Search results

  1. K

    Nauza camera Canon 600D

    Nauza camera aina ya Canon 600D imetumika mwaka mmoja na mtumiaji ni mimi mwenyewe,ilinunuliwa mpya,ni moja ya camera nzuri na za kisasa kwa wale wanaoanza photography kwa ngazi za entry level,pia hutoa video nzuri sana,package ni Camera Canon 600D pamoja na Kit lens EFS 18-55mm,CD zake ,manual...
  2. K

    Natafuta Canon 50mm F1.8 lens au Yongnuo 50mm 1.8 lens (Nifty Fifty Canon mount)

    Nahitaji lens aina ya Canon 50mm F1.8 au Yongnuo 50mm F1.8 (Canon mount),iliyotumika kidogo lakini ni nzima haina scratch/mikwaruzo wala fungus,nipo Dar Es Salaam,Mob 0655 585 490,ukiwa nayo ni sms au ni PM na utoe bei elekezi.
  3. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    Je fikiria ningekuuzia wewe na tukawa tumemaliziana kila kitu ,halafu baadaye narudi tena na kusema hebu nipe hicho kitu changu kuna mtu kapanda dau,je utanielewa kweli au utanipa,jibu unalo mwenyewe .
  4. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    Tayari imeshauzwa asanteni
  5. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    Picha mbona ipo angalia vizuri
  6. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    nNauza Samsung Slimfit (chogo)TV TZS 300,000.00 tu ,mawasiliano 0655 585 490 nipo Dar Es Salaam.
  7. K

    Samaki huyu ana jina maarufu sana,ambalo mtu akikuita lazima urushe ngumi anaitwaje,pia ni mtamu kum

    Kweli ni Changudoa ni ukoo mmoja na samaki Changu,ambao nao wameadimika siku hizi
  8. K

    Ua jekundu

  9. K

    Ua jekundu

  10. K

    Ua jekundu

  11. K

    Hapa ni wapi?

  12. K

    Msasani Slipway Usiku

  13. K

    Software zipi unazo tumia zaidi kwenye simu yako

    Je unajua Lightroom version gani na je unaijua kuitumia katika kuedit photos?nataka nijifunze zaidi kwa vitendo hasa kuedit picha najua kijujuu tu na si sana kama jibu ni ndio nikutafute nipo Dar
  14. K

    "MIRUNGI" ni Biashara huria Moshi na Arusha??

    Ulaya ambako ndio lilikuwa soko kuu imepigwa marufuku,nchi ya kwanza ilikuwa Uholanzi na sasa ni Uingereza,kwa sasa wananchi wa Meru huko Kenya wanaitaka serikali iingilie kati kwani kwa kupigwa marufuku kuuzwa nchi za Ulaya kumewafanya maisha yao yawe ya shida
  15. K

    Linaitwa'' Sausage Fruit''

  16. K

    Azania Front Lutheran Church

    Hapa Tanzania kuna ma wasanifu majengo wazuri sana na wanatambulikana katika ulimwengu wa wasanifu majengo na wanasanifu majengo huko Afrika Kusini kwenye majiji kama Jo'burh,na hata Ujerumani.Tatizo ninaloliona mimi ni mindset za Watanzania ambao hawapendi kubadilika na kuingia...
Back
Top Bottom