Search results

  1. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia. Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa. Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao. Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na...
  2. Lole Gwakisa

    TARURA hii imekula kwenu, kuendekeza ujenzi usiozingatia viwango

    TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita. TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini. Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla...
  3. Lole Gwakisa

    Serikali yetu fikirini nje ya box, mto Msimbazi unawaumbua!

    Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu. Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio. Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye. Mto Msimbazi ni moja ya...
  4. Lole Gwakisa

    Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

    Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo. Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya? Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall! Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio. Sasa RC Homera amewapasha vizuri!
  5. Lole Gwakisa

    Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

    Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi. Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90. Eneo letu ni...
  6. Lole Gwakisa

    Adam wa kiafrika mbele ya Eva, atapona?

    Huyu Adamu wa kiafrika atapona kweli? Tunda lazima liliwe.
  7. Lole Gwakisa

    Mikopo China, Watanzania tumezoea ulaghai

    Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo. Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai. Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba...
  8. Lole Gwakisa

    Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

    Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya. Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona. Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe. Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo...
  9. Lole Gwakisa

    Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

    Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
  10. Lole Gwakisa

    TAWAQAL Petrol Station, Ipogolo, Iringa; huduma ya chakula mgawahani ni mbovu sana

    Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya. Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo. Mbaya zaidi ni huduma ya...
  11. Lole Gwakisa

    Wilaya ya Chato inayotaka kuwa Mkoa yawa kinara matumizi mabaya ya fedha za umma

    Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri. Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
  12. Lole Gwakisa

    Machinga mentality: TANROADS mpo? Miundombinu ya serikali sasa inaingiliwa!

    Sipingi biashara huria kakini this is too much! Hapo ni Mbezi Beach Goig, Bagamoyo Road. Miundombinu ya barabara inapogeuzwa kuwa na matangazo ya watu binafsi, hii ndio laisszes faire yaani machinga mentality kushamiri ndani ya wananchi. Mitaro inazibwa bila aibu. Taka zinatupwa barabarani ...
  13. Lole Gwakisa

    Viongozi mbio za Mwenge,msijipe majukumu msiyoyajua!

    Its intellectually dishonest kwa mtu kujidai unafahamu kila kitu alimradi kuteuliwa kukimbiza mwenge. Huyu kada anayepima ubora wa barabara kwa kuipiga sululu kimsingi anaonyesha ujuha wa kile asichokijua. Wakimbiza mwenge inabidi waambiwe kile wanachitakiwa kufanya, la sivyo wameshaonyesha...
  14. Lole Gwakisa

    Wasioitakia Mbeya mema wameumbuka!

    Kuna watu, wengine wanasiasa wakubwa tu, wamekuwa wakiimba wimbo wakutufarakanisha Mbeya, sisi kwa sisi na vilevile kuwa wana Mbeya hawampendi Rais Magufuli. Wameumbuka vibaya. Ujio wa Rais Magufuli Mbeya ulikuwa kwa mafanikio makubwa. Kuna hata waliodiriki kusema wanasiasa wa mkoani Mbeya...
  15. Lole Gwakisa

    Gibbons Mwaikambo

    MODS mmeondoa thread hiyo hapo juu, ambayo kuna member aliulizia. Nampa ukweli wa Gibbons Mwaikambo kwa ufupi. Hii mada hata leo ina somo kubwa. Watoto waliozaliwa majuzi hawawezi kumfahamu. Gibbons Mwaikambo alizaliwa 1938 huko Tukuyu, Mbeya na alisomea Economics mpaka kiwango cha shahada...
  16. Lole Gwakisa

    Matumizi ya madawa ya kulevya Marekani yameongezeka maradufu kwa watu weupe!!

    Deadly US heroin epidemic driven by whites, women and the rich – CDC survey A new survey has found that US heroin addiction more than doubled over the space of 10 years among white people and women, according to the Centers for Disease Control and Prevention. Overdose levels also soared to...
  17. Lole Gwakisa

    CCM pigeni hesabu zenu vizuri kwa Mbeya

    Kati ya mambo ambayo CCM Mbeya itajilaumu pamoja na serikali yake, ni figisu figisu zilizoondoa umoja mkoani Mbeya. No wonder sasa hivi hakuna kiongozi wa ngazi za juu kutembelea mkoa. Na CCM imekaa kimya. Wapinzani wamenufaika vyema na mtifuano huo uliokuwepo ndani ya chama. Na vijana wa sasa...
  18. Lole Gwakisa

    Wahandisi mliopo madarakani: Jangwani inahitaji complete redesign

    Nimepita sehemu ya Jangwani juzi na hali ya pale inasikitisha. Kwa sasa mapito ya mto yamebadilika kabisa, na mto Msimbazi haukidhi overland flow ya storm water-maji ya mvua. Pale kumewekezwa rasilmali kadhaa, tena nzito, moja ni karakana ya UDART. Kutokana na hali halisi ya mabadiliko ya maji...
  19. Lole Gwakisa

    Storm water has the right of way, Maji ya mvua yana haki zote kupita!

    Kama kuna funzo tunalolipata kila mvua kubwa tunapoipata ni hili la maji ya mvua. Tatizo kubwa huwa hatujifunzi somo hilo. Tuna vichwa vigumu! Mimi ni mhandisi, na najua fika kuwa Water has the right of way. Maji ya mvua hatuna namna, tuyapishe tu. Serikali haina mamlaka ya kushughulikia...
  20. Lole Gwakisa

    Ujio wa TARURA: Sasa Madiwani, Halmashauri zalalama!

    TARURA, Tanzania Rural Roads Authority ni kitengo kama TANROADS kilichoanzishwa miezi michache iliyopita. TARURA inachukua nafasi ya Mhandisi wa Wilaya/Halmashsuri katika kushughulikia barabara. Kama kuna sehemu Madiwani na Halmashauri zimelalamikiwa kwa miaka mingi, kuingilia michakato ya...
Back
Top Bottom