Kwa jinsi viongozi wetu wanavyo jikanganya naona kuna tatizo kubwa behind.
-Mmoja, Chalamila , nasema miundombinu imechoka ndio maana umeme hauji
-Mwingine, Naibu waziri wa nishati, amesema majuzi tu kuwa kinu kimoja kikiwashwa matatizo ya umeme utapungua
-Spika aliingilia kati na kusema anawapa...
TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita.
TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini.
Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla...
Mkuu mbona nimeweka solution, post no #30. Selander Bridge lazima lipanuliwe, kma kule Tanzanite Bridge.
Hata member mmoja kachangia vizuri kwenye hili.
Kwa utundu tu, Magufuli aliweza kuanzisha ujenzi wa daraja la Busisi, bila budget, bila kupitia bunge, kwa mradi ambao ulikuwa ukifikiriwa kwa miaka 50 na zaidi.
Pengine maelezo yamepiga chenga.
Mto msimbazi ukifurika na maji yana kuja kwa kasi toka milima ya Pugu, maji hayo hatyatoki kwa kasi ile ile maana pale Selander Bridge upenyo wa maji ni mdogo. Hivyo basi maji yana back up, kurudi nyuma na kujaza Jangwani.
Tatizo ni viongozi kushindwa ku think outside the box.
Daraja la Selander inabidi lipanuliwe liwe at least 200metres ili kuruhusu maji kuingia baharini bila kizuio.
Ni kweli kabisa mkuu.
Wengi hawaioni picha nzima, mafuriko yote yanapitia mdomo wa chupa uitwao Selander bridge.
Kwa vile huo.mdomo wa chupa Selander ni finyu, lazima bwawa litajitengeneza Jangwani.
Sijui kwa nini wapanda VX-V8 hawalioni hilo.
Ziwa Mwananyamala likijaa linatema mto Msimbazi kwa kusini na vile vile barabara ya Mwenge Morocco kwa kaskazini.
Barabara ya Chato kwa wanaoijua ndio muathirika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.