

    Matumizi ya MB kwenye Simu

    Heshima kwenu wenyeji wa jukwaa hili. Naomba kufahamishwa matumizi ya mb vs mafile ambayo nayadownload. Kwa mfano nina salio la mb 500 je hizi mb zinatosha kudownload file la movie yenye mb 500? Hizi mb zinatumikajetumikaje mpaka inafika mahali zinaisha. Na mwisho nifanye nini ili kumaximize...
Back
Top Bottom