Jamani ee huyu dada Miss Pwani kaulizwa swali, kajibu... sasa haya mengine ya ooh mbaya ana sura kama nini? Kama hujaipenda sura yake hilo siyo tatizo lake ni lako wewe, tuwe na staha, let's not stoop this low...no wonder someone wisely said beauty lies in the eyes of the beholder. Vilevile...
Gurudumu,
Wenzetu balozi zao zinawasikiliza raia wao na kujaribu kuwasaidia iwezekanavyo siyo kwenye uwekezaji tu, hata raia wao wakikamatwa kwa kuvunja sheria ugenini balozi zao bado zinajitokeza kuwatetea na kuwaombea waachiwe lakini haina maana kuwa serikali zao ndo zimewatuma wakawekeze au...
I know, but as brief as that paragraph is, it's still an account of the Kagera war from a soldier. The OP asked for a book by a soldier, this essay by one is the best I could find.
Tena wala hakusubiri kuletewa kaifungia safari kabisa na mara baada ya kuipata tu picha zote rasmi za rais ilibidi zichapishwe upya na "cheo" cha Prof. Dr. Bingu wa Mutharika... Wakati viongozi wenzake wengine wala hawapigii parapanda shahada zao za heshima. Huyu jamaa upeo mdogo...
Really? All history books on Africa are written by westerners? Mbeki supposedly said that?! A cursory look at Amazon suggests otherwise but I digress, anyway here is an excerpt from an essay by Major General Lupogo, a soldier, albeit retired now, as per your wish:
The war between Tanzania and...
Walishaona jinsi ya kumpata ni kuipiku "PhD" yake ya Pacific Western, basi wakamkorogea huo uprofesa wa heshima... but as we all know there is no free lunch...
Here's a link to Bingu wa Mutharika's professorship story.
President of Malawi Visited East China Normal University and was Engaged as our Honorary Professor
Radi inaweza kupiga popote na kuharibu chochote (ambacho hakina arrestors), what I don't get is what's so special about this sanamu la Yesu kupigwa radi? Am I missing something here?
Nimepita UDSM awhile ago, nakumbuka prof mmoja wa hesabu ambaye alipata PhD yake baada ya kufundisha kwa miaka mingi tu akawa anajiita Prof.Dr. Ralph Masenge alinifundisha hesabu enzi hizo FoE. Huyu mwanazuoni alikuwa akitoa test anatoa karatasi 25 tu wakati Lecture theater imejaa wanafunzi...
Ushatanguliza "Mungu amewapa kitu cha ziada" ila hujakitaja hicho kitu halafu baada ya kuwasifia kutokana na huko "kujaliwa kitu cha ziada" unauliza je na sisi tunaweza? Tunaweza nini? Kumzidi Mungu? Maana kwa madai yako wamejaliwa kitu cha ziada na Mungu so according to your convoluted logic it...
Hivi kwani sheria ya uraia inasemaje?
Kwani ukiishi kwenye nchi nyingine miaka mingi unakuwa raia automatically? Si kuna sheria na taratibu za kuupata uraia? Kwanini baadhi ya Wakomoro hawakuzifuata hizo taratibu na wengine walizifuata?
Tusianze kulalama bila sababu za msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.