Search results

  1. Munkari

    Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

    Mmhh! Tuambie kwanza wewe ni injinia wa nini? Usikute injinia wa trekta!! Hahah loh Btw tumekuskia mkuu kuwa wewe ni le super engineer,watakuja..[emoji3] ilaaa nyie bwana mnatukata na miwembe mnatuchoma na mibsbis kwenye misuruale yenuu!!! Mwisho..muda wa kuihudumia ndoaa nyiee mpo na milaptop...
  2. Munkari

    Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Mi nipo nwakasalampandagalo mkoa wa bantalemulogahafya wilaya ya masampulilawekerequeha!
  3. Munkari

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Aisee!! Duniani kuna mambo!!
  4. Munkari

    Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

    Nimefichwa na kitabu asee!! Watoto wananikeep bize hadi nasahau kuoga!![emoji1]
  5. Munkari

    Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

    Wanaume wa dar em muwateke wanaume wote wa mikoani mana watawapanda kichwanii hahah loh.
  6. Munkari

    Tuliosoma tuition ya English kwa "USTADH" chang'ombe Dar es salaaam tukutane hapa

    Umeanza vizuri mkuu .ila hapo mwisho ndipo ulipoboronga ukadhani waliomo humu ni kama kule "uso wa kitabu" lengo la uzi wako umeharibu mwenyewe!! Otherwise futa huo mstari wa mwisho.!!
  7. Munkari

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    [emoji533] [emoji2] [emoji1] bamia silagi!! Tango na nyanya kachumbari itapendeza!!!
  8. Munkari

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    He he he [emoji23] jirani tugawane hizo dolass ulizouza "solex"
  9. Munkari

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Duh ! Kwani hii" forex " ndo kitu gani aisee ! Mi nilikuwa nafananisha na Yale makufuli sijui ndo " forex " sijui "solex" .duh! Still gizani!!
  10. Munkari

    Msaada wadau wiki la 41 bado hajajifungua

    Una uhakika mtoto ni wako?? Maana takwimu za mwaka Jana tuliambiwa ety siyo wa kweenuu ..nakutania mkuuu usijekupasuka!! Hongera mwaya Muombe Mungu kipindi hiki huwa kigumu haswa kwa mkeo.pia kwasasa awe chini ya uangalizi wa daktari..BTW mtoto lazima atoke tu muda ukiwadia..andaa hela ya maana...
  11. Munkari

    Mapenzi yananitesa: Mpenzi wangu anapenda sana kununa

    He he he he!!! Hilo neno " tunazibabua" limenipa [emoji2]
  12. Munkari

    Mapenzi yananitesa: Mpenzi wangu anapenda sana kununa

    Yah! Nataka nikupe uponyaji!![emoji142]
  13. Munkari

    Mapenzi yananitesa: Mpenzi wangu anapenda sana kununa

    Jinsia yako plz! Tuanzie hapo..
  14. Munkari

    Jinsi ya kufanya mpenzi wako asijue kama una mchepuko mwingine

    Mmhh!! Kumbe ndo mnavyofanya!! Asante kwal taarifa!
  15. Munkari

    Mume wangu hataki kunyoa nywele za sehemu za siri

    Hahaha! Kwenye v..u..z..I!!??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  16. Munkari

    Mume wangu hataki kunyoa nywele za sehemu za siri

    Hahahahh !!! Dah ! Watu mnavituko!!
Back
Top Bottom