Search results

  1. Craig

    Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Ukiwa Jobless na umesoma.... Kila siku unakuwa unaomboleza msibaaa...Na ukipata kazi wale majobless wote unawaona hawana akili...
  2. Craig

    Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    Nilipofungua huu Uzi mapema niliangalia ID nikiamini itakuwa Mpwayungu Village amebadili ID. Hata hivyo bado Nina mashaka hii account Mpwayungu Village ameidukua......
  3. Craig

    Nataka Kuhamia Canada

    Karibu S.t Alberta huku maisha nafuu wazungu wanaishi kisayansi Sana.
  4. Craig

    Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Mpwayungu Village unaitwa huku uje kusema kitu.. Bado hujasema..
  5. Craig

    NAHITAJI IST 1290 cc

    Watakuja wajuaji.. wakwambie hiyo pesa yako inafaa kununua bodaboda au bajaji....
  6. Craig

    Msaada kujuzwa yafuatayo kuhusu utungwaji wa mimba

    Lea hiyo mimba... Kama Kuna ugaigai itajulikana na hutapoteza heshima yako. Mungu atakufunulia.. huu Ni mtazamo wa kiroho... Puuza yote utaumia Lea hiyo mimba...
  7. Craig

    Wanaume wanatakiwa kujifunza hili kuhusu wanawake

    Mkuu ulikuwa unategea majukumu ya kihisia Leo ndiyo umeshtuka!!!! Mbona hayo wakongwe tuliyajua tangu sekondari...
  8. Craig

    Kwa uhai wa biashara yako usikopeshe kabisa maaskari polisi au kuweka mazoea nao

    Mkuu una gari?? Na huwa unaendesha? Tuanzie hapo Kwanza.
  9. Craig

    Kwa uhai wa biashara yako usikopeshe kabisa maaskari polisi au kuweka mazoea nao

    Hawa walipaswa kupewa kila kitu bure, Kama ilivyo kwenye umeme,maji,nyumba,nauli( Kwa wale walio bahatika kuishi barracks) Halafu wanalemaaa (Baadhi yao) vibaya..wachache Sana wanasanuka...mapema. Kuna mmoja alinizoea ikafika mahali akitaka beer ananitafuta nimnunulie..wanapata laana...
  10. Craig

    Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Mimi nadhani labda VP yupo likizo ya mwisho wa mwaka...Ila sijui Kama yupo likizo..lazima aonekane hadharani??!!!!!! Mnataka aende sokoni Magomeni au kariakoo??
  11. Craig

    Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Wanasiasa UCHWARA ndiyo Muda wa kujipitisha..... Huu Mama awaone...😆
  12. Craig

    Aliyepora Kofia aliandaliwa na Diamond Mwenyewe

    Na Hata wewe mleta mada kuleta huu uzi wako kumepangwa., Maana unavyoandika ndiyo jinsi unazidi kuvumisha.,hilo igizo..la usafini..
  13. Craig

    Ukiwa umekata tamaa, chukua hii

    Taikon leo umesahau kuandika namba yako ya simu..
  14. Craig

    Nakodisha gari

    Picha nimeioyona mkuu Ila haina rangi.. na Bei umetaja kubwa sanaa.
  15. Craig

    Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    Mleta mada usingeandika huu uzi wako umekaa kichoko Sana. Unayejaribu kumtetea kakuzidi kila kitu., Halafu Mahakama ndiyo itatafsiri haki siyo wewe. Kula kwanza utulize akili.
  16. Craig

    Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Hiyo barua umekaa kimchongo.. haijakidhi matakwa ya kisheria,. Barua gani haina saini...
  17. Craig

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Mleta mada ungekaa tu kimya... Maana ulivyoandika inaonesha huna uzoefu na Safari. Anyway sijakuelewa. Hoja yako tatizo Ni service au usiku? Maana hueleweki..
  18. Craig

    Tamu na chungu ya safari yangu ya Agosti 24, 2023 Kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Mkuu unachoongea ni kweli kabisa kwakuwa Mimi ilinitokea kwa mwaka Jana hapohapo kahama. Nilikata tickets kwa jina la bus jingine asubuhi naambiwa Hilo bus limeharibika kwa hiyo nimefaulishwa nipande dreamline.... Aseee kahama uhuni Mwingi Sana.
  19. Craig

    Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mpwayungu Village asipuuzwe Ana hoja juu ya walimu asikilizwe...
  20. Craig

    Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

    Warangi Ni Kama mabaki ya waarabu.. na kujifanya wanaujua Sana uislamu.. Sasa sipati picha Kama wakikutana na mwarabu Kama Kuna kitu huwa wanampinga., Hofu yangu... ......Ni mtandao pendwa 0713 kama huwa unabaki Salama..
Back
Top Bottom