Search results

  1. Andrew Nyerere

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    Donald Trump atakapoapishwa,akishusha tu mkono walinzi wote wa Ikulu wataachishwa kazi ya kumlinda. Donald Trump anakuja na walinzi wake,among them 1000 Russians or russian- trained private security agents. Kwa mini rais wa Marekani alindwe na Warusi nashindwa kuelewa.. Wakati wa ile kampeni...
  2. Andrew Nyerere

    Zitto amkosoe Rais kama kakosea na siyo alete 'no cofidence motion'

    Maneno anayosema Zitto kwamba anataka kupeleka Bungeni mswada binafsi hoja ya kutokuwa na imani na rais;Zitto anakuwa mtu ambaye he had gone too far. Hata utawala wa Kikwete ulianza na ukame na njaa.
  3. Andrew Nyerere

    Rais Magufuli ameleta socialist nirvana

    Tokea Magufuli alivyoingia Ikulu Watanzania wamefarijika na wamefaidika. Juhudi zilizofanyika kuwathibiti wakwepa kodi, mafisadi, wala rushwa, wazembe: hii ndio ilikuwa ndoto ya Watanzania siku nyingi. Sasa Magufuli ameingia madarakani anatekeleza mambo haya. Bado zipo changamoto za kuleta...
  4. Andrew Nyerere

    Watanzania tuitangulize physics mbele

    Where do we go from here? Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics: theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda. Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
  5. Andrew Nyerere

    Majambazi wawili wauawa na polisi Mikocheni karibu na Feza sekondari

    Majambazi wawili wameuawa na Polisi maeneo ya Mikocheni karibu na Feza sekondari, walitaka kuwaibia Wachina. Kati ya hao majambazi yupo jambazi wa kike na amejisalimisha kwenye mkono wa dola, huyu jambazi ndiye alikuwa dereva wao. Majambazi wengine bado wanatafutwa. Taarifa zaidi zinasema...
  6. Andrew Nyerere

    Polisi wameshindwa kumpata Ben Saanane. Scotland Yard waitwe

    Mambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip. Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda...
  7. Andrew Nyerere

    Leo nimemuona Shehe anakwenda kijiwe hadi kijiwe kuwahubiria vijana wavuta bangi

    Shehe alikuwa anakwenda kijiwe had I kijiwe. Shehe wa Msasani huyu anawahubiria vijana. Ujumbe wake ulikuwa "Nyie vijana, mbona siwaoni katika swala? Mnkaa kijiweni tu mnavuta bangi?" Akawakaribisha vijana kuja kwenye swala. Kijana mmoja anasema naweza vipi kuja kwenye swala na hii nguo yangu...
  8. Andrew Nyerere

    Watanzania hawakufanya kosa kumchagua Magufuli kuwa Rais

    Wapo wakala wengi wa wapinzani wanaandika makala JF kumpinga rais. Hawa wanalipwa wanàlosema halina maana. Watu wengi wamezungumza kusifu juhudi za rais kupambana na ufisadi. Ilivyo sasa hivi kama mtu hakubaliani na sera za rais siyo salama kuzungumza. Kwa hiyo jambo muhimu ni kila mtu anawaza...
  9. Andrew Nyerere

    Republican Party.Democrat Party and Pizza Party

    Ipo scandal inaendelea sasa hivi Washington DC Hii scandal inaitwa pizzagate. Inahusisha watu maarufu katika serikali. Yaani watu wanaagiza pizza, kumbe wanaagiza watoto wadogo kufanya nao ngono. Halafu hawa watoto wengine ni pre- kindergaten.
  10. Andrew Nyerere

    Nawaomba wanisamehehe wote niliowakosea 2016

    Wote niliowakosea mwaka unaokwisha sasa nawaomba wanisamehe. Binadamu ni infallible. Binadamu hapaswi kufanya makosa yoyote.
  11. Andrew Nyerere

    Rais Joseph Kabila wa DRC ni Mnyarwanda

    Ipo stunning report Facebook imetumwa na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu anasema; Jina lake halisi ni Hyporite[Hypolite] Kanambe na ni Mtusi wa Rwanda kwa baba na mama pia ni mpwa kabisa wa Waziri wa ulinzi wa Rwanda James Kabarebe. Baba yake ni nani? Baba yake Joseph Kabila Adnan...
  12. Andrew Nyerere

    Tumemaliza kuongea kuhusu Ben Saanane? Jambo gani limemfika?

    Sakata la Ben Saanane linaendelea vipi? Amepotea baada ya kupelekewa msg ya vitisho kutoka kwa serikali according to Tundu Lissu. Amejipoteza nwenyewe kwa sababu slikuwa na special assignment amepewa na chama chake,according to another source. Why all this misinformation peddling? Sasa kwa mfano...
  13. Andrew Nyerere

    Magufuli kama hajashindwa kuongoza nchi vema,bado pia hajafaulu

    Rais Magufuli mawazo yake ni kwamba mtu akiwa mjanja ataweza kutumia fursa zinazotolewa na Serikali yake. Na wale ambao sio wajanja? Rais anapaswa kuwa Rais wa
  14. Andrew Nyerere

    Dr. Kasoga analeta fujo katika familia ya Nyerere

    Huyu Dr. Lenny Kasoga ni mnafiki. Anafika hapa Msasani mara nyingi sana pretending to be a great friend of the family. I do not understand this. Why this person should indulge in such tom foolery.
  15. Andrew Nyerere

    Siri ya shule kuchomwa moto Kenya imejulikana

    Jopo la wataalamu wa elimu kutoka Tanzania na Kenya walikuwa wanalijadili hili swala sasa hivi katika BBC Swahili .Wamesema wale wanafunzi wanachoma moto zile shule kwa sababu wako katika msongo wa mawazo,hali mbaya ya shule,usimamizi mbaya wa shule,na sera mbaya za Waziri wao wa Elimu ambaye...
  16. Andrew Nyerere

    Makongoro Nyerere apata ajali ya gari Babati

    Jana.Makongoro alipokuwa anarudi Arusha baada ya kutoka Dodoma,amemgonga ng'ombe amepata ajali. Hakuumia. Alikuwa peke yake ndani ya gari.Nasikia ameweka picha katika Whatsup lakini sijaziona. ======== Babati. Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere amenusurika katika ajali...
  17. Andrew Nyerere

    jirani yangu kapagawa na mashetani

    Nilipokuwa natoka matembezi usiku huu,saa nne na nusu,nikamwona jirani yangu,yaani anakaa nyumba ya jirani,anapiga kelele,anazungumza na sauti KAMA SIMBA,maneno aliyokuwa anarudia rudia ni"Niondoe katika hali hii. Mateso yamezidi" Nimesimama pale namsikiliza,halafu tena akatokea dada yake,naye...
  18. Andrew Nyerere

    Political process imekuwa derailed

    Mimi namlaumu sana Dr. Tulia Ackson. Wabunge wanatakiwa kuwa Bungeni sasa hivi lakini wako mitaani. Sijui kama ni sahihi polisi kuzuia maandamano,lakini that is what they have usually done in such circumstances. Wapinzani walipaswa kubaki Bungeni na kubishana na Dr. Tulia,na kama...
  19. Andrew Nyerere

    Mbunge Nimrod Mkono alazwa hospitali TMJ

    Mheshimiwa Mkono amelazwa hospitali.
  20. Andrew Nyerere

    Sayari inakuja kutoka mbali; Nibiru, itaigonga dunia baadaye mwaka huu 2016

    Warusi na Wachina wanawatangazia watu wao kwamba sayari Nibiru itaigonga dunia baadaye mwaka huu. No one is saying it will be the end of the world. Hii sayari itapita karibu na dunia. It is five times the mass of the earth. Itakapopita karibu na dunia,the earth axis will shift. Floods...
Back
Top Bottom