Jumamosi kunapokucha mpaka saa nne ni usafi, saa nne mpaka nane ni kubeti (mikeka) na kuanzia saa nane na kuendelea ni EPL au VPL. Sielewi tuendako ukitegemea nguvu kazi ya taifa ndo ifanyacho
Hapo unapopaona panaitwa Mula na hizo nyumba ziko road reserve area, ndo maana waziona hivyo. Nilipokuwa nakua kwenye miaka ya 70' taa nawasha ukutani na maji naogea ya mvua, leo tunaishukuru serikali kwa kutuletea barabara nyeusi na sisi.
Ni Shidaa kweli kwa waongoza magari, Yaani unakaa kwenye kiti cha dereva na kuliongoza gari na mnapata shida hivi, je mkipewa magari ya kuendesha mtaweza? Mmezoea kukanyaga break na mguu wa kushoto na mafuta mguu wa kulia?
Wiki mbili zilizopita tukisafiri kwenda moshi mida ya saa mbili jioni maeneo ya mwanga tulirushiwa bonge la jiwe na kusambaratisha kioo cha mbele, nia yao ni gari lidondoke ili wapore.
Tunapozungumzia mji wa moshi ni tofauti kabisa na miji mingine Tanzania. Wengi pia wanashindwa kuelewa mji wa moshi ni mkubwa sana kwani unahusisha satelites zake ambazo ni machame, kibosho marangu rombo na nyinginezo nyingi.
Naomba tuelewe mjini moshi sio tu pale stand ilipo ila pia marangu...
Baada ya vita kuu ya dunia ya 2 Askari wa ki afrika waliorudi kutoka vitani waligawia Hilo eneo na pakaitwa carrier cops. Waswahili wakawa wanatamka kariakoo.
Wadau mie tangu BP wafungashe na kuondoka na mimi gari yangu inakataa mafuta ya diesel kituo chochote, nimefanya uchunguzi nikasikia mwagizaji ni mmoja na diesel inayoingia nchini ni hiyo tu kwa vituo vyote. Nifanyeje wadau?
Sasa magari tunayonunua nchini Zanzibar na yamelipiwa ishuru TRA, yakifika TRA ya hapa Tanzania yanapigwa ushuru mkubwa kuliko tunayoagiza nchini Japan. Mbona tunayonunua DSM tupeleka Mbeya hatulipii ushuru?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.