Search results

  1. B

    Shekhe wa mkoa hulipwa na Serikali au wahisani?

    Masheikh Hawalipwi mshaara na Serikali ila Serikali ya CCM inawapa Rushwa liendelee kutawala. Masheikh wanakula rushwa sawa na Maaskofu na wachungaji
  2. B

    Kisiwa cha Mafia, kwanini hatuambiwi historia ya ukweli?

    Hii biashara ya Kilwa na Mafia ni biashara ya Watumwa na hii pesa ni pesa walizoleta wafanye biashara ya Utumwa. Wanashida ni Currency au Pesa na Biashara mbona Wajerumani na Wainhereza nao walikuwa nayo ? Tuache hii tabia ya kusifia ilhali Tunadharau ua '- Afrika wetu Sasa sielewi kwanini...
  3. B

    Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

    Haya mambo yanahitaji maandalizi. India wana graduate takriban wanafunzi laki kwa mwaka, alafu wamejutahidi ktk lugha ya kiengereza. Is not about KUANDIKA BARUA na kuwasha waje kuajiri Watanzani, kuna SKILL nyingi wanazoziangalia pamoja na INFRACSTRUCTURE
  4. B

    Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

    Nani kuwapa ardhi 1920? Ilitakiwa itaidishe na azimio la Arusha
  5. B

    Mfumuko wa bei Tanzania ni wa kubumba na hujuma kwa uchumi, Serikali iingilie kati

    Tunaishi ktk dunia ya FREE NARKET ECONOMY Haya mawazo ya Serikali iingilie kati biashara ni mawazo ya kale
  6. B

    Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

    Hapo Belgium hakuna mwananchi anashindwa kununua nyama au Maharagwe na kama hana Kazi serikali inampa pesa. Ndio Bei zimepamba lkn serikali nayo imepandisha mshahara sambamba na inflation
  7. B

    Lissu amesema uongo, Dubai Zoo haina wanyama 50,000

    Unachotetea ni ujinga 50, 000 is just a number ya wanyama wanaozaana Cha msingi tunaibua
  8. B

    Elimu siyo kipimo cha tabia na ustaarabu, kwa afya ya demokrasia tuendelee kuchagua Marais wa Kanda ya Pwani na Visiwani

    Nadhani pia neno USTAARABU ni sehemu ya maisha yao ilhali upande mwengine ni neno Adimu
  9. B

    Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

    Bro. Missile of Nation@ Umefanya uchambuzi muhimu sana ambao wengi hawajuufikiria. Kwakweli ni muhimu sana Waislam wa Tanganyika waanze kuhitathmini uwakilishi wao ktk Muungano. Inasikitisha kuona ndugu zetu wa Kikiristo kulingiza hisia zao za kijinga ktk huu uzi
  10. B

    Kwa walioyafanya wanaojiita wanamapinduzi kwenye hii nchi ni dhahiri kabisa hii nchi itaendelea kuwa na laana ya milele

    Mapinduzi yalikuwa lazima yafanyike ili kuondowa Wakoloni na vizazi vyao. Mapinduzi sio Taarabu ni mapambano dhidi ya Wafalme mabeberu waliotawala kwa Upanga. Unapotawala kwa upanga utatolewa kwa Upanga Unfortunate
  11. B

    Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

    Mapinduzi sio Taarabu lzm damu imwagike. Inasikitisha watu kuuwawa lkn wakati mwengine maamuzi magumu ni muhimu Tungewalaani sana kama wangewaachia wafalme Waendelee kututawala
  12. B

    Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

    Tatizo ni pale mnapolazimisha kujenga Makanisa pasipo na wahitaji
  13. B

    Tuweke utaratibu mzuri, wanadiplomasia wetu siyo Wahasibu/CPA's!

    Balozi zetu hazizidi wafanyakazi 15, kama Balozi anashindwa kusimamia matumizi ya budget ndogo kiasi hiki basi hastaili hata kupewa nafasi hiyo. Sio kila director wa Kampuni ni CPA bali ni sehemu ya majuku yake kuhakikisha pesa za Kampuni zitatumika kwa ufanisi
  14. B

    Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

    Tunatakiwa tumuheshimu Issa pia. Kwa hiyo sio kosa kushrehekea Bithday ya Siasa a.s
  15. B

    Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

    Nadhani UBARADHULI na kulawiti watoto wadogo ni janga kubwa sana kuliko ulevi WaZabzibar inabidi mkomae mapema vinginevyo jamii ya WAVULANA watabadilika kuwa wasichana. Tanzania bara hakuna wanaume wa kutosha na wanaume wa Oman kwa ubaguzi wao hawatawaowa Wazanzibari Get your priority right
  16. B

    Mzee wetu Mohamed Said, hivi uhuru wa Tanzania ulikufanya nini?

    Watu wa imani nyengine nao waandike wanacho kijuwa. Nadhani lengo lako sio kutowa hoja ila inaonekana huna hoja. Kama hunahoja ya msingi usimzuwie Mohammed Saidi aandike kile anachokujuwa. Wewe wakusanye wachungaji nao waandike wanachojuwa na sisi tutasoma na ku challenge hoja. Kama huna...
  17. B

    Iran: Waandamanaji 100 wadaiwa kukabiliwa na hukumu ya kifo

    Kama wamevunja sheria ya nchi wacha wahukumiwe. Usisikilize BBC
  18. B

    Sababu ya asilimia kubwa ya Waarabu na Wahindi kuonekana matajiri Tanzania

    Wewe hawajui hawa waarabu wala wahindi, umeangali wachache wa KARIAKOO. Ukitaka kuwajua kama hawana maana nenda India ndo utajuwa wakina Mo ni watu au si watu
Back
Top Bottom