Search results

  1. eerua

    Hivi kuna haja ya kuwa na kumbukumbu ya matukio yakutudoofisha na kutuumiza?

    Habari wakuu, Najiuliza kwa muda sasa hivi kuna haja ya kutunza kumbukumbu za matukio ya aina zote kati ya mabaya na mazuri? Kwanini mtu unaempenda kwa dhati akitangulia mbele za haki(kufariki)watu wachukue filamu na picha za mgando tena wengine wanaenda mbali zaidi kama mpendwa wao alipata...
  2. eerua

    Hivi.

    Yu wapi Humphrey Polepole tuliyezoea muona kwa media during kampeni time. ?
  3. eerua

    Hivi Mwanaharakati wa siasa, Humphrey Polepole yuko wapi?

    Humphrey Polepole yuko wapi?
  4. eerua

    Msaada: Njia ya kufika Moshi kutoka Sirari kupitia Kenya

    Salaam wakuu. Nipo Sirari kikazi, nataka chomoka fasta tar 24 jioni baada ya kazi kupitia Nairobi niwahi xmas mndenyi. Anayejua hii njia msaada tafadhali.
  5. eerua

    Lowasa kaadhiirisha ni mkongwe

    Katika kile walichokua wanasema anaongea dk 9 ..now kwa wanoafatilia ni tofauti na yupo kiupinzan kwel anataka kuvusha nchi
Back
Top Bottom