Search results

  1. M

    Mshahara wa daktari (specialist) ni ngapi tanzania,in both private na public?

    kwa kawaida inaanzia laki 9-6million, inategemea na uzoefu, madaraka,nafasi aliyo nayo na wapi yupo Serikali za mitaa/halmashuri serikali kuu Taasisi Agency za serikali Faith based organisation NGO Proramme/project Private institution
  2. M

    Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

    Maximo yeye hachezi, kazi yake ni kufundisha.Nanivizuri tutambue mpira ni professional kama zilivyo nyingine.Na hivyo basi maandalizi ya kila mwana taaluma huanza mapema kabisa na huchukua muda mwingi takribani miaka 14 na kuendelea ili mchezaji awe amejengeka kama zilivyo fani nyingine unaanzia...
  3. M

    Kitambi ni heshma kwa Tz?

    Kwa ujumla kitambi sio kizuri kina kupelekea kupata magonja hatari kama vile shinikizo la damu, Saratani(cancer), kisukari na kadhalika.Ili uweze kukiondoa inakupasa kwanza ubadili mwenendo wa maisha yako kwa kuanzia kwenye mlo na mazoezi ya viungo. Nakushsauri kwanza uepuke vyakula vya mafuta...
  4. M

    Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba

    Tatizo ni nini? Liyumba kuwanunulia magari au kuwat..... mademu, wangapi? Wanahonga mademu, kila mtu anahonga kadri ya uwezo wake kuna ambao wanahonga chipsi wanafunzi, wengine Bia, inategemea kipato chako. Jamani tuwache kuzungumzia majungu hapa maana kila mtu kati yetu ameshawahi kuhonga...
  5. M

    Defining, Refining and Understanding Zitto Kabwe

    Binafsi naona zito kama mwanaharakati yuko sawa kabisa, ni kijana wa kuigwa na vijana wengi wa kitanzania tunataka mtu anayejiamini na anayesimamia hoja yake mpaka mwisho kama mwanasiasa huwezi kuwa well defined, kila mtu anamjudge kutokana na msimamo wako na ueleo wako. Zito anatoa constructive...
  6. M

    Je lipumba anafikiria Nchi kwanza na Si Chama?

    Nafikiri kila mtu huwa na mtazamo wake(point of view) kutokana na ufahamu,uzoefu na hasa background ya kitaaluma, Lipumbumba anaweza akawa yuko sawa from his point of view.
Back
Top Bottom